Ukwepaji kodi wa Bhakressa!

Ukwepaji kodi wa Bhakressa!

Mwacheni anajifurahisha huyo angetaka kujua kama halipi kodi angeenda ofisini kwake kufanya research sio kutuletea mbovu hapa
 
Kuna taarifa kwamba ukwepaji kodi wa BAKHRESA and group unachangiwa kwa kiasi kikubwa na baadhi ya vigogo wa CCM wanaonufaika na huyu mfanyabiasha.

Inasemeka biashara zake za vyakula na maboti ya usafiri hazilipi kodi inavyotakiwa na serikali imekaa kimyaaa.

Karibuni wakuu.

"Serikali isiyotoza kodi imejaa wala rushwa";
Baba wa Taifa; Julius K Nyerere May mosi; Uwanja wa Sokoine Mbeya 1995.
"Serikali inayokataa asili ya nchi yake; Eti hakuna kitu kama Tanganyika!; sio bure lazima imejaa wakosa kabila; mamluki na haina wazalendo.
"Serikali inayokataa pesa zake; eti pesa za Escrow sio za umma!";
wakati yenyewe iko hoi haijiwezi bila kutembeza bakuli kwa wafadhili! Sio bure; imejaa mafisadi; majangili; wakwapuaji na makuadi wa mabepari.
 
Yote kwa kuwa ni mtanzania mwenzetu. Badala ya kusema Buzwagi na Acacia hawalipi kodi unamsakama mwenzio. pole kwa wivu uliojaliwa
ujinga mtupu
 
ndiyo shida yenu wapuuz kama nyinyi

mkishinda madarasani KUKARIRI HIZO TAXATION ZENU BASI MNADHANI MNAWEZA KUJA HUMU KUDHARAU KILA MTU

SO WEWE KUJUA TAX EVASION & AVOIDANCE NDIYO UNAJIONA WEWE NDIE MJUVI SANA??

KUJUA KWAKO TAX HEAVEN AND INCOME TAX BASI NDIYO UKO JUU SIYO??

STUPID DAUGHTER OF A BIACH,,SIKU ZINGINE USHIKE ADABU ZAKO

HIVYO VIDUDU VYAKO ULIVYOKARIRI NENDA KAJADILI NA UNDERGRADUATE WENZAKO,,WEW UMPE NAN HOMEWORK KIHIYO.

YANI WEWE SIO TUH KUBISHANA BALI PIA HATA KUWEPO KATIKA FIKRA NA TENSIONS ZANGU HAUPO

Hahaha mpuuzi at his best, nimekuuliza hivyo ili ujue kwamba makampuni makubwa ya nje hayafanyi tax evasion bali tax avoidance, ni kitu sahihi kabisa katika kufanya kibiashara, MBA ninayo Mungu akijaaalia 2017 nakamata PhD
 
ni kweli halipi kodi inayopaswa ukitaka kujua halipi kodi linganisha utajiri wake na kodi anayolipa nchi hii ni vigumu kuendelea kwa sababu tunawasujudia wakwepaji kodi

Hebu tupe mchanganuo wa assets na liability alizonazo, kisha tuambie assets zake zinampa faida kiasi gani tujaribu kufuatilia analipa vipi kodi. Ka huna hizo data tutolee majungu
 
Hahaha mpuuzi at his best, nimekuuliza hivyo ili ujue kwamba makampuni makubwa ya nje hayafanyi tax evasion bali tax avoidance, ni kitu sahihi kabisa katika kufanya kibiashara, MBA ninayo Mungu akijaaalia 2017 nakamata PhD

kama PHD yenyewe ndiyo hizi basi huko maofisini hakuna cha maana mtachofanya zaid zaid ya WIZI TUH KAMA WA ESCROW NA BINAMU YAKE MKOMBOZI BANK

WEZI WAKUBWA

YOU ARE GOOD FOR NOTHING.
 
Jf imevamiwa ! Hujui kitu unaweza uongo hapa watu wasome nenda kwenye udaku waliko Facebook!
Juzi ulikuja na maziwa Ya bakresa haya fai,! Leo kodi ngoja kesho utakuja na bakresa kafanya nini?
Hebu tuletee post za msingi siyo uzishi !?
Tatizo nini na bakresa ktk walipa kodi wakubwa bakresa ni mmoja wao.
Kwa mtizamo wangu mimi basi ni kama kweli anakwepa kodi basi siyo mbaya coz ni mzalendo anawekeza nyumbani hapeleki India,Canada au uswiss kama wengine
 
Kuna taarifa kwamba ukwepaji kodi wa BAKHRESA and group unachangiwa kwa kiasi kikubwa na baadhi ya vigogo wa CCM wanaonufaika na huyu mfanyabiasha.

Inasemeka biashara zake za vyakula na maboti ya usafiri hazilipi kodi inavyotakiwa na serikali imekaa kimyaaa.

Karibuni wakuu.
huyu bepari kwanza hastahili kuwepo nafasi yoyote kewnye uongozi kama bungeni. watu kama mohamed dewji wanaingia bungeni kulinda masilahi yao ya kibepari na ni chanzo kikubwa cha rushwa. bungeni penyewe dewji haonekani kabisa kuwawakilisha watu waliomchagua kwani ubunge ni kwa faida yake binafsi. watu wa singida acheni ujinga. mkihongwa pilau na mataptap mnachagua mabwanyenye wahindi na waarabu kuendeleza unyonyaji wao. fungueni macho mnatia aibu.
 
kazoea uzushi huyo pambafu
 
nikishakupa data utazifanyia nini data hizo tra kaangalie anaingiza magari mangapi analipia kodi mangapi hii ni sehemu moja tu sijagusa nyingine
 
We unawivu wakijinga bakheesa ni mlipa modi mzuri sana.mengi ndio anakwepa kulipa kodi
 
huyu bepari kwanza hastahili kuwepo nafasi yoyote kewnye uongozi kama bungeni. watu kama mohamed dewji wanaingia bungeni kulinda masilahi yao ya kibepari na ni chanzo kikubwa cha rushwa. bungeni penyewe dewji haonekani kabisa kuwawakilisha watu waliomchagua kwani ubunge ni kwa faida yake binafsi. watu wa singida acheni ujinga. mkihongwa pilau na mataptap mnachagua mabwanyenye wahindi na waarabu kuendeleza unyonyaji wao. fungueni macho mnatia aibu.

Umewahi kumuona popote akigombea ua kutaka kugombea? Yeye katika maisha yake hafikirii kabisa kitu kama hicho na ndio maana hujawai kumuona kwenye matamasha yoyote ya vyama. Yaye anachofikiria tokea akiwa na miaka kumi na nne alipoacha shule ni kujikwamua kiuchumi yeye na familia yake tu na dnio maana hujawai kumsikia akiwasemea wengine. Tokea tupate uhuru uongozi wote wa chi hii kwa asilimia tisini na tisa ni ngozi nyeusi kama mimi na wewe, je wameboresha maisha ya wenzao?
 
Kuna taarifa kwamba ukwepaji kodi wa BAKHRESA and group unachangiwa kwa kiasi kikubwa na baadhi ya vigogo wa CCM wanaonufaika na huyu mfanyabiasha.

Inasemeka biashara zake za vyakula na maboti ya usafiri hazilipi kodi inavyotakiwa na serikali imekaa kimyaaa.

Karibuni wakuu.
kodi kubwa inayokwepa na makanisa ya kisasa,Gwajima,Mwingira,Kakobe etc wanaingiza tuu pesa bila ya kulipa kodi
 
Pia kuna kumkomoa kwani anaonekana kuwasaidia Cuf.
Hivi sasa maziwa yake yatengezwayo zenji hayaji Dar kutokana na kukomolewa kwa kuwekewa kodi ya Vat na ushuru mwengine utafikiri mzigo unatoka nje ya Tz.
Yaani bora mzigo utokao kenya kodi ndogo kuliko wa zenji.....Muungano huo...
 
Kuna taarifa kwamba ukwepaji kodi wa BAKHRESA and group unachangiwa kwa kiasi kikubwa na baadhi ya vigogo wa CCM wanaonufaika na huyu mfanyabiasha.

Inasemeka biashara zake za vyakula na maboti ya usafiri hazilipi kodi inavyotakiwa na serikali imekaa kimyaaa.

Karibuni wakuu.
Makafiri mmetukalia kooni!
 
Makampuni mengi binafsi huwa hawaweki financials zao kwy website zao,wanaficha nini?haya haya makampuni makubwa makubwa inabidi yalazimishwe ikibidi.Cc Makonda
 
Back
Top Bottom