Ulaya pamenishinda narudi bongo

Ulaya pamenishinda narudi bongo

Status
Not open for further replies.
Miezi 3 tu umekata tamaa? Wacha demo wewe vumilia umalize mwaka huu, mwanza mgumu
 
Wewe mwehu ndama unawakilisha vijana wa sasa wa Tz. Miezi mitatu unataka uwe iumetimiza ndoto zako zote. Ndio nyinyi mkiajiriwa unataka miezi mitatu ununue gari,ujenge,uoe,uwe na bilioni benki matokeo yake mnakuwa wezi mnaishia jela.

Maisha sio rahisi kama unavyotaka iwe.
Muongo huyo anatupa tu taarifa kuwa yupo ulaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuipata sasa, siyo rahisi kama watu wasemavyo. Hizo kazi kweli zipo ila siyo rahisi kupata. Mfano kwa Sweden, ili upate kazi kama hizo unatakiwa uwe na kitu kinaitwa Personal number inayokuwezesha kupata Swedish National ID. Kukidhi vigezo ni mpaka uwe na Residence permit inayokuwezesha kuishi kuanzia mwaka mmoja na kuendelea. Siyo VISA ya miezi mitatu 3 tu.

Halafu Sweden wanatumia lugha yao ya Kiswidi(Swedish). Ili upate kazi ya kuwachambisha hao wazee unaosema unatakiwa uwe unafahamu Kiswid. Sasa mtu aliyekaa miezi 3 ataweza vipi kuzungumza Kiswid aweze kuwasiliana na hao wazee? Maana siyo tu swala la kuwachmbisha; ila pia unatakiwa kuwalea na kuwatunza pia.

Ukiwa home unaona Ulaya yote ukishafika tu mambo yatakuwa poa; ila mambo si rahisi kama inavyozungumzwa humu mitandaoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiongozi kwaio vzr usome lugha yao hata miezi flani km short course ausio? Wkt ume ingia na je hizi permits ina kuaje mkuu hebu tu fungulie kgd Kiongozi
 
Mim mwehu ndama kijana wa kitanzania niliwah kuandika uzi kuomba msaada kuhusu jinsi yakupata visa yakuingia nchini Sweden, na nashukuru Kwa maoni ya baadhi ya wadau nilifanikiwa kufuata ushauri nakufanikiwa kutia maguu ndani ya bara la uropa.

Lakini tangu nilipotoka bongo nakufika hapa ughaibuni huku kichwani nikiwa na lengo la kujilipua nakubaki huku moja Kwa moja maisha yamekua tofauti na nilivyo fikiria..
Ukizingatia mwenyeji wangu nayeye anaishi hapa kiujanja ujanja.

Niliomba visa ya wiki 3 na bahati nzuri baada yakufika hapa na nlipokaribia KUMALIZA muda wangu waliniongeza miezi mingine 3.

Lakini sasa sioni kinachobadilika katika maisha yangu zaidi yakupata huduma nzuri ya chakula nakuvuta hewa Safi hapa Uppsala .

Kiukweli maisha ya hapa yanazidi kuwa magumu Kwa upande wangu sababu nimejaribu kuanzisha mahusiano na mabinti, wanawake watu wazima Hadi vikongwe ili kusudi atakae jaa nioe ili niweze kupata makaratasi lakini nawao wamekuwa wagumu.

Sitaki kujivika status za kikimbizi maana nahisi ntaaribu kabisa mpangilio wote wa maisha yangu nakuitendea ubaya elimu yangu niliyoipata Kwa shida bongo land.

Nimekua mzururaji na cha ajabu hata zile KAZI za kubeba box nilizokua nazisikia zikisemwa Sana na wadau humu jf sizipati.

Kwa kifupi uchumi wangu umedidimia mara 100 zaidi ya hata nilivyokua bongo , mpaka najuta Kwa nini nilitumia pesa yangu nlioichanga Kwa shida kama nauli yakuja huku uzunguni pasipo na manufaa ya kiuchumi kwangu.

Hapa navyoongea nimeshawasilisha ombi la msaada wa nauli ya kurudi nyumbani katika kanisa naloSali hapa Uppsala.

Kwa kifupi narudi nyumbani na nikifika hapo Kwa mkuu jiwe naenda moja Kwa moja kijijini kwetu namanditi songea kulima.

Bye bye wabongo mliopo Sweden mim maisha yamenishinda narudi nyumbani.

View attachment 1389715View attachment 1389716

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana. Kupata makaratasi ni mtihani. Vibibi nao walishajua mnataka kuwatumia kama daraja la kupata paper. Ulaya kama hauna paper ni mtihani.Utakuja kupata paper na kama njia yako ya kupata paper ni kuoa mswedish ipo siku utampata. Ila ndiyo hujui lini. Fuata moyo wako.
 
Kubali au kataa,wacongo na warundi ndio watu rahisi kuoa na wana makaratasi halali kama una shida ya makaratasi.achana na wazungu.wote wamefulia ukimuomba mtu dola Mia anakublok.lakini amini nakwambia,ukichanganya na wacongo utapata mtu wa kukusaidia kila kitu kuanzia ramani mpka makao.trust me tena uongee kiswahili umewapata.achana na wazungu.watakupotezea muda wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Man,wewe kweli umekaa Europe,unacho ongea ni 100%.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wenye malengo ya kupata makaratasi kupitia kwa wanawake ushauri wangu ni huu:-

Tafuta mwanamke ukiwa bado Afrika, siyo unaingia kwanza kisha ndio unatafuta mwanamke.

Mbali ya hapo mbadala ni kujipiga tu, na hata kujipiga ujiandae haswa, Ulaya mambo yamebadilika sana
 
Mkuu bora urudi,,,ulaya ni kupoteza muda,,Mimi Nina week tangia nifanye maamuzi ya kurudi kutoka France,,, ulaya yote sasa imajaa waarabu na watu weusi wengi wao wakiiingia kwa njia za panya kutokea Libya na Morocco...kupitia BAHARI...ukitokea Libya unaitafuta Italy,,,wanaotokea Morocco wanaibukia Spain,,makundi kwa makundi,,, mkuu ulaya ya Leo sio ile ya zamani .ULAYA YA LEO KUNA ROBA ZA MBAO,,,.now kazi za box hakuna,,,rudi nyumbani mkuu,,usipoteze muda wako..

Sent using Jamii Forums mobile app
France ulikua sehemu gani ?
 
Ndo wajue wale wanaoipondaga Tanzania na Africa kua huko siko kwao,pambania nyumbani utafanikiwa tu,njoo Mang'ola tulime kitunguu
Mim mwehu ndama kijana wa kitanzania niliwah kuandika uzi kuomba msaada kuhusu jinsi yakupata visa yakuingia nchini Sweden, na nashukuru Kwa maoni ya baadhi ya wadau nilifanikiwa kufuata ushauri nakufanikiwa kutia maguu ndani ya bara la uropa.

Lakini tangu nilipotoka bongo nakufika hapa ughaibuni huku kichwani nikiwa na lengo la kujilipua nakubaki huku moja Kwa moja maisha yamekua tofauti na nilivyo fikiria..
Ukizingatia mwenyeji wangu nayeye anaishi hapa kiujanja ujanja.

Niliomba visa ya wiki 3 na bahati nzuri baada yakufika hapa na nlipokaribia KUMALIZA muda wangu waliniongeza miezi mingine 3.

Lakini sasa sioni kinachobadilika katika maisha yangu zaidi yakupata huduma nzuri ya chakula nakuvuta hewa Safi hapa Uppsala .

Kiukweli maisha ya hapa yanazidi kuwa magumu Kwa upande wangu sababu nimejaribu kuanzisha mahusiano na mabinti, wanawake watu wazima Hadi vikongwe ili kusudi atakae jaa nioe ili niweze kupata makaratasi lakini nawao wamekuwa wagumu.

Sitaki kujivika status za kikimbizi maana nahisi ntaaribu kabisa mpangilio wote wa maisha yangu nakuitendea ubaya elimu yangu niliyoipata Kwa shida bongo land.

Nimekua mzururaji na cha ajabu hata zile KAZI za kubeba box nilizokua nazisikia zikisemwa Sana na wadau humu jf sizipati.

Kwa kifupi uchumi wangu umedidimia mara 100 zaidi ya hata nilivyokua bongo , mpaka najuta Kwa nini nilitumia pesa yangu nlioichanga Kwa shida kama nauli yakuja huku uzunguni pasipo na manufaa ya kiuchumi kwangu.

Hapa navyoongea nimeshawasilisha ombi la msaada wa nauli ya kurudi nyumbani katika kanisa naloSali hapa Uppsala.

Kwa kifupi narudi nyumbani na nikifika hapo Kwa mkuu jiwe naenda moja Kwa moja kijijini kwetu namanditi songea kulima.

Bye bye wabongo mliopo Sweden mim maisha yamenishinda narudi nyumbani.

View attachment 1389715View attachment 1389716

Sent using Jamii Forums mobile app

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
mbona wazungu wao hawawazi kuja africa kusaka maisha ili hali wanajua raslimali za kutosha ziko huku?sisi tunafeli wapi lakini mkuu kwani wazungu wao unaoishi nao wanafanya kazi gani zinazo waweka mjini nchini kwao ambazo wewe zimekushinda kufanya.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom