Heaven Seeker
JF-Expert Member
- May 12, 2017
- 479
- 1,080
1. Kufahamu lugha yao ni jambo muhimu iwapo unahitaji kweli kuzamia/kuishi. Namna gani utafahamu lugha hilo ni jambo lingine ambalo unaweza kutumia njia mbalimbali ikiwamo njia ya online studies (Youtube n.k)Kiongozi kwaio vzr usome lugha yao hata miezi flani km short course ausio? Wkt ume ingia na je hizi permits ina kuaje mkuu hebu tu fungulie kgd Kiongozi
Njoo tufanye biashara ya Ng'ombe bro.Kuna fursa gani huko ya kuwekeza kama nikija na milioni 10 za kibongo. Naomba uzoefu mwehu ndama
hahaaha yani paragraph ya kwanza haihusiani na ya pili....juu ushauri wa hekma chini naona umetumia mbinu za usutaji za kina mama wa uswahilini ..Pole sana, angalau umethubutu kukiri mapema kuwa ughaibuni hapajakufaa, wazamiaji wengine hawasemi lolote hukomaa kibishi wakati wakiwa na maisha magumu tu. Mkataa kwao ni mtumwa, we rudi tu home ilimradi usije kutuongezea Corona hapa nyumbani.
Kutamani kwako kurudi hakutukatishi tamaa sie wengine wenye ndoto za kuja ughaibuni, tutakuja tu! Maana hapa maisha sio kabisa. Sie hatuamini kama huko ni pagumu, labda ni fikra zako za kupambana zimefikia ukomo. Hao mademu na vibibi ulivyotongoza ndani ya miezi mitatu ni vingapi!? Yaani ilitoka bongo, weapon yako kubwa ikiwa ni mb*o... Na haijakupa matumaini yoyote ndani ya kipindi cha miezi mitatu! Uliamini wanaume walioko huko wote ni vibamia, kwamba umekwenda kuwakomboa kina mama na vibibi kwa kutofikishwa Uhuru peak!? Acha uboya mwana!! Komaa!! Mawazo ya kurudi bongo ni uchuro kabisa, bora hata awamu hii ingekuwa inafika ukingoni. Ukirudi utajuta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo jamaa kanifurahisha kaanza Kama kpndoo then kamaliza Kama leopard ππππΌhahaaha yani paragraph ya kwanza haihusiani na ya pili....juu ushauri wa hekma chini naona umetumia mbinu za usutaji za kina mama wa uswahilini ..
Mtoto mchele mchele wewe... kwenda kwenyewe yondo sister umefunga mkanda! Wenzio hapo tumeingia kwa kupiga mitumbwi ndo tukaingia pande hizo. ila haikuwa mavumba tukarost na kurudishwa bongo kula vitumbua vya moto na mihogo ya kukaanga. Yani ww kiwanja ushaingia tena umepokelewa maji moto maji baridi miezi mitatu tu umembwelaπ― inaonekana hata huku bongo maisha yenu mboga saba ugali kitenesi. Kwa hiyo ww ulitegemea ukiingia kiwanja tu kuna miti ya hela? Afu nyie ndo mkirudi mnakuja kuongea udwanzi habari za viwanja. Kibaharia una kesi ya kujibuβΉMim mwehu ndama kijana wa kitanzania niliwah kuandika uzi kuomba msaada kuhusu jinsi yakupata visa yakuingia nchini Sweden, na nashukuru Kwa maoni ya baadhi ya wadau nilifanikiwa kufuata ushauri nakufanikiwa kutia maguu ndani ya bara la uropa.
Lakini tangu nilipotoka bongo nakufika hapa ughaibuni huku kichwani nikiwa na lengo la kujilipua nakubaki huku moja Kwa moja maisha yamekua tofauti na nilivyo fikiria..
Ukizingatia mwenyeji wangu nayeye anaishi hapa kiujanja ujanja.
Niliomba visa ya wiki 3 na bahati nzuri baada yakufika hapa na nlipokaribia KUMALIZA muda wangu waliniongeza miezi mingine 3.
Lakini sasa sioni kinachobadilika katika maisha yangu zaidi yakupata huduma nzuri ya chakula nakuvuta hewa Safi hapa Uppsala .
Kiukweli maisha ya hapa yanazidi kuwa magumu Kwa upande wangu sababu nimejaribu kuanzisha mahusiano na mabinti, wanawake watu wazima Hadi vikongwe ili kusudi atakae jaa nioe ili niweze kupata makaratasi lakini nawao wamekuwa wagumu.
Sitaki kujivika status za kikimbizi maana nahisi ntaaribu kabisa mpangilio wote wa maisha yangu nakuitendea ubaya elimu yangu niliyoipata Kwa shida bongo land.
Nimekua mzururaji na cha ajabu hata zile KAZI za kubeba box nilizokua nazisikia zikisemwa Sana na wadau humu jf sizipati.
Kwa kifupi uchumi wangu umedidimia mara 100 zaidi ya hata nilivyokua bongo , mpaka najuta Kwa nini nilitumia pesa yangu nlioichanga Kwa shida kama nauli yakuja huku uzunguni pasipo na manufaa ya kiuchumi kwangu.
Hapa navyoongea nimeshawasilisha ombi la msaada wa nauli ya kurudi nyumbani katika kanisa naloSali hapa Uppsala.
Kwa kifupi narudi nyumbani na nikifika hapo Kwa mkuu jiwe naenda moja Kwa moja kijijini kwetu namanditi songea kulima.
Bye bye wabongo mliopo Sweden mim maisha yamenishinda narudi nyumbani.
View attachment 1389715View attachment 1389716
Sent using Jamii Forums mobile app
Asirudi Bongo ama Uswisi, ni wapi atakapopata tabu?!aiseee usirudi mkuu huku utapata tabu sana
ulaya bila kazi za kueleweka na uenyeji ni zaidi ya jehenamu ni bora akalime bongoAsirudi Bongo ama Uswisi, ni wapi atakapopata tabu?!
Na wewe si uko huko ulaya ,mpe madini mshikaji apambaneaiseee usirudi mkuu huku utapata tabu sana
Yeye Yuko Sweden mkuu, halafu ulaya Kama huna uenyeji na kazi ya kueleweka ni jehenamu aiseeNa wewe si uko huko ulaya ,mpe madini mshikaji apambane
Yeye Yuko Sweden mkuu, halafu ulaya Kama huna uenyeji na kazi ya kueleweka ni jehenamu aisee
hahahahahaha hakuna rangi ameacha kumuonesha jamaa....Huyo jamaa kanifurahisha kaanza Kama kpndoo then kamaliza Kama leopard ππππΌ
Karekebisha haraka kabla hakijanuka.Asirudi Bongo ama Uswisi, ni wapi atakapopata tabu?!