Ukwepaji kodi wa Bhakressa!

Ukwepaji kodi wa Bhakressa!

Kuna taarifa kwamba ukwepaji kodi wa BAKHRESA and group unachangiwa kwa kiasi kikubwa na baadhi ya vigogo wa CCM wanaonufaika na huyu mfanyabiasha.

Inasemeka biashara zake za vyakula na maboti ya usafiri hazilipi kodi inavyotakiwa na serikali imekaa kimyaaa.

Karibuni wakuu.
Kubwa zaidi ni kukwepa kimfumo, yaaani total legalized, kwanza ni bidhaa Zote za soda na juice hazina kodi, hii off course imewasaidia pia coca cola na Pepsi ambao hawakuwa walengwa, pili, yeye Ndiye pekee anayeweza kuleta ngano kutoka Zambia kama sikosei tax free, tatu, ni kuwa bidhaa yeyote inayofanana na bidhaa zake kutoka nje kama juices zinakodi kubwa sana , despite the fact kuwa juizi zake zinatumia concentrate kutoka nje
 
Kuna taarifa kwamba ukwepaji kodi wa BAKHRESA and group unachangiwa kwa kiasi kikubwa na baadhi ya vigogo wa CCM wanaonufaika na huyu mfanyabiasha.

Inasemeka biashara zake za vyakula na maboti ya usafiri hazilipi kodi inavyotakiwa na serikali imekaa kimyaaa.

Karibuni wakuu.

Tukaribie wapi? Acha porojo njoo na data!!
 
Kuna taarifa kwamba ukwepaji kodi wa BAKHRESA and group unachangiwa kwa kiasi kikubwa na baadhi ya vigogo wa CCM wanaonufaika na huyu mfanyabiasha.

Inasemeka biashara zake za vyakula na maboti ya usafiri hazilipi kodi inavyotakiwa na serikali imekaa kimyaaa.

Karibuni wakuu.

kuna taarifa kwamba unatembea na mume wangu na unanufaika sana njooni tujadili.
 
Katumwa na mengi huyu sio bure, mbona mengi halipi kodi lkn haumzungumzii uctupotezee muda nenda TRA kawaambie
 
Several times jamaa huenda kings bakuri nae mzee huwa anatafuta pa kutokea so msilalamike
 
Kuna taarifa kwamba ukwepaji kodi wa BAKHRESA and group unachangiwa kwa kiasi kikubwa na baadhi ya vigogo wa CCM wanaonufaika na huyu mfanyabiasha.

Inasemeka biashara zake za vyakula na maboti ya usafiri hazilipi kodi inavyotakiwa na serikali imekaa kimyaaa.

Karibuni wakuu.

Wacha tabia za kuota maisha ya watu usiku na kutuletea tetesi za akili yako ....
 
No research no data no ryt to say uliyetoa uzi huu acha mawazo ya kifacebook njia ulyotumia kuleta ujumbe kitaalam inaitwa nomal science apparamex
 
Tanzania ni mfanyakazi aliyeajiriwa tu ndie anayelipa kodi kihalali.
Waliobaki wote hawalipi kodi kihalali,kuanzia taasisi za kidini,makampuni binafsi mpaka wafanyabiashara binafsi(sole proprietors).
 
We mla nguruwe tuliza mshono wako na punguza kdomo domo

Msikit unaingiaje hapo sasa

Au unahis watu wanauliza ushahid kwa kuwa bakhresa ni muislam au??

Na chuki zako kama umekunywa tindikali

Hata kama huyo mumeo mengi angekuwa anasemwa hajalipa kodi tungehoji vile vile huyo mtoa shutuma

kama zezeta vile lione

wewe makapuni makubwa makubwa yanayokuibia kodi huko huyaoni au unawashwa tuh?

Mpuu.zi mkubwa
Kusaidia taifa ni pamoja na kulipa kodi, kama kila mtu hatalipa kodi unategemea maendeleo uatakuja vipi?yeye ni mfanyabiashara na kila product yake umayoiona ina charges zote kuanzia hiyo mishahara hadi malighafi, mpaka umeme unaotumika katika kila unit...

Umewaka hivi kwa sababu umesikia ni Bakhressa?angetajwa mengi hapa tungeuona ushabiki maandazi wako

Kodi ni lazima ilipwe, hafanyi kazi ya msikiti bali biashara, tunampongeza kwa kulwta ajira japo vitengo wamekamata wakenya na wahindi
 
We mla nguruwe tuliza mshono wako na punguza kdomo domo

Msikit unaingiaje hapo sasa

Au unahis watu wanauliza ushahid kwa kuwa bakhresa ni muislam au??

Na chuki zako kama umekunywa tindikali

Hata kama huyo mumeo mengi angekuwa anasemwa hajalipa kodi tungehoji vile vile huyo mtoa shutuma

kama zezeta vile lione

wewe makapuni makubwa makubwa yanayokuibia kodi huko huyaoni au unawashwa tuh?

Mpuu.zi mkubwa

Huna akili, zaidi ya yote hauna elimu, so sibishani na mpumbavu...ngoja nikupe homework

Tafuta maana ya Tax evasion and tax avoidance afu uje hapa uniambie unaelewa nini jinga kubwa wewe
 
Huna akili, zaidi ya yote hauna elimu, so sibishani na mpumbavu...ngoja nikupe homework

Tafuta maana ya Tax evasion and tax avoidance afu uje hapa uniambie unaelewa nini jinga kubwa wewe

ndiyo shida yenu wapuuz kama nyinyi

mkishinda madarasani KUKARIRI HIZO TAXATION ZENU BASI MNADHANI MNAWEZA KUJA HUMU KUDHARAU KILA MTU

SO WEWE KUJUA TAX EVASION & AVOIDANCE NDIYO UNAJIONA WEWE NDIE MJUVI SANA??

KUJUA KWAKO TAX HEAVEN AND INCOME TAX BASI NDIYO UKO JUU SIYO??

STUPID DAUGHTER OF A BIACH,,SIKU ZINGINE USHIKE ADABU ZAKO

HIVYO VIDUDU VYAKO ULIVYOKARIRI NENDA KAJADILI NA UNDERGRADUATE WENZAKO,,WEW UMPE NAN HOMEWORK KIHIYO.

YANI WEWE SIO TUH KUBISHANA BALI PIA HATA KUWEPO KATIKA FIKRA NA TENSIONS ZANGU HAUPO
 
mkuu umesharudi toka kwenye vinyang'anyiro vya kumsaka mgombe uewenyekiti vipi wewe hukugombea au
unasubiri kugombea kiti kipi cha udiwani, ubunge au ? nakutafuta kwa kazi yetu ile ya uzinduzi wa kitabu MAY
Hebu weka nyaraka mkuu
 
wabongo kwa kudanganyana wewe ulimuona wap hajalipa kodi tafuta kazi ufanye acha majungu

Kwa hiyo ww hapo ndo unafanya kazi? Huo ndo tunasema uvivu wa kufikiri. Km hujui kitu kuhusu huyu jamaa kaa kimya wenye kujua wa ntakuja na data.
Au na hapo mtasema mengi anataka kuangusha serikali ya kikwete maana wameshatajwa wakubwa wanaonufaika akiwemo mkubwa kabisa
 
Back
Top Bottom