secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,839
- 8,647
Ndio upo kundi la nyumbu sasaNilishahama huko kwa Majambazi wa Kisiasa
Ndio upo kundi la nyumbu sasaNilishahama huko kwa Majambazi wa Kisiasa
Unyumbu unaonekana zaidi kwenye kundi la MatagaNdio upo kundi la nyumbu sasa
Binadamu mtu wa ajabu. Pindi tu Mhe. Mama Samia akifanya uteuzi ambao hatuupendi utabadilika mlio wa ngoma - ooh mwanamke, Muislamu n.k n.k Binadamu are unique species.
Pambalu siyo msukuma huyo ni mfipa. Usirudie tena kosa hilo kudhani na yeye ni mmmoja wa watu makini yaani wasukuma
Huyo aliyevurumushwa ni Mhangaza wa Rulenge Ngara
¹Nobody cares for your opinion.
Ukweli ni kwamba, hakuna watu wenye nature ya uadilifu kama watu wa kanda ya ziwa, ni magents wa nchii wazuri, wenye misimamo, makabila mengine wanatabia za kike sana, na hatuwezi kuwaepuka watu wa huko
I don't care if you care but i expected you may have some common sense. It seems the bar was set too high.¹
Sit yo ass down and STFU!I don't care if you care but i expected you may have some common sense. It seems the bar was set too high.¹
Mi mwenyewe nashangaa, watu kulalamika na kutoa maoni ni kitu cha kawaida. Hata wakianza kumponda mama Samia hakuta kuwa na uajabu wowote. Na isije kuwa kichaka cha kutetea uovu na uzembe mwingine.Wewe naye uko Marekani ipi ambayo hu enjoy "First Amendment" ? Au ndio kuku akikaa na kamba mguuni muda mrefu hata akifunguliwa anahisi bado yuko kifungoni.
Mawazo yako bado ya kigiza giza na ki imla sana kama vile hujakanyaga free world.
Mnyika ni Mpare wa Ugweno..Labda Wasukuma mumkatae.
..Lakini John Mnyika aliwahi kusema yeye ni Msukuma wa Misungwi.
Mabula siyo waziri ni Naibu Waziri.Na Mabula ni wa wapi?
Zingatio: mimi na ukabila ni maji na mafuta.
Wasukuma siyo watu tena wakuwapa nchi wamewatesa sana watanzania eti uadilifu tumeibiwa sana shamba labibi leo ndiyo tunajua wa aliyokuwa anatamka kinywani mwake
Nikuambie kitu wachagga wanajitafutia wenyewe siyo hao watekaji kuchukua pesa za watu kwa nguvu kwenye mabenki ndiyo maendeleo yanatafutwa hivyo ndiyo maana mkaitwa washamba wamadaraka sasa kazi imeanza tulieni yaani nyie hadi uraisi wa milele ili hao mabillionaire wakisukuma mliokuwa mnatajwatajwa imeishia hiyo wezi wa kubwa yako kwenye huzuni sijui mna lengo gani na nchi yetu ngoja tuende pale BOT tumngoe hapo yule mpwa kwanza mambo mengine yataendelea.Haya tuwape nyie kina Mramba,Massawe,Urio,Ndeshiro maana ni watu waadilifu sana,mjenge Kilimanjaro Mlipoishia enzi za
Kina Basil Mramba,mchukue pesa hazina mjenge Moshi iwe kama Manhattan siyo?
Nchi hii kabila lenye rekodi kubwa ya wizi ni wachanga na kilimanjaro.Nikuambie kitu wachagga wanajitafutia wenyewe siyo hao watekaji kuchukua pesa za watu kwa nguvu kwenye mabenki ndiyo maendeleo yanatafutwa hivyo ndiyo maana mkaitwa washamba wamadaraka sasa kazi imeanza tulieni yaani nyie hadi uraisi wa milele ili hao mabillionaire wakisukuma mliokuwa mnatajwatajwa imeishia hiyo wezi wa kubwa yako kwenye huzuni sijui mna lengo gani na nchi yetu ngoja tuende pale BOT tumngoe hapo yule mpwa kwanza mambo mengine yataendelea.
Wakumtoa ni jeshi pekee na sio ccm. Huyu tayari ni rahisi na analindwa na jeshi... Hao ccm embu wajaribu kumtoa waone.Nyanieeh, Katiba ipo wazi mno. Wasingeweza kufanya chochote. Maana hata kabla ya mh rais kufariki dunia tumejadili sana ni nani atachukuwa madaraka pindi rais atakapokuwa ameshindwa kufanya majukumu yake.
Sema Mabeyo kama kuna jambo kalisema basi alikuwa ana mwandolea shaka mama Samia Suluhu.
Huyu wakitaka kumtoa, wanamtoa tu. Wanamuundia zengwe tu, wanamng'oa. Na sio jeahi ila ni wao wenyewe ccm.
Nchi hii kabila lenye rekodi kubwa ya wizi ni wachanga na kilimanjaro.
1. Mgonja
2. Mramba
Nk kabila la mafisadi
Sio kipenzi chenu tena? Ashakuwa mwenda zake?Ukiwasikiliza sana wafuasi hawa wa Mr Ubelgiji, kisha ukatafakari kwa kina sana unahitimisha kwamba hawa watu ni misukule.
Alafu yanavyoshangilia sasa hivi ni kama vile sasa Mr. Ubelgiji kaingia Ikulu baada ya kifo cha mwenda zake