Ukweli woe kuhusu kazi za ndani uarabuni huu hapa

ufalmedigital

Member
Joined
Apr 24, 2025
Posts
29
Reaction score
37

Monochrome Grunge Photo Human Trafficking Poster(1).png

KAZI ZA NDANI UARABUNI – FULL INFO

Chanzo: chuosmart.com
Inahusu nchi kama: Saudi Arabia, UAE (Dubai), Qatar, Oman, Kuwait, Bahrain

1. Maana ya Kazi za Ndani Uarabuni

Ni kazi zinazofanywa majumbani na wanawake au wanaume walioajiriwa kusaidia shughuli kama:

  • Kufua, kupika, kusafisha
  • Kutunza watoto
  • Kumhudumia mzee au mgonjwa
  • Kazi nyingine za usaidizi wa nyumbani

2. Mshahara (Average Salary)

NchiMshahara kwa Mwezi (TZS)Kumbukumbu
Saudi ArabiaTZS 500,000 – 800,000SAR 800–1000
UAE (Dubai)TZS 700,000 – 1,200,000AED 800–1200
QatarTZS 700,000 – 1,100,000QAR 900–1200
OmanTZS 600,000 – 900,000OMR 90–120
KuwaitTZS 600,000 – 1,000,000KWD 70–100

3. Masharti ya Kazi

  • Mkataba wa miaka 2 (unahuishwa)
  • Unapewa makazi, chakula na matibabu bure
  • Likizo ya mwaka 1 mara moja na tiketi ya kurudi nyumbani
  • Muda wa kazi: 8-12 saa kwa siku
  • Wiki 1 ya mapumziko au kwa makubaliano

4. Mahitaji ya Kuajiriwa

  • Umri: miaka 21 hadi 45 (wengine hadi 50)
  • Elimu ya msingi au sekondari (sio lazima sana)
  • Afya njema (vipimo vya afya kabla ya kuondoka)
  • Pasipoti halali
  • Mafunzo ya kazi na malezi (kupitia mawakala au VETA)
  • Lazima upitie wakala aliyeidhinishwa na Serikali

5. Changamoto Kubwa Unazoweza Kukutana Nazo

  • Ukosefu wa uhuru (kutoka nje, kutumia simu n.k.)
  • Matumizi mabaya (wengine hupigwa, kunyimwa mshahara)
  • Lugha na tamaduni tofauti
  • Kazi nyingi bila mapumziko
  • Kukaa mbali na familia kwa muda mrefu
  • Si waajiri wote ni waaminifu

6. Faida za Kazi za Ndani Uarabuni

  • Mshahara wa uhakika kila mwezi
  • Chakula, malazi na huduma ya afya ni bure
  • Unakusanya mtaji kwa biashara au nyumba
  • Uzoefu wa kazi na maisha ya kimataifa
  • Likizo na ruhusa ya kutuma pesa nyumbani

7. Ushauri Kabla ya Kuondoka

  • Hakikisha wakala wako amesajiliwa na TAESA (Serikali ya Tanzania)
  • Soma mkataba wako vizuri – uelewe haki zako
  • Jifunze lugha za msingi za Kiarabu/Kingereza
  • Tuma nakala ya pasipoti na mkataba kwa ndugu zako
  • Fanya vipimo vya afya sahihi
  • Jiandae kisaikolojia na kijamii

8. Jinsi ya Kupata Kazi Salama

  • Tumia mawakala waliothibitishwa na Serikali
  • Fuata taarifa kutoka chuosmart.com kwa list ya mawakala
  • Epuka watu wa mitaani au “madalali” wa mitandaoni
  • Jiunge na vikundi vya WhatsApp au Telegram vya walio nje kwa msaada wa kisaikolojia na sheria

9. Tovuti na Taasisi Muhimu

  • chuosmart.com – Elimu ya kazi, ushauri, ajira
  • taesa.go.tz – Wakala wa ajira Tanzania
  • Ubalozi wa Tanzania – Kusaidia wakati wa matatizo
  • Redcross au IOM – Husaidia wahanga wa manyanyaso

10. Nini Cha Kufanya Baada ya Kumaliza Kazi?

  • Tumia pesa kuanzisha biashara au miradi ya uhakika
  • Jiunge na mafunzo ya ujasiriamali au taaluma nyingine
  • Wekeza katika elimu ya familia au ardhi
  • Weka kumbukumbu zako zote vizuri kwa maisha ya baadaye
 
Mmh! Hujaongelea kuhusu unyanyasaji wanaofanyiwa, mfano kulazimishwa kulala na kila mwanaume ktk familia husika ama kulala na mbwa waliopo ktk familia.
 
Watumwa hao ,hawataki kwao ... Wengine wamezaa watoto wanawaacha hapa wakapate manyanyaso kwenye miji ya watu ...Ni ujinga mbona wao hawaji huku ...Wale wazee mnaokwenda kuwahudumia huko mkumbuke na wazee wenu mnawaaacha huku mkienda huko watahudumiwa na nani?

Tengenezi mifumo mizuri ndani ya miji yenu na nchi yenu kwa ujumla kila mtu awe na maisha mazuri sio kukimbilia huko kama watumwa wa ndani ni aibu ..wao waarabu wanafanyaje mpaka watake watu kutoka nje ya nchi zao?,Achaneni na demokrasia ili tuwe na uchumi wa kushare sio wachache wako juu kuliko wengine.

Nyie mawakala kwa nn mnaficha baadhi ya masharti ? Si mseme kabla ya wao kwenda huko.
 
View attachment 3335359

Na mwenye sikio ,asilie na mwenye macho aone!
 
Watumwa hao ,hawataki kwao ... Wengine wamezaa watoto wanawaacha hapa wakapate manyanyaso kwenye miji ya watu ...Ni ujinga mbona wao hawaji huku ...Wale wazee mnaokwenda kuwahudumia huko mkumbuke na wazee wenu mnawaaacha huku mkienda huko watahudumiwa na nani?

Tengenezi mifumo mizuri ndani ya miji yenu na nchi yenu kwa ujumla kila mtu awe na maisha mazuri sio kukimbilia huko kama watumwa wa ndani ni aibu ..wao waarabu wanafanyaje mpaka watake watu kutoka nje ya nchi zao?,Achaneni na demokrasia ili tuwe na uchumi wa kushare sio wachache wako juu kuliko wengine.

Nyie mawakala kwa nn mnaficha baadhi ya masharti ? Si mseme kabla ya wao kwenda huko.

Daa umeongea point za msingi sana, mpaka nimetaka kulia.

Yaani baadala ya kujenga uchumi imara watu wetu waachane na haya mambo ya kitumwa ndio kwanza tunashadadia ujinga.
 
Daa umeongea point za msingi sana, mpaka nimetaka kulia.

Yaani baadala ya kujenga uchumi imara watu wetu waachane na haya mambo ya kitumwa ndio kwanza tunashadadia.
Nimeona video huko Arabuni na kwa wazungu ,kwa kweli wanateseka haswa hawa wanaolelea vizee ... Waarabu ni watu wa kupika vyakula vingi si Asubuhi , mchana wala jioni : hawa dada zetu wataweza kweli na muda huo wanapenda kuchezea simu ?

Watu wanaexport wafanyakazi wa ndani hii ni sifa kweli? Wanapewa mikataba ila hawaoni kabisa ,mtu miaka miwili ndani anakosa ruhusa kumbe mkataba unamfunga hivyo ..Mawakala wao ni hovyo kwa kweli ,wanachukua pesa halafu wanapiga kimya.

Nchi za watu usalama ni mdogo kwenye kudai haki zao watu weusi , washtuke bora hata kulima , wanawake Wengine wanakimbia ndoa zao ili wakatumikishwe huko..

Kuna mdada miaka 3 nyuma alitaka kwenda huko ana watoto wawili ila maisha yalikuwa magumu licha ya kuwa anaishi na mumuwe ,nikamwambia bora nikupe mtaji ukafanye shughuli hata pale Tangamano sio kwenda huko ,ukirudi maiti halafu ni ujinga kama ulizaa mwenyewe kwa nn ukimbie watoto ... Vitoto vidogo mkubwa ana miaka 7 ..Ninachokuambia yule mdada ana biashara zake pale Tangamano na mumuwe karudi kwenye mstari kwa sababu kipindi kile alipata ajali ya pikipiki miezi sita alikuwa ndani.
 
Serikali yetu na viongozi tunaowaita mawaziri mengine yana vitambi kabisa yanasema Tanzania ina viwanda elfu 80 na zaidi ila wananchi wake wanahangaika kwenda kufanya kazi za ndani uarabuni wakinyanyasika na wengine kuuawa kabisa.
Tz qmmmayooo
 
Nimeona video huko Arabuni na kwa wazungu ,kwa kweli wanateseka haswa hawa wanaolelea vizee ... Waarabu ni watu wa kupika vyakula vingi si Asubuhi , mchana wala jioni : hawa dada zetu wataweza kweli na muda huo wanapenda kuchezea simu ?

Watu wanaexport wafanyakazi wa ndani hii ni sifa kweli? Wanapewa mikataba ila hawaoni kabisa ,mtu miaka miwili ndani anakosa ruhusa kumbe mkataba unamfunga hivyo ..Mawakala wao ni hovyo kwa kweli ,wanachukua pesa halafu wanapiga kimya.

Nchi za watu usalama ni mdogo kwenye kudai haki zao watu weusi , washtuke bora hata kulima , wanawake Wengine wanakimbia ndoa zao ili wakatumikishwe huko..

Kuna mdada miaka 3 nyuma alitaka kwenda huko ana watoto wawili ila maisha yalikuwa magumu licha ya kuwa anaishi na mumuwe ,nikamwambia bora nikupe mtaji ukafanye shughuli hata pale Tangamano sio kwenda huko ,ukirudi maiti halafu ni ujinga kama ulizaa mwenyewe kwa nn ukimbie watoto ... Vitoto vidogo mkubwa ana miaka 7 ..Ninachokuambia yule mdada ana biashara zake pale Tangamano na mumuwe karudi kwenye mstari kwa sababu kipindi kile alipata ajali ya pikipiki miezi sita alikuwa ndani.
Matako wewe,watu wanakaa bila ajira hapa,kula,kuvaa,pedi shida unakuja kuongea ucenge, wahindi,wathailand, waafrika wote wapo arabunj wakifanya kazi na kujenga nyumbani,umeshiba unaandika andika ujinga
 
Kaliwe mbele mthenge mkubwa wewe! Utumwa tu umekujaa kichwani ,nenda ukanyanyaswe kama hujielewi..Umepewa akili sio makalio ,watu wanabakwa hauna hata huruma ..Kaone watu wanapost wanalia huo ..Nilete video hapa wewe mtoto wa malaya uone!?
 
Mimi nina ndugu zangu wapo huko na wamejenga huku,wapo arabuni tangu 2015,we endelea kuumia na chuki zako kwa waarabu
 
Suala la kuajiriwa linahitaji uvumilivu, busara na kujituma popote pale duniani. Tujiandae kifikra, kielimu na hasa utashi wa kuweza kuingia katika soko la ajira la kimataifa. Tujifunze wenzetu wanawezaje kukamata soko hilo.
Screenshot_20250503-190110_1.jpg
 
HAPO LABDA DUBAI NA QATAR KWNGNE NI SAWA NA JEHANAM
Kote walioko waarabu ni Jehanam duniani. Hakuna mtu mbaguzi na mshenzi kama mwarabu. Madada wa kazi kutoka Afrika mashariki wanaonja joto la jiwe wakiwa huko Ughaibuni wanalazimika kutoa mzigo (Kudinywa) kwa Mzee mwenye nyumba,watoto wake na ndugu zake utake usitake,Kifo kwao si kitu cha bahati mbaya wengi sana wameuwawa na kutupwa kwenye choo.

Nimeona shuhuda zao mpaka najiuliza ningekuwa na Mamlaka ningemkamata aliyeanzishwa ujinga na upumbavu huu wa kupeleka Binti zetu huko uarabuni. Hakuna mwarabu mwema duniani wote ni watu wabaya sana,wabaguzi sana,wafiraji,wadhurumaji wakubwa watu hao ni nusu watu(Sub-Human)

View: https://youtu.be/khIm_hyOS50?si=UHAr9CzuzTIgcNcJ
 
Mimi nina ndugu zangu wapo huko na wamejenga huku,wapo arabuni tangu 2015,we endelea kuumia na chuki zako kwa waarabu
Kama wako huko basi hiyo ni Sandakalawe mwenye kupata apate wakija huku hao walishakuwa rejected maana huko wanapigwa kotekote wako huko kwa sababu ya shida tu lakini utu wao unatwezwa wao wanajali wapate mali tu lakini hawajali utu na heshima yao.
 
Back
Top Bottom