Ule mradi wa Bashe umeishia wapi?

Unapofika ufisadi wa CCM ndipo Huwa unakumbuka Kuna stress. Acha kudanganya watu, ukweli ni kwamba Bashe alitumia mradi wa BBT kujinufaisha.
 
Mrad uleee n pesa zetuuuu! Waliokula wanekula, endeleen kutimua vijan wasaka furss kstikat ys jij kam wamachinga
 
Kila nikisikia jina la bashe nakumbuka sukari, mbolea na BBT, hapo ndo utajiri wake ulipoanzia.
 
LABDA NIMEJIFUNZA SANA,KWA HILI,""WALE WATU WANAOJUA KUONGEA SANA NA KUTOA DATA NYINGI SANA KWENYE IMPLEMENTATION HUWA ZERO KABISA""NIMEJIFUNZA KWA MUHONGO NA BASHE,ALL ARE GOOD 🔊 SPEAKER!....
 
Samia na Bashe mradi ule wa kilimo wa vijana mliowaweka kambini na kuwatengenezea mashamba umeushia wapi?

Vipi wale watoto wakike mliokuwa mnawala uroda kule na kuwabebesha mimba mmewasaidia au mmewatelekeza?

Je CHADEMA ndiyo wamefelisha?
Upigaji tuu
 
Dah kumbe watu wa lumumba sometimes upstairs mko fit na kushusha nondo za hatarii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…