Ulaaniwe ewe tiGO kwa kukwamisha huduma za Internet kwa siku nne mfululizo!
Yericko Nyerere
JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,919
19,627
Sihitaji kusikia utetezi wowote kutoka tigo au wapambe wake!
Ninalaani kwa nguvu zote kutokana na kukata huduma ya data ktk kipindindi hiki cha majonzi ambapo mawasiliano ya internet ndiyo yaliyokuwa suluhisho baada ya vyombo vyote vya habari kuungana na akina Chifu Mangungo wa kijitonyama na Magogoni kuleta sera mufilisi!
Ninarudia kwa sauti kuu ULAANIWE ewe TIGO!!!!
utantambua
JF-Expert Member
Aug 1, 2011
1,367
319
Kama ni kweli walaaniwe. Age hii hakuna monopoly ktk ku-disseminate habari sababu ya uwapo wa internet, sasa kama internet service providers wanazingua hakika wanapaswa kubeba lawama. Si unaona TBC walikua wameshachunia habari hiyo nadhani walikua wana buy time kucook habari za kutulisha watz, but thanx to the power of internet tukazipata habari raw kama zilivyo
Claxane
Senior Member
Apr 16, 2011
162
12
Wewe uko nkasi au tarime mie natumia simu iko poa. Punguza mumkari ata kama wewe ni mpemba
Mwita25
JF-Expert Member
Apr 15, 2011
3,836
1,164
Ninarudia kwa sauti kuu ULAANIWE ewe TIGO!!!!
Nilivyoona hiyo title nilifikiri unazungumzia Tigo ya kikwelikweli.
dedam
JF-Expert Member
Jan 5, 2011
845
164
Wewe uko nkasi au tarime mie natumia simu iko poa. Punguza mumkari ata kama wewe ni mpemba
nina wiki sasa ninatumia internet bure kwa kutumia line ya tigo cjui ni ofa au celewi!
Perry
JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,023
1,772
Huyu jamaa yuko kishumundu nadhan.mbona net ya tgo iko vizur 2.
Kipeperushi
Senior Member
Aug 17, 2011
168
33
Mimi huwa natumia simu sometimes. Hali kama hiyo mara nyingi hujitokeza ninapotumia simu. Next time ukiona hakuna net jaribu kuzima kisha iwashe tena utaona net iko poa. Sio tatizo la tiGO mkuu..!
Amina Thomas
JF-Expert Member
Mar 9, 2008
273
126
Kama ni kweli walaaniwe. Age hii hakuna monopoly ktk ku-disseminate habari sababu ya uwapo wa internet, sasa kama internet service providers wanazingua hakika wanapaswa kubeba lawama. Si unaona TBC walikua wameshachunia habari hiyo nadhani walikua wana buy time kucook habari za kutulisha watz, but thanx to the power of internet tukazipata habari raw kama zilivyo
jamani mbona sisi tunatumia mtandao huo kwa simu na modem na hatujaona tatizo lolote? Labda ni kwenye maeneo yenu.
aye
JF-Expert Member
Oct 6, 2010
2,102
701
nina mwezi sasa natumia internet kwene ka simu kangu bure sichajiwi kitu sasa ww labda uko porini na wala sjaskia mtu akilalama
hamenya
Member
Dec 7, 2010
38
16
Hapa ni wapambe wa Voda wanajaribu kujisafisha baada ya kusakamamwa katika kipindi hiki cha majonzi.
Mamndenyi
JF-Expert Member
Apr 11, 2011
35,865
37,092
hakuna cha tigo wala voda wote ni hao hao tu, wenzao wanalia wao wanajirusha, mbaya.
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Umesahau Password au akaunti yako?
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us
0 Reactions
Reply
Top Bottom