Ukweli!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukweli!!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Eiyer, Jun 18, 2011.

 1. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #1
  Jun 18, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,118
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  Maziwa ya ng'ombe wa nyumbani ni mazuri sana w/end hii kuliko wa mtaani au wa kununua kwa wale walioko kwenye position hiyo!!
   
 2. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #2
  Jun 18, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,049
  Likes Received: 728
  Trophy Points: 280
  ng'ombeeeeeeeeeeee
   
 3. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #3
  Jun 18, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,118
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  Lugha kivuli a.k.a tafsida!
   
 4. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #4
  Jun 18, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,712
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160

  nyumbani*(ng'ombe+maziwa) =
  :A S-baby:
   
 5. s

  shoshte Senior Member

  #5
  Jun 18, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  siku zote maziwa ya ng'ombe wa nyumbani ndiyo mazuri
  ni
  original
  masafi
  matamu
  yanakidhi kiu
  hayajaongezwa maji
   
 6. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #6
  Jun 18, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,118
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
   
 7. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #7
  Jun 18, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  we unakunywa hayo maziwa ya nyumbani au?
   
 8. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #8
  Jun 18, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,118
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  Bado sijajaaliwa kuwa nayo,siku nikipata nitakunywa hayo tu!
   
 9. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #9
  Jun 18, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  sasa umejuaje kama ni mazuri
   
 10. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #10
  Jun 18, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 85,149
  Likes Received: 60,421
  Trophy Points: 280
  ng'ombe wa ndani na wa nje hivi waweza kuwatofautisha kweli?
   
 11. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #11
  Jun 18, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,118
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  Kuthamini ulichoapa kwenye nyumba ya ibada ni jambo la maana,nimekuwa nikijiambia kuwa na kujiaminisha nikijakuoa au kupata mpenzi ndo ukweli huo kuwa hakutakuwa na aliye bora kuliko yeye na nitajivunia kuwa nae,ndo maana nimewakumbusha hayo waliopata tayari,kama name unae ni bora ukamconsider hivyo!
   
 12. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #12
  Jun 18, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,118
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  Tofauti wanayo ndo maana hukuwachagua hao wawe mke/GF ukamchagua huyo!
   
Loading...