Ule usemi wa Shida huleta maarifa.....

Ule usemi wa Shida huleta maarifa.....

Easymutant

R I P
Joined
Jun 3, 2010
Posts
2,564
Reaction score
1,135
312569_10150305369197142_558712141_8410855_586072016_n.jpg



Utadhani bajaji...
 
Hapo akijikwaa tu kifoooooooooo! mweeeeeeee! Halafu magamba wanadai wameleta maendeleo, kweli?
 
jamaa mtaalamu si mchezo, nimeipenda.
 
Tumethubutu tumeweza na tunasonga mbele! Hahahahahaha miaka 50 ya uhuru
 
mbinu ya hali ya juu sana....kiwango cha kimataifa.
 
Back
Top Bottom