THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,543
- 14,803
mkuu mbooa unatoa povu unahusika nini hapa?
Mzandiki mkubwa wewe
lione kwanza
HEBU NIPE SURA YAKO NIKAMTISHIE MWANANGU..!!
:A S-baby: :A S-baby:
mkuu mbooa unatoa povu unahusika nini hapa?
mzandiki mkubwa wewe
lione kwanza
hebu nipe sura yako nikamtishie mwanangu..!!
:a s-baby: :a s-baby:
Mkuu wa wilaya unalopoka kweli utasaidia wanyonge au upo upo kama haupo.Utakuwa umetumwa na Reginald Mengi wewe. Huu ni wivu wa kike
Umejiunga juzi tu una posts zaidi ya 300. Nyingi ya pointi hizo ni pumba tu
Hana nyaraka ni Husda tuHebu weka nyaraka mkuu
Kama za kwako...........
Udini tu ndiyo unawasumbua hakuna lolote. Maana watu walianza kuyashambulia yale maziwa na sasa wanakuja na hili la kodi.
Kama ana nyuzi 300 jamaa anatisha,ila ukifuatilia nyuzi zake utajua misheni yake humu ni nini.Yaani inatia wasiwasi kweli, inakuwaje mtu kajiunga leo ya nne tayari keshapost 340, hii inaonyesha ya kuwa watu wengine wakisikia jamii forum basi wanaona wanaweza kupost pumba zozote zile, tuwe makini hapa ni kwa ajili ya kuelimishana sio kwa ajili ya kuleta vitu bila ya kuweka ushahidi atii nimesikia nasikia. Tukuwe tuwe na maendeleo jamani ayiii
mkuu leta facts ili tujue kama ni kweli. ila unanipa waswas umejiunga juz juz tu una cku 3 tu umeshapost zaidi ya 300 humu???? average ya posts 100/day, unatisha
Yaani inatia wasiwasi kweli, inakuwaje mtu kajiunga leo ya nne tayari keshapost 340, hii inaonyesha ya kuwa watu wengine wakisikia jamii forum basi wanaona wanaweza kupost pumba zozote zile, tuwe makini hapa ni kwa ajili ya kuelimishana sio kwa ajili ya kuleta vitu bila ya kuweka ushahidi atii nimesikia nasikia. Tukuwe tuwe na maendeleo jamani ayiii
Kwa matusi yako je akileta ushaidi utamwambiaje?intarahamweKila siku ana post' post 100 jamaa anatakiwa aandikwe kwenye kitabu cha watu wapumbavu waliovunja record za kipumbavu kama huyu!