Ukwepaji kodi wa Bhakressa!

Ukwepaji kodi wa Bhakressa!

Tatizo serikali ya ccm inakufundisha jinsi ya kukwepa kodi ili inayobaki wachukue wao.

Na ukijifanya kiburi ujue unaweka hatiani biashara yako.
 
daaaahhhh wakuu hamfai mmemsema jamaa mpaka kakimbia😉😉😉
 
Kuna taarifa kwamba ukwepaji kodi wa BAKHRESA and group unachangiwa kwa kiasi kikubwa na baadhi ya vigogo wa CCM wanaonufaika na huyu mfanyabiasha.

Inasemeka biashara zake za vyakula na maboti ya usafiri hazilipi kodi inavyotakiwa na serikali imekaa kimyaaa.

Karibuni wakuu.

"Kuna taarifa", zipi? "Inasemekana", vyanzo vyako? Yale yale....!
 
Udini tu ndiyo unawasumbua hakuna lolote. Maana watu walianza kuyashambulia yale maziwa na sasa wanakuja na hili la kodi.

Hapa dini inaingiaje mkuu, hebu nifafanulie kidogo tafadhali
 
ni kweli halipi kodi inayopaswa ukitaka kujua halipi kodi linganisha utajiri wake na kodi anayolipa nchi hii ni vigumu kuendelea kwa sababu tunawasujudia wakwepaji kodi
 
Kuna taarifa kwamba ukwepaji kodi wa BAKHRESA and group unachangiwa kwa kiasi kikubwa na baadhi ya vigogo wa CCM wanaonufaika na huyu mfanyabiasha.

Inasemeka biashara zake za vyakula na maboti ya usafiri hazilipi kodi inavyotakiwa na serikali imekaa kimyaaa.

Karibuni wakuu.

Unaleta tuhuma kama ngoma ya kigodoro ! maana yenyewe haina kibali wala ukumbi. Pumba.vu zako !
 
Wewe sema unatafuta kazi ya kufanya siyo kuwa anakwepa kodi akwepe kodi alafu awalipe wao du ama kweli
 
ni kweli halipi kodi inayopaswa ukitaka kujua halipi kodi linganisha utajiri wake na kodi anayolipa nchi hii ni vigumu kuendelea kwa sababu tunawasujudia wakwepaji kodi

Utajiri wake unaujua !?....kwa nini usihoji misamaha ya kodi inayofanywa na serikali yako huku Kanisa likiongoza kwa kunufaika achilia mbali fuko la MoU
 
Naam kushuka na uzi kama huu unatakiwa ushuke na data zilizoenda shule vinginevyo utabaki unapwayapwaya. Mkuu kama una data zimwage hapa watu watiririke.

kodi hiyo kaanza kukwepa lin??

ha ha ha ha

weka ushahid wako tuone ukweli wa hicho unachokisema

MITANZANIA BANA,,WEWE WAKWEPA KOJI WA NCHI HII HUWAJUI??

BADALA YA KUKAA NA KUSHUKURU KWA WAZAWA KAMA HAWA KUPATA MAFANIKIO YA KUSAIDIA TAIFA HILI IKIWEMO NA AJIRA WEWE UNAPIKA MAJUNGU

UTAPIKA SANA MAJUNGU NA MWISHO UTAJIPIKA WEWE MWENYEWE.

:heh: :heh: :heh: :rockon:
 
Naam kushuka na uzi kama huu unatakiwa ushuke na data zilizoenda shule vinginevyo utabaki unapwayapwaya. Mkuu kama una data zimwage hapa watu watiririke.

Hana analo lijua yeye kasikia tu kijiweni wanaongea na yeye kaja kutuletea jf hajui kama hapa bila evidence ni sawa na mropokaji
 
kodi hiyo kaanza kukwepa lin??

ha ha ha ha

weka ushahid wako tuone ukweli wa hicho unachokisema

MITANZANIA BANA,,WEWE WAKWEPA KOJI WA NCHI HII HUWAJUI??

BADALA YA KUKAA NA KUSHUKURU KWA WAZAWA KAMA HAWA KUPATA MAFANIKIO YA KUSAIDIA TAIFA HILI IKIWEMO NA AJIRA WEWE UNAPIKA MAJUNGU

UTAPIKA SANA MAJUNGU NA MWISHO UTAJIPIKA WEWE MWENYEWE.

:heh: :heh: :heh: :rockon:

Kusaidia taifa ni pamoja na kulipa kodi, kama kila mtu hatalipa kodi unategemea maendeleo uatakuja vipi?yeye ni mfanyabiashara na kila product yake umayoiona ina charges zote kuanzia hiyo mishahara hadi malighafi, mpaka umeme unaotumika katika kila unit...

Umewaka hivi kwa sababu umesikia ni Bakhressa?angetajwa mengi hapa tungeuona ushabiki maandazi wako

Kodi ni lazima ilipwe, hafanyi kazi ya msikiti bali biashara, tunampongeza kwa kulwta ajira japo vitengo wamekamata wakenya na wahindi
 
Back
Top Bottom