Sihitaji kusikia utetezi wowote kutoka tigo au wapambe wake!

Ninalaani kwa nguvu zote kutokana na kukata huduma ya data ktk kipindindi hiki cha majonzi ambapo mawasiliano ya internet ndiyo yaliyokuwa suluhisho baada ya vyombo vyote vya habari kuungana na akina Chifu Mangungo wa kijitonyama na Magogoni kuleta sera mufilisi!

Ninarudia kwa sauti kuu ULAANIWE ewe TIGO!!!!
Teh teh teh!! Kumbe kuna TIG0 za aina tofauti!Nilivyoona hiyo title nilifikiri unazungumzia Tigo ya kikwelikweli.

Wewe uko nkasi au tarime mie natumia simu iko poa. Punguza mumkari ata kama wewe ni mpemba

Wewe uko nkasi au tarime mie natumia simu iko poa. Punguza mumkari ata kama wewe ni mpemba

Kama ni kweli walaaniwe. Age hii hakuna monopoly ktk ku-disseminate habari sababu ya uwapo wa internet, sasa kama internet service providers wanazingua hakika wanapaswa kubeba lawama. Si unaona TBC walikua wameshachunia habari hiyo nadhani walikua wana buy time kucook habari za kutulisha watz, but thanx to the power of internet tukazipata habari raw kama zilivyo

Nilivyoona hiyo title nilifikiri unazungumzia Tigo ya kikwelikweli.