Mamndenyi
Platinum Member
- Apr 11, 2011
- 44,606
- 64,450
Ukanyage ulaya tena huko mbele useme unarudi kulima, tafuta hata kazi ya upishi au kuosha wazee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Usituletee corona yako baki huko huko.Mim mwehu ndama kijana wa kitanzania niliwah kuandika uzi kuomba msaada kuhusu jinsi yakupata visa yakuingia nchini Sweden, na nashukuru Kwa maoni ya baadhi ya wadau nilifanikiwa kufuata ushauri nakufanikiwa kutia maguu ndani ya bara la uropa.
Lakini tangu nilipotoka bongo nakufika hapa ughaibuni huku kichwani nikiwa na lengo la kujilipua nakubaki huku moja Kwa moja maisha yamekua tofauti na nilivyo fikiria..
Ukizingatia mwenyeji wangu nayeye anaishi hapa kiujanja ujanja.
Niliomba visa ya wiki 3 na bahati nzuri baada yakufika hapa na nlipokaribia KUMALIZA muda wangu waliniongeza miezi mingine 3.
Lakini sasa sioni kinachobadilika katika maisha yangu zaidi yakupata huduma nzuri ya chakula nakuvuta hewa Safi hapa Uppsala .
Kiukweli maisha ya hapa yanazidi kuwa magumu Kwa upande wangu sababu nimejaribu kuanzisha mahusiano na mabinti, wanawake watu wazima Hadi vikongwe ili kusudi atakae jaa nioe ili niweze kupata makaratasi lakini nawao wamekuwa wagumu.
Sitaki kujivika status za kikimbizi maana nahisi ntaaribu kabisa mpangilio wote wa maisha yangu nakuitendea ubaya elimu yangu niliyoipata Kwa shida bongo land.
Nimekua mzururaji na cha ajabu hata zile KAZI za kubeba box nilizokua nazisikia zikisemwa Sana na wadau humu jf sizipati.
Kwa kifupi uchumi wangu umedidimia mara 100 zaidi ya hata nilivyokua bongo , mpaka najuta Kwa nini nilitumia pesa yangu nlioichanga Kwa shida kama nauli yakuja huku uzunguni pasipo na manufaa ya kiuchumi kwangu.
Hapa navyoongea nimeshawasilisha ombi la msaada wa nauli ya kurudi nyumbani katika kanisa naloSali hapa Uppsala.
Kwa kifupi narudi nyumbani na nikifika hapo Kwa mkuu jiwe naenda moja Kwa moja kijijini kwetu namanditi songea kulima.
Bye bye wabongo mliopo Sweden mim maisha yamenishinda narudi nyumbani.
View attachment 1389715View attachment 1389716
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hali iliyopo kaa tu huko ndg maana huku pia hali imebadilika kwa dharura ya kiafya baada mtanzania mwenzetu kupatokana na shida hiiMim mwehu ndama kijana wa kitanzania niliwah kuandika uzi kuomba msaada kuhusu jinsi yakupata visa yakuingia nchini Sweden, na nashukuru Kwa maoni ya baadhi ya wadau nilifanikiwa kufuata ushauri nakufanikiwa kutia maguu ndani ya bara la uropa.
Lakini tangu nilipotoka bongo nakufika hapa ughaibuni huku kichwani nikiwa na lengo la kujilipua nakubaki huku moja Kwa moja maisha yamekua tofauti na nilivyo fikiria..
Ukizingatia mwenyeji wangu nayeye anaishi hapa kiujanja ujanja.
Niliomba visa ya wiki 3 na bahati nzuri baada yakufika hapa na nlipokaribia KUMALIZA muda wangu waliniongeza miezi mingine 3.
Lakini sasa sioni kinachobadilika katika maisha yangu zaidi yakupata huduma nzuri ya chakula nakuvuta hewa Safi hapa Uppsala .
Kiukweli maisha ya hapa yanazidi kuwa magumu Kwa upande wangu sababu nimejaribu kuanzisha mahusiano na mabinti, wanawake watu wazima Hadi vikongwe ili kusudi atakae jaa nioe ili niweze kupata makaratasi lakini nawao wamekuwa wagumu.
Sitaki kujivika status za kikimbizi maana nahisi ntaaribu kabisa mpangilio wote wa maisha yangu nakuitendea ubaya elimu yangu niliyoipata Kwa shida bongo land.
Nimekua mzururaji na cha ajabu hata zile KAZI za kubeba box nilizokua nazisikia zikisemwa Sana na wadau humu jf sizipati.
Kwa kifupi uchumi wangu umedidimia mara 100 zaidi ya hata nilivyokua bongo , mpaka najuta Kwa nini nilitumia pesa yangu nlioichanga Kwa shida kama nauli yakuja huku uzunguni pasipo na manufaa ya kiuchumi kwangu.
Hapa navyoongea nimeshawasilisha ombi la msaada wa nauli ya kurudi nyumbani katika kanisa naloSali hapa Uppsala.
Kwa kifupi narudi nyumbani na nikifika hapo Kwa mkuu jiwe naenda moja Kwa moja kijijini kwetu namanditi songea kulima.
Bye bye wabongo mliopo Sweden mim maisha yamenishinda narudi nyumbani.
View attachment 1389715View attachment 1389716
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukanyage ulaya tena huko mbele useme unarudi kulima, tafuta hata kazi ya upishi au kuosha wazee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rudi mapema balozi wako yuko huku hana jipya ni kuzurura tuMim mwehu ndama kijana wa kitanzania niliwah kuandika uzi kuomba msaada kuhusu jinsi yakupata visa yakuingia nchini Sweden, na nashukuru Kwa maoni ya baadhi ya wadau nilifanikiwa kufuata ushauri nakufanikiwa kutia maguu ndani ya bara la uropa.
Lakini tangu nilipotoka bongo nakufika hapa ughaibuni huku kichwani nikiwa na lengo la kujilipua nakubaki huku moja Kwa moja maisha yamekua tofauti na nilivyo fikiria..
Ukizingatia mwenyeji wangu nayeye anaishi hapa kiujanja ujanja.
Niliomba visa ya wiki 3 na bahati nzuri baada yakufika hapa na nlipokaribia KUMALIZA muda wangu waliniongeza miezi mingine 3.
Lakini sasa sioni kinachobadilika katika maisha yangu zaidi yakupata huduma nzuri ya chakula nakuvuta hewa Safi hapa Uppsala .
Kiukweli maisha ya hapa yanazidi kuwa magumu Kwa upande wangu sababu nimejaribu kuanzisha mahusiano na mabinti, wanawake watu wazima Hadi vikongwe ili kusudi atakae jaa nioe ili niweze kupata makaratasi lakini nawao wamekuwa wagumu.
Sitaki kujivika status za kikimbizi maana nahisi ntaaribu kabisa mpangilio wote wa maisha yangu nakuitendea ubaya elimu yangu niliyoipata Kwa shida bongo land.
Nimekua mzururaji na cha ajabu hata zile KAZI za kubeba box nilizokua nazisikia zikisemwa Sana na wadau humu jf sizipati.
Kwa kifupi uchumi wangu umedidimia mara 100 zaidi ya hata nilivyokua bongo , mpaka najuta Kwa nini nilitumia pesa yangu nlioichanga Kwa shida kama nauli yakuja huku uzunguni pasipo na manufaa ya kiuchumi kwangu.
Hapa navyoongea nimeshawasilisha ombi la msaada wa nauli ya kurudi nyumbani katika kanisa naloSali hapa Uppsala.
Kwa kifupi narudi nyumbani na nikifika hapo Kwa mkuu jiwe naenda moja Kwa moja kijijini kwetu namanditi songea kulima.
Bye bye wabongo mliopo Sweden mim maisha yamenishinda narudi nyumbani.
View attachment 1389715View attachment 1389716
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana, angalau umethubutu kukiri mapema kuwa ughaibuni hapajakufaa, wazamiaji wengine hawasemi lolote hukomaa kibishi wakati wakiwa na maisha magumu tu. Mkataa kwao ni mtumwa, we rudi tu home ilimradi usije kutuongezea Corona hapa nyumbani.
Kutamani kwako kurudi hakutukatishi tamaa sie wengine wenye ndoto za kuja ughaibuni, tutakuja tu! Maana hapa maisha sio kabisa. Sie hatuamini kama huko ni pagumu, labda ni fikra zako za kupambana zimefikia ukomo. Hao mademu na vibibi ulivyotongoza ndani ya miezi mitatu ni vingapi!? Yaani ilitoka bongo, weapon yako kubwa ikiwa ni mb*o... Na haijakupa matumaini yoyote ndani ya kipindi cha miezi mitatu! Uliamini wanaume walioko huko wote ni vibamia, kwamba umekwenda kuwakomboa kina mama na vibibi kwa kutofikishwa Uhuru peak!? Acha uboya mwana!! Komaa!! Mawazo ya kurudi bongo ni uchuro kabisa, bora hata awamu hii ingekuwa inafika ukingoni. Ukirudi utajuta.

Duh!Wewe Sky wewe. Umenivunjaje mbavu!!!Chambisha wazungu wewe, Kuna mzee wa Kinigeria aliniambia akiona mavi ya wazee kwake anaona US$
Mababu wamemchunia kakosa marketMtoto wa kiume komaa
Legelege wa kwanza ni wewe ambaye husomi comment hadi mwisho. Hapo ulipo hata ofisi za migration hujui zilipo, umekomaa na tecno yako kuwasema watu vibaya.Wanaume legelege pumbafu kabisa, eti mkataa kwao mtumwa, hizi saying za kimasikini hizi hazina maana yoyote...yeye peke yake ndio kashindwa maisha, hajakomaa, wiki 3 maisha yamekushinda? Pumbafu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wanajiamini kwa kut*mb* hadi wanasaka passport na viza kwenda kuonyesha umwamba kwa vibibi vya kizungu! Huyu bahari sio kabisa yaani! Miezi siku tisini tayari ushatamani bongo!!Hahaha Mkuu hiyo ya weapon yake n oomb dah umetisha alijua dhakar ndio msaada alitaka kutuwakilsha kimataifa lakn ndio hvyo mambo magumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivyo eeh! Njoo nikupanguse machozi kabla Mr. Bishanga hajarudi.Hii comment yako hiyo afya ya pili imenichekesha Hadi nimelia....wewe ni sheedah