Ule ukabila vipi?

Ule ukabila vipi?

Mnyika ni Mpare wa Ugweno

..Mnyika anasema kwao ni Bugarika.

..ametamka kuwa Baba yake ni John Michael Dalali.

..pia Bibi yake John, amelelewa Usagara na Bukumbi ktk nyumba ya Mtemi Kafipa.

 
Venance Mabeyo si msukuma bali ni mkerewe mtoa post acha upotoshaji

..Nahisi hata Magufuli hakuwa Msukuma.

..Professor Kabudi alisema Baba yake Magufuli anaitwa Nyamhanga.

..mnaojua majina ya Kisukuma, je Nyamhanga ni jina la Wasukuma?
 
..Mnyika anasema kwao ni Bugarika.

..ametamka kuwa Baba yake ni John Michael Dalali.

..pia Bibi yake John, amelelewa Usagara na Bukumbi ktk nyumba ya Mtemi Kafipa.

Alibadili kabila baada ya KM wa CDM. Huyo Dalali ni baba yake wa kufikia yeye baba yake mzazi anaitwa Mnyika
 
Haya ndio matatizo ya hoja za kuokoteza toka kwa hao waliojimilikisha vyama vya upinzani.
 
..Nahisi hata Magufuli hakuwa Msukuma.

..Professor Kabudi alisema Baba yake Magufuli anaitwa Nyamhanga.

..mnaojua majina ya Kisukuma, je Nyamhanga ni jina la Wasukuma?

Siyo Nyamhanga aliitwa Nyahenga na ni pure Sukuma
 
Usukuma upo palepale, sema tu ame-weight risks za kufanya huo upumbavu akaona bora abaki kwenye mstari. Hicho ulichotaka afanye sio jambo dogo labda ingekuwa huko burundi, rwanda, kongo au Uganda sio hapa mkuu, never will it happen.
Rejea historia ya majaribio yaliyofanywa kwa mwalimu na yakafeli ndo utajua watanzania ni watu wa namna gani
Kwani ni kweli hicho kinachosemwa kilitokea?
 
Binafsi ningependa sana nijue, ni kweli kuna watu walijaribu kum sideline Madam President?

Kwamba kuna watu walijaribu kupindua katiba??

JokaKuu
 
Afu mtu kama huyu akifichwa na wasiojulikana watu watalaumu kweli. Ni uchochezi uliopitiliza!!
 
Hitler aliwahi kusema " propaganda ikitumika vizuri, jehanamu itaitwa peponi, na peponi kuwa ni jehanamu"

Nikikumbuka pepo ya libya leo hii ni jehanamu, baada ya kuambiwa pepo yao ni jehanamu, so wanahitaji pepo, ambayo kimsingi ndio jehanamu halisi.

So wale wale walituaminisha jamaa hafai, ndio hao hao leo wanatuambia anafaa na ni four star genaral

Duniani ukijua ajenda na propaganda, huwezi kiyumbishwa na kila upepo.
 
Unachokisema hapa ndio promotion ya ukabila wenyewe. Ama kupandikiza chuki/mgongano ktk nyakati hizi ambazo mama samia anapaswa kutuliza akili na kuiendesha serikali kiweledi.
Asante sana kwa kumsoma huyu mtu
 
Back
Top Bottom