Ulaya sasa hailipi!

Ulaya sasa hailipi!

Sijali

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Posts
2,700
Reaction score
1,853
Katika uzi 'thread' huu, tujadili mambo chanya na hasi ya kusafiri kwenda Ulaya kutafuta maisha. Angalia, orodha hii ni ya watu walioamua kurudi wenyewe kutoka Greece mwaka huu. Hii ni kupitiua shirika moja la Kimataifa, IOM, lakini kuna uwezekano wengi wamefungasha virago wenyewe.

SER. NUM.
COUNTRY OF ORIGIN

NUMBER OF RETURNEES
01/01/2012-31/12/2012
1
AFGHANISTAN
1153
2
ALGERIA
2
3
ARMENIA
22
4
BANGLADESH
911
5
BELARUS
1
6
BRAZIL
3
7
BULGARIA
2
8
BURKINA FASO
15
9
CAMBODIA
1
10
CAMERRON
2
11
CHINA
29
12
COMORES
1
13
CONGO
3
14
IVORY COAST
13
15
DR CONGO
6
16
EGYPT
88
17
ETHIOPIA
30
18
GEORGIA
51
19
GHANA
76
20
GUINEA
5
21
INDIA
53
22
INDONESIA
4
23
IRAN
107
24
IRAQ
173
25
JORDAN
1
26
KAZAKHSTAN
1
27
KENYA
30
28
LATVIA
2
29
LEBANON
4
30
MAGADASKAR
2
31
MALI
1
32
MAURITANIA
5
33
MOLDAVIA
6
34
MOROCCO
287
35
NEPAL
9
36
NIGERIA
69
37
PAKISTAN
3850
38
PHILIPPINES
57
39
ROMANIA
18
40
RUSSIA
8
41
S. SUDAN
1
42
SENEGAL
48
43
SIERRA LEONE
2
44
SRI LANKA
28
45
SUDAN
33
46
SYRIA
4
47
TANZANIA
20
48
TOGO
1
49
TUNISIA
33
50
UGANDA
9
51
UKRAINE
4
52
UZBEKISTAN
2
53
YEMEN
4

TOTAL
7290
 
kuna mdau mmoja wa hapa jf inawezekana naye ndicho kilichomrejesha?
 
ulaya,marekani kodi zimezidi pesa unapata lakin matumiz makubwa,unafanya kazi upumziki kama mtumwa,elimu ya apa sijui usome political sayansi,education etc utabeba boksi na kusafisha barabara mpaka unarudi nyumbani,harafu kule awatak uchelewe kazini,kama ni muda wa kazi ni kazi tu adi unamaliza hakuna kwenda lunch muda wa kazi,uko tz watu wanapiga story tu mahofisini kule kazi tu
 
Duu,kwahiyo inabidi ubebe misosi kwenye mabegi?au inakuaje hapo?
Aisee mambo yako tight kwenye izo nchi!ila ni bora una uhakika wa kula kwa jasho lako kuliko tz ni wengi wako tayari kufanya kazi na kazi hamna.

Ndio maana vyakula vingi vya makopo,nyama,samaki vyote viko kwenye makopo,hakuna muda wa kupika
 
Sijali,

Sasa tuwekee na listi ya walioingia kwa tarehe hizo hizo.
 
Last edited by a moderator:
waambie wasitishe hizo safari zao za kuzamia huko
 
ulaya,marekani kodi zimezidi pesa unapata lakin matumiz makubwa,unafanya kazi upumziki kama mtumwa,elimu ya apa sijui usome political sayansi,education etc utabeba boksi na kusafisha barabara mpaka unarudi nyumbani,harafu kule awatak uchelewe kazini,kama ni muda wa kazi ni kazi tu adi unamaliza hakuna kwenda lunch muda wa kazi,uko tz watu wanapiga story tu mahofisini kule kazi tu

Mkuu huku watu huingia kazini saa Mbili na Nusu, Saa nne Kamili wanatoka kwenda Chai hadi sa Tano, Saa saba tena wanatoka kwenda Kula hadi sa Nane, Na sa Kumi ni nyumbani, na kazini kikubwa ni kupiga story za Ligi ya Uingereza
 
kule si mchezo,ila unapata moyo sababu ya kulipwa kwa saa
 
kule si mchezo,ila unapata moyo sababu ya kulipwa kwa saa

hata wazungu wanakimbilia Africa hivi karibuni walionyesha kwenye tv moja kama sikosei aljazeera , Wareno wanavyokimbilia Angola kwa maelfu
 
kweli kabisa mambo yamekuwa magumu sana! ila kula labda huko America.. kuna masaa ya lunch kuanzia saa sita kamili hadi saba.. yani lisaa limoja la kula na kupumzika kidogo. Ila nyumbani nako pagumu kama huna ujanja!!
 
Umesema kweli maria!si kwamba kwa vile ulaya hailipi inapafanya bongo ndo pawe peponi. yote yanategemea mipango,maandalizi,connection ulizo nazo,n.k.
Kwa jinsi nionavyo something s better than nothing,anaepiga boksi si sawa na aliekaa bila ajira bongo. na mwenye genge bongo ni heri kuliko mpiga boksi asiye na malengo.

kweli kabisa mambo yamekuwa magumu sana! ila kula labda huko America.. kuna masaa ya lunch kuanzia saa sita kamili hadi saba.. yani lisaa limoja la kula na kupumzika kidogo. Ila nyumbani nako pagumu kama huna ujanja!!
 
Kweli kabisa maisha magumu sana kiasi kwamba mtu unatamani kurudi home. Ushauri Wa bure kwa wanao taka kuja huku kazanieni elimu mpate kazi zenye hadhi badala ya kuja huku na kuishia kufagia vyoo na barabara
 
Maisha yatakuia magumu USA Kama mvivu.America is about hard working 24 hours schedule Huku Nchi inafanya kazi .ukileta umayai unaumbuka na ukitaka kushindana na watoto wa mafisadi utaumia.Social security no yako ndio maisha yenyewe ukichezea utalia na wewe .Uwe na productive constructive friends watakaokusaidia.club pombe na umbea na shughuli zisizoisha utalia.USA ni nchi peke yake regardless unapotokea ukitulia utakuwa na maisha mazuri nothing impossible hapa.madili USA hakuna
 
ebo kule ni msala eti, raia wanapiga mswaki kwa public transport, wengine wanamalizia kuvaa soksi na kula breakfast kwenye elevator, si mchezo kabisa.
 
Miye nipo hapa Ulaya nasoma tangu mwaka jana. vijana wa ki-malawi wanapita kukusanya michango kwa ajili ya refugees. Sijaona mtanzania,sijui kama wapo hapa ama wamejificha. Kweli maisha ya hapa ni magumu. Sisi wanafunzi wa masters za sayansi,kuna ajira na ukiajiriwa ni wastani wa paundi 26ooo kwa mwaka. Ila ukipigi matumizi ya mwaka mzima utajikuta unabaki na kiasi cha paundi 6000 tu,hujaweka starehe kidogo. Sasa ujiuliza hawa watu wazamia humu kuna nini? Nashauri msije huku? Mimi namaliza september na narudi september hiyo hiyo
 
Huko ulipopata hizi data walisema ni watanzania wangapi wapo Ulaya? 20 tu wakirudi nyumbani ina justify ku conclude kuwa 'ulaya sasa hailipi'?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom