Ukwepaji kodi wa Bhakressa!

Ukwepaji kodi wa Bhakressa!

Makampuni mengi binafsi huwa hawaweki financials zao kwy website zao,wanaficha nini?haya haya makampuni makubwa makubwa inabidi yalazimishwe ikibidi.Cc Makonda
Kwa sababu hawana ubia Na wananchi.Tizama CRDB Ina ubia Na makampuni Na wananchi kila kitu kiko wazi.
 
Back
Top Bottom