Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,414
- 55,125
Same story, kisaikolojia haiwezekanmtu kua act zaidi ya miezi minne, utaanza kuona uhalisia , maana ila honey moon phase itakuwa imeisha. Sasa utauona uhalisia wa mtuNa upande wa wadada unadhani tutasemaje??
Mwanamke Hana haki ya kumpima mwanaume?
Tukioimana matokeo yakitoka huko chanya huku hasi itakuwaje
Yale Yale kupoteza muda
Nipe wewe tu 🤭!Sina Cha kukupa😊
Uringe !mimi ndo natoka bafuni kuogeshwa na shem wenu na maji ya moto
Okay..nimeelewaSame story, kisaikolojia haiwezekanmtu kua act zaidi ya miezi minne, utaanza kuona uhalisia , maana ila honey moon phase itakuwa imeisha. Sasa utauona uhalisia wa mtu
Wanasema if she's not meant you can't force itSasa kama kumpata tu umeshindwa, kuishi nae pamoja na kumtunza utawezaje 😅
Njoo unichukue🤣Nipe wewe tu 🤭!
Thread Ya Moto Sana Inatafakarisha Mno😄😄 Sawa mkuu
Who are you?Uringe !
Ila humu😄😄Upendo upo mimi ndo natoka bafuni kuogeshwa na shem wenu na maji ya moto
Hewa😅Who are you?
Nyakati za mwishoThread Ya Moto Sana Inatafakarisha Mno
Tumepotoka, Wote Tumeoza Na Kupungukiwa Utikufu Wa Mungu
Mungu akishakujalia watoto 2-3 INATOSHA sana,Never allow stress of woman!So ni Bora kuwa muhuni tu au kuhangaika huku na kule
Haya😔Mungu akishakujalia watoto 2-3 INATOSHA sana,Never allow stress!
Umesema vile ninavyojua mimi, kwa kuongezea tu.....Jipime wewe mwenyewe je unaweza kumpenda mtu kwa nyakati zote bila kumtelekeza ?
Mimi najua Upendo upo 📌
Wanaosema upendo hamna ni kwa sababu wao wenyewe hawana upendo kwa wengine
Kwahiyo huangalia ubinafsi wao na kuujumlisha kwa wote !
-Ulikuwa wapi?Haya😔
Haya twende mguu kwa mguu... 🤠Njoo unichukue🤣
We unao huo upendo?Umesema vile ninavyojua mimi, kwa kuongezea tu.....
Upendo wa kweli huanza na kujipenda kwa dhati wewe mwenyewe.
Mtu asiyethamini nafsi yake mara nyingi huwa anatafuta upendo wa kujaza pengo ndani yake. Lakini anayejipenda kwa afya ana uwezo wa kupenda bila kujipoteza, kuheshimu mipaka, kusamehe pale inapowezekana na kubaki mwaminifu bila kulazimisha.
mleta mada anauliza hivi kwa sababu huenda anaona kuna watu wameumizwa, wamekatishwa tamaa au anaangalia dhana ya upendo kupitia majeraha ya watu wengine. Lakini majeraha ya mtu mmoja hayaifuti uwepo wa upendo duniani.