Kwa matusi yako je akileta ushaidi utamwambiaje?intarahamwe
swissme
​sa si ndiyo hapo!!!!!!!Njoo na facts mkuu vinginevyo utakuwa ndo ule wivu wa kinalii alosemaga rais aliyepita
Kalipe koditeh teh teh! labla akaongee na mzee Azam ampe document! na wew unataka tukubaliane na jamaa kuwa azam alipi kodi wakati hana vithibitisho unataka watu wajadili umbea hapa!
usini quote tena maana sitakujibu
​Nonsense!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Kuna taarifa kwamba ukwepaji kodi wa BAKHRESA and group unachangiwa kwa kiasi kikubwa na baadhi ya vigogo wa CCM wanaonufaika na huyu mfanyabiasha.
Inasemeka biashara zake za vyakula na maboti ya usafiri hazilipi kodi inavyotakiwa na serikali imekaa kimyaaa.
Karibuni wakuu.
sa si ndiyo hapo!!!!!!!Njoo na facts mkuu vinginevyo utakuwa ndo ule wivu wa kinalii alosemaga rais aliyepita
Msamehe bana,swiss me ni mmoja wa vijana wetu waliovunja ungo hivi karibuni,kwahiyo bado akili yake haijakomaa sana,twendeni nao taratibu jamani.teh teh teh! labla akaongee na mzee Azam ampe document! na wew unataka tukubaliane na jamaa kuwa azam alipi kodi wakati hana vithibitisho unataka watu wajadili umbea hapa!
usini quote tena maana sitakujibu
Uko sehemu gani nikuletee mafaili ya walipa kodi na kiasi wanacholipa?issue ni kwamba analipa kodi kiasi gani? kwa nn hatujui wanalipa kodi kiasi gani? kwa mm sio bakhresa tu bali wafanyabiashara wote wazawa wanalipa kodi kiasi gani? urafiki wa rais na wafanyabiashara ndio unazorotesha makusanyo ya kodi nchi hii.
Sasa mada umeleta ya nini kama sisi sio TRA?Unataka tujadili umbea mkuu?Weka supporting documents
Utakuwa umetumwa na Reginald Mengi wewe. Huu ni wivu wa kike
kodi hiyo kaanza kukwepa lin??
ha ha ha ha
weka ushahid wako tuone ukweli wa hicho unachokisema
MITANZANIA BANA,,WEWE WAKWEPA KOJI WA NCHI HII HUWAJUI??
BADALA YA KUKAA NA KUSHUKURU KWA WAZAWA KAMA HAWA KUPATA MAFANIKIO YA KUSAIDIA TAIFA HILI IKIWEMO NA AJIRA WEWE UNAPIKA MAJUNGU
UTAPIKA SANA MAJUNGU NA MWISHO UTAJIPIKA WEWE MWENYEWE.
:heh: :heh: :heh: :rockon:
kodi hiyo kaanza kukwepa lin??
ha ha ha ha
weka ushahid wako tuone ukweli wa hicho unachokisema
MITANZANIA BANA,,WEWE WAKWEPA KOJI WA NCHI HII HUWAJUI??
BADALA YA KUKAA NA KUSHUKURU KWA WAZAWA KAMA HAWA KUPATA MAFANIKIO YA KUSAIDIA TAIFA HILI IKIWEMO NA AJIRA WEWE UNAPIKA MAJUNGU
UTAPIKA SANA MAJUNGU NA MWISHO UTAJIPIKA WEWE MWENYEWE.
:heh: :heh: :heh: :rockon:
umerogwa ww si bure,,,,tuwekee ushaidi km usemacho ni kweli,,,udini unakusumbua naiskuna taarifa kwamba ukwepaji kodi wa bakhresa and group unachangiwa kwa kiasi kikubwa na baadhi ya vigogo wa ccm wanaonufaika na huyu mfanyabiasha. Inasemeka biashara zake za vyakula na maboti ya usafiri hazilipi kodi inavyotakiwa na serikali imekaa kimyaaa. Karibuni wakuu.
kuna taarifa kwamba ukwepaji kodi wa bakhresa and group unachangiwa kwa kiasi kikubwa na baadhi ya vigogo wa ccm wanaonufaika na huyu mfanyabiasha.
Inasemeka biashara zake za vyakula na maboti ya usafiri hazilipi kodi inavyotakiwa na serikali imekaa kimyaaa.
Karibuni wakuu.