Ulaji chipsi kwa wanaume hupunguza nguvu za kiume

ukila mkia wa kondoo unarudisha nguvu zote za kiume zilizopotezwa na ulaji wa chips.
Kuleni chochote ila msisahau kula mkia wa kondoo
 
Hizo stori tu kula Chips ,matunda mboga mingi,kama hujaona sex unavyoipeleka fresh.Viazi vile vipunguze nguvu za kiume ,acheni utani Chips kama kawaida
 
Hizo stori tu kula Chips ,matunda mboga mingi,kama hujaona sex unavyoipeleka fresh.Viazi vile vipunguze nguvu za kiume ,acheni utani Chips kama kawaida .."mtaja Sema foleni za mjini zinapunguza nguvu sijui za kiume ,kike'
 
Pia ulaji wa ugali kwa wanawake upunguza nguvu za kike..nimeona hii kupitia kichuguu tv.
 
sikubaliani na hiyo habari.navyojua mimi kuwa na mafuta mwilini ndo tatizo haijalishi kama ulikula viazi wali , ugali, nk.muhimu ni ku coontrol msosi na kufanya mazoezi
 
ha ha ha watu wamepatikana leo...

Nafikiria tu hiyo report uchwara ingelitamka kinyume ya hivyo, yaani wanaume tukipakia chips kwa sana majamboz yanakuwa shwaa... Haki ya nani tena... majunia ya viazi mbatata yangelitoweka pale Kariakoo kufikia saa 6 mchana, and by the end of next week wakulima wote toka Mbeya wangelishapokea order za msimu ujao!!

Seriously pipo, don't read too much into these kind of scaremonger's researches... kila kitu kwa urafi kina madhara, may be apart from maji (not so sure though). Muhimu ni kula kwa kiwango kwa kuzingatia afya njema.

Yaani watu tunashindwa kujiuliza kitu kimoja tu, viazi vimekuwepo muda gani hapa Tanzania? Na watengeneza chips wameanza lini kufanya hivyo hapa Bongo... Je, takwimu za uzazi zimeathirika vipi na kuwepo kwa chips tofauti na maeneo ambayo yanategemea viazi kama staple food? Je, ni kule kukaanga viazi na kuvifanya chips kunakoharibu au mafuta yanayotumika?

Tunaweza kuhangaika na kufedheheka mioyoni wakati kumbe Ri-research lenyewe lilikuwa based on chips zilizopikwa kwa mafuta ya transformer!!! mweee!!
 
Jamani acheni kutishana. Mi mbona nimekula chips miaka nenda rudi na mambo ni mwendo mdumdo tu?!
Naona zile mila za kizamani za kuzuia wanawake wajawazito kutokula mayai eti watazaa watoto wenye vipara zimeanza kurudi kwa mlango wa nyuma.
 
Back
Top Bottom