Ulaaniwe mwanamke unayemchuna mwalimu

Nashindwa kujizuia kuwa na maoni tofauti.
1.Hiyo picha imepigwa na attention seekers wa mitandao. Katika hali ya kawaida hakuna mwalimu anayebeba madaftari kichwani akiwa kazini. Class monitors wafanye kazi gani?
2.Kuna kitu gani hapo kinachodhihirisha kuwa huyo mwalimu ana maisha magumu kwenye hiyo picha? Hakuna.
3.Let us be realistic. Hivi mshahara wa walimu una tofauti gani na wafanyakazi wengine waliopo general scale?
 
Attention seeker wa mitandao? Sidhani kama ndio waliomtwisha huo mzigo! Hakuna mwalimu anayebeba madaftari akiwa kazini ? Huyo yawezekana akawa monitor kavaa suti !
 
Ni kweli uyasemayo!
lakini mzgo wote huo wa kazi lazima ubebwe na mwalimu tu ata kama monitor akimsaidia kubeba lakini kufundisha na kusahisha daftari zote hizo ni kazi ya mwalimu peke yake
 
Attention seeker wa mitandao? Sidhani kama ndio waliomtwisha huo mzigo! Hakuna mwalimu anayebeba madaftari akiwa kazini ? Huyo yawezekana akawa monitor kavaa suti !
Izo ndio kazi za walimu!

Maslahi kiduchu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom