Ulaaniwe ewe tiGO kwa kukwamisha huduma za Internet kwa siku nne mfululizo!

Toka juzi hadi leo sina mawasiliano ya email kwani huduma ya intanet blackberry Tigo imekata, they do not even apologize ama kutufidia siku zetu kwa sisi tunaolipa for 30 days or seven days! Nataka niende TCRA, tena am told kuna TCRA Consumer Consultative Council, sijui nianzie wapi? Tigo mnaboa mpaka basi!
 
Pole but it is global Blackberry problem na sio tigo tu, BBC.

nI KWELI MKUU - NAMI NIMEWASIKIA kISS FM YA MWANZA ASUBUHI YA LEO 12.10.2011 KINA KARAN? WAKIZUNGUMZIA TATIZO HILO KUWA NI GLOBAL LAKINI KAMPUNI HUSIKA NA BLACKBERRY WANAJITAHIDI WARUDISHE HALI KUWA KAMA ZAMANI.
 
Hata kwenye simu za kawaida internet ya tigo haipatikani kwa wiki sasa. Natumia internet ya Airtel kwenye simu yangu ya kawaida (siyo blackberry)
 
kesho mimi ninawakati mgumu wa kuamua aidha air tel au vodacom,naomba wana jf mnsaidie leo najivua gamba na tigo halafu nataka kujivika gwanda either na voda au airtel.
 
kesho mimi ninawakati mgumu wa kuamua aidha air tel au vodacom,naomba wana jf mnsaidie leo najivua gamba na tigo halafu nataka kujivika gwanda either na voda au airtel.

airtel kwa sisi walalahoi, inatutoa sana, bei iko chini
 
kesho mimi ninawakati mgumu wa kuamua aidha air tel au vodacom,naomba wana jf mnsaidie leo najivua gamba na tigo halafu nataka kujivika gwanda either na voda au airtel.

karibu Airtel kaka, mtandao wa walipa kodi. Hakika utajuta.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom