Ukweni kwangu hakuishi vituko

Agaaaah😅😅,, nikipata kama haka itakua unyama sana nimekapenda😘☺️ sema hizo turbai na hiyo miti pembeni si itawahi kuoza kutokana na maji
 
Agaaaah😅😅,, nikipata kama haka itakua unyama sana nimekapenda😘☺️ sema hizo turbai na hiyo miti pembeni si itawahi kuoza kutokana na maji
Turbai itaharibika Kwa jua, siyo maji.
Miti itaoza Kwa maji, siyo Jua.
 
Kwa icho choo kilivyo pambwa..hapo lazima unye Hadi akili mkuu.

Hongera sana kwa kuandaliwa mahala pazuri pa kunya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…