Ulaji mchanga Kwa wanaumme

nyamva

JF-Expert Member
Oct 6, 2015
244
155
Salam wapendwa nikiwa mdogo nlikuwa napenda sana kula udongo hata nilishwe chakula kitamu kias gan lazima ntautafuta udongo kwenye nyumba fulani nchokonoe nile.

Utafiti Wangu umeonesha si mimi tu nimekuwa kwenye haya matatizo.

Naomba kujulishwa kuwa hili tatizo husababishwa na nini kwa wanaume.

Sasa hivi ni mtu Mzima nilishaacha baada ya kuhamia mjini nijuzeni wapendwa
 
Back
Top Bottom