Ule ukabila vipi?

Ule ukabila vipi?

Sio lazima uwapigie kura Chadema wapo ACT, NCCR, UDP na TLP.
Mashinji ni Msukuma, John Mnyika ni Msukuma, Pumbalu mwenyekiti wa BAVICHA ni Msukuma. Zaidi sana kura huwa haziamui chochote hapo bongo, ni geresha tu ya watawala.Hata usipoenda kupiga kura, watashinda tu.Usifikirie kura yako ina umuhimu sana.
Pambalu siyo msukuma huyo ni mfipa. Usirudie tena kosa hilo kudhani na yeye ni mmmoja wa watu makini yaani wasukuma
 
Kwa hiyo hamtaki rais akosolewe pale ambapo anakosea au ni kipi hamuelewi?
Kwani nyie vipi? Mnataka hii nchi iwe ya mazombi, kila kita anachofanya rais tuseme sawa tu? Kama ndio hivyo mnatakq kwa nini sasa msitoe maoni kwamba uhuru wa kutoa maoni unaopatikana katika katiba ufutiliwe mbali?
Binadamu mtu wa ajabu. Pindi tu Mhe. Mama Samia akifanya uteuzi ambao hatuupendi utabadilika mlio wa ngoma - ooh mwanamke, Muislamu n.k n.k Binadamu are unique species.
 
Uko sahihi
Mwanzo nilijua Chadema ni chama cha siasa, so ilipofika 2011 nilichukua kadi

Nilimkubali sana Zitto na Slaa enzi hizo

Baada ya kufika moshi na kugundua siri ya Chadema nilichoma kadi haraka sana

Sasa hua nikiwaona wasukuma wanashangilia chadema, najisemea mwenyewe kuna siku wataijua siri ya hawa wanaowashangilia

Pale chadema hata tundu lissu hana thamani kama John Mrema

Na ukitaka ujue hawa ni wakabila, hata kipindi vifo vya corona vimepamba moto

Walishangilia kila kifo cha mtu wa serikalini isipokua mwenye jina la kwao tu

Ninachoshukuru Mungu hii nchi abadani haitokuja kutawaliwa na mchaga, hata wafanyeje.
 
Wewe naye uko Marekani ipi ambayo hu enjoy "First Amendment" ? Au ndio kuku akikaa na kamba mguuni muda mrefu hata akifunguliwa anahisi bado yuko kifungoni.
Mawazo yako bado ya kigiza giza na ki imla sana kama vile hujakanyaga free world.
You just wait...

It won’t even take that long.
 
Wewe naye uko Marekani ipi ambayo hu enjoy "First Amendment" ? Au ndio kuku akikaa na kamba mguuni muda mrefu hata akifunguliwa anahisi bado yuko kifungoni.
Mawazo yako bado ya kigiza giza na ki imla sana kama vile hujakanyaga free world.
Nobody cares for your opinion.
 
Sent using Jamii Forums mobile app

=====

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limemuhoji Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, kwa tuhuma za kusambaza kipeperushi na sauti kwa lugha ya kisukuma, zenye lengo la kuhamasisha watu kuunda kikundi cha kikabila nchini.

Taarifa hiyo imetolewa leo Machi 3, 2020, na Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalum, SACP Camillius Wambura, na kusema kuwa kutokana na jumbe hizo kuonekana kuhamasisha vitendo vya kikabila,Jeshi hilo limempa onyo kali la kuacha mara moja vitendo vya kuligawa Taifa.

"Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limemuonya vikali Askofu Gwajima kuacha mara moja, vitendo vya kuligawa Taifa kwa kutumia vigezo vya ukabila na kutoa onyo kwa wote wenye nia ya kutaka kuligawa Taifa kwa njia ya ukabila, udini ama ukanda" amesema SACP Wambura.

Aidha Kamanda Wambura ameongeza kuwa, "Katika ujumbe huo wa sauti Askofu Gwajima pia, amewataka wasukuma matajiri kuungana kwa pamoja kwa lengo la kuwasaidia wasukuma maskini ili kuondoa dhana ya kwamba wasukuma ni maskini na ni washamba".
Duh, Ndio maana wameanza kujishtukia
 
Ukweli ni kwamba lengo la kumuweka mabeyo lilikuwa hilo hilo na kwa kiasi fulani hayati Magu alifanikiwa kuliingiza jeshi kwenye siasa,inawezekana Mabeyo hakupenda hali hyo lakini hakuwa na namna ko usishangae sa hivi kufanya hayo ni kwa sababu alokuwa akimuendesha kama gari bovu hayupo tena, kwahiyo amerud kwenye ile misingi ya jeshi kama jeshi
 
Ndugu Nyani Ngabu, Weweni mmojawapo wa wana JF ninaowafuatilia na kuheshimu sana post zenu. Sikujua Kabila lako hadi leo, na pia sikuwa na haja ya kujua kabila lako, kwani utanzania unanitosha.

Kuna usemi tembo haoni kilicho mgongoni mwake. Wasukuma ni kabila kubwa hapa nchini, na watu wenye imani, subira na upendo, tofauti na makabila mengi ya hapa Afrika Mashariki. Mimi ni ushahidi tosha, kwani nina watu wa jamii yangu ambao hawana asilia ya usukumani, lakini wanaishi na kufanya biashara sehemu nyingi za huku makwenu kwa zaidi ya miaka 70 , na hawakubaguliwa hata siku moja, Mwanza na Shinyanga ni mojawapo ya Miji yenye mchamganyiko mkubwa wa watu wa kila kabila.

Tusifumbie macho ukweli, kila kabila au umma lazima lina wachache walio tofauti na mwenendo wa wengi . Ukweli ni kuwa Hayati Raisi Magufuli alikuwa na mengi mazuri, lakini alikuwa Mkabila sana na Mdini, mimi nilikuwa mfuasi wake na nilimpigia kura mara zote mbili, lakini kwa haya ninauwezo wa kusema kuwa alikuwa MKABILA, MPENDELEAJI NA MDINI, Ukiangalia Baraza lake la Mawaziri ni ushahidi tosha, hata kwenye Udini alienda mbali sana , katika upendeleo wa kidini alielemea zaidi kwenye Madhehebu yake ya kikatoliki.

Wasukuma wengi hawakufurahia ukabila aliokuwa anaufanya, kwani hata hivyo hakuwa anawatendea haki wasukuma kwa ujumla, bali pale penye maslahi yake na wale wakaribu wake.

Wasukuma ni watu wenye mila nzuri na wapenda haki, ila kuna haka kakundi kinachotaka kulitumia taifa, kupitia ukabila, na wanufaika watakuwa ni wao wachache, ukabila unawanufaisha wachache, kupitia mgongo wa wengi.

Tunaihitaji TANZANIA isiyo ya kikabila,
Ukweli ni kwamba, hakuna watu wenye nature ya uadilifu kama watu wa kanda ya ziwa, ni magents wa nchii wazuri, wenye misimamo, makabila mengine wanatabia za kike sana, na hatuwezi kuwaepuka watu wa huko
 
Binadamu mtu wa ajabu. Pindi tu Mhe. Mama Samia akifanya uteuzi ambao hatuupendi utabadilika mlio wa ngoma - ooh mwanamke, Muislamu n.k n.k Binadamu are unique species.
Theo
Kwan wakat wa JPM penyewe hawakupinga? Ama mmesahau wale wakuu wa TPA walikamatwa nyakati zile? Haya wako wapi sasahiv. Hiv Masamaki yupo ndani ama wapi?
 
Haya bwashee mtoto wa Kaka yako huko Bandari wameshamvurumisha.

Mbona hata JPM amewavurumisha wengi tu,vipi sasa sisi CDM itakuwaje sasa,tutashika madaraka ya Nchi hii au ndiyo tumeshakubali yaishe,But pia shida yangu ni kina Mushi kujiona ndiyo wana haki zaidi ktk hii Nchi kuliko wengine.Kwamba Daraja la Mto Wami ni sawa lijengwe ila la Busisi hapana kwakuwa la Mto wami wanapita wao na la Busisi watapita “Wasukuma”.
 
Back
Top Bottom