Tueleze kidogo na wale walioijenga marekani?Ukiachana na historia ya kwenye vitabu, nimepata bahati ya kufika Zanzibar na kutembelea Soko la zamani la watumwa. . .niliyojifunza pale hakika nilisikitika, ndipo nilipoamini Waarabu (wa zama hizo) hawakuwa na utu kabisa, kuanzia kuwachukua watumwa bara na kisha kuwaleta Zanzibar,(enzi hizo bandari ipo Mangapwani) kuwafunga kwenye mti na kuwachapa mijeledi na mtumwa ambae halii ndio anaonekana mkakamavu...
kisha wanapelekwa mpaka sehemu ya kutunzia watumwa (ipo mpaka leo) ambako wanafungiwa kwa siku 3 bila chakula wala maji!!!,(kumbuka minyororo mizito bado mmefungiwa nayo mikononi, miguuni na shingoni) kisha ndio mnatolewa ambao atakutwa amekufa anatupwa na waliobaki wanaenda kuuzwa.
Ikitokea katika kundi la watumwa wa kike wanaouzwa tajiri akitaka “kuonja" alikuwa anachagua mmoja na kumfanyia hiko kitendo hapo hapo hadharani. (kama ambavyo mnafahamu wanaume tulivyo , mwenzako akifanya kitu nawe unataka kufanya, mfano katika kundi mmojà akisogea pembeni na kufungua zipu ili achimbe dawa utakuta wawili watatu wanaungana naye kufanya hivyo, hata walipokuwa wanatwaa mtumwa mmoja wa kike na kumfanyia ushenzi, basi wengine nao waliungana kufanya ufedhuli huo kwa wengine kwenye kundi hilo)
Watumwa waliteswa sana, sana , sana!!! na hao waarabu ambao leo hii watoto wao tunaishi nao kwa amani.
Cha kusikitisha zaidi ni kitendo cha kuwahasi watumwa kiume waliosafirishwa kwenda Arabuni( walienda maelfu lakini mpaka leo hii jiulize kwanini hakuna masalia ya weusi kama sio ukatili wa waarabu ambao waliwahasi bila taratibu za kitabibu, yaani wanakata hizo gololi kisha unapakwa chumvi nyingi, na kutokana na kuvuja damu nyingi wengi walikufa, wachache waliobahatika kupona waliuzwa arabuni kwa hela nyingi, walivyoona wakubwa wanakufa sana basi wakawa wanawahasi watoto).
Bado ambao walikataa utumwa na kuleta uasi njiani waligeuzwa na kuf**lwa mbele ya watoto na wanawake, ili kuwafanya wajisikie majuto, na hata walivyokuwa wanasafiri na majahazi ilikuwa ni desturi ya waarabu kuwachukua watumwa wa kiume na kuwageuza ili kukidhi haja zao.
hivi vyote vilifanyika na historia ipo fika Zanzibar au hata Bagamoyo soko la watumwa uone historia, picha na vithibitisho vingine kuhusu ufedhuli huo waliofanyiwa mababu zetu (leo hii tunacheka nao hakika mababu zetu wakifufuka watasikitika sana).
Dini hizi hizi tulizoletewa tunafundishwa kusamehe waliotukosea, ilhali waliotuletea hizo dini walitufanyia ukatili huku tukishuhudia nasi tunachekelea kama mazombi. Tuishi kwa amani, tupendane na tusonge mbele tukitaka kuleta habari za historia na tuzibebe chuki za mababu zetu basi tutachukiana daima na tutauana.
Japo Muingereza alikomesha utumwa wa waarabu lakini naye alitesa manamba mashambani, Mbelgiji aliua watu wengi kongo, na mkaburu aliangamiza vizazi Afrika kusini, Huu ushenzi tuliofanyiwa waafrika ni mkubwa lakini tumesamehe na tuishi kwa amani bila kubaguana ila!!, nasisitiza tena ila tusisahau na tuwaeleze vizazi vilivyopo na vijavyo namna ambavyo mababu zao walipitia mateso makubwa ya wadhalimu waliokuja ili kutimiza haja za nafsi zao.
Msikilize mwenzio kwa nini CCM wanaulinda huo mnaouita muungano kwa gharama zozoteNafikiri kuna haja ya kuvunja muungano,
Hivi inamana wazanzibar akili zao ziko hivi???.
Ulisoma Urusi ? Au wapi?Umarx nimeusoma.
Professional yangu nimesoma about Religion.
Sio Islamic religion but religion.
Hivyo so haba nafahamu misingi ya baadhi ya dini as a way of life.
Nimesoma pia njia za uchumi kwa mujibu wa Maxirst na Islam.
Ktk somo la political science. Lkn pia naendelea kusoma kupitia mitandao.
![]()
Religion in the Soviet Union - Wikipedia
en.wikipedia.org
Napenda watu anaopenda kutafuta usahihi. Hata Mimi nipo ktk ulimwengu huo.
Nipo huru kusahihishwa pia kwa hoja ya nguvu.
Hata hivyo nitajieleza kujibu suali la tatu kwasasa. Kwani kutaka ushahidi iwapo mzee nyerere kabuni yeye mwenyewe mfumo wa ujamaa au alikocopy. Hilo sitokujibu. Kwakuwa huenda umezaliwa kipindi cha mwinyi au mkapa hivyo hats wazee mtaani kwako watakujibu. Waulize tu kwann znz kuna masalia wa wachina.
Kwann kuna uwanja wa Mao.
Kwann tz ktk vita baridi ilikuwa upande wa mashariki kwa vitendo.
Jibu la suali la tatu.
Ili (concept) iweze kukuingia ni muhimu kwanza ufahamu uhusiano kati ya dini na Mungu. Na kwamba kukataliwa kimoja wapo manake kingine pia hukataliwa.
dini ni imani ya kuwepo nguvu kuu. Anaekataa dini manake anakataa uwepo wa nguvu kuu.
Je Usecular unapinga uwepo wa Mungu?!?
![]()
Secularism — The Traveling Team
What does secularism mean? Take a look at this overview of the secularist way of thinking.www.thetravelingteam.org
Secularism Definition & Meaning | Britannica Dictionary
SECULARISM meaning: 1 : 53796; 2 : 1www.britannica.com
Unawajua orientalist (Mushtashrik).Hujajibu hata moja umeweka Links Tu , sijui Huo uislamu wako wa kubabsisha umeutoa wapi ?
Mwisho unaendelea kunipakazia kuwa nimezaliwa wakati wa Mwinyi Na Mkapa wakati Mavamizi nimeyaona, hivi usingumze kitu usichokijuwa kwa kukopi Link Za Google . Kwa taarifa Mimi Nina Masters ya hiyo Marxism Na nimeishi nchi ya kikomunist . Nimesoma 5 years huwezi kunidanganya. Nimetembelea nchi Za Kiislamu karibu 10 , nimekaa nchi Za kibepari miaka zaidi ya 20 nchi Za mixed economies karibu miaka 10 . Hivi unavyoandika Tu inaelekea hata Huo uislamu huujui ni afadhali ukanyamaza Tu .
Vugu vugu la kutaka kuuvunja muungano limeanza miaka mingi sana au marekebisho ya muungano wazanzibari wamefungua mpaka kesi mahakama ya kimataifa au hukuyaona hayo? Muamsho n.kNafikiri kuna haja ya kuvunja muungano,
Hivi inamana wazanzibar akili zao ziko hivi???.
Muhimu sio kujua ninesoma wapi; muhimu ninesoma mtaala gn......?!?!Ulisoma Urusi ? Au wapi?
Muhimu sio kujua ninesoma wapi; muhimu ninesoma mtaala gn......?!?!
Sisi ndio waanzilishi wa mtaala unaotumia shule za kiislam kwa sasa. Dira yetu kuu ni kuisoma historian ili nasi tuweze kutengeza historia. Na sio historia itutengezee chuki na ubaguzi
Unawajua orientalist (Mushtashrik).
Kama unajua hiyo ndio yaweza kuwa ndio utofauti uliopo kati yetu.
Na bila shaka ni bora utueleze weye unaelewa VP ujamaa na usekula. Tupatie source zako.
Nifahamu iwapo una Source zikizo huru bongo ishachomwa na kufinyangwa vile wanavyotaka wao.
Kwa uelewa wangu Uislam na Ujamaa is almost likely kwa mambo mengi. Hivyo MTU anaweza jihisi muislam kumbe ni mjamaa. Tofauti kubwa ya msingi kati ya ujamaa na uislam ni itikadi. Itikadi moja ikiamini uwepo wa Mungu Mkuu. Na itikadi ya pili haiamini.
Sasa somo nalopata Mimi kama mtaalam wa dini. Ni kuwa waznz kwa kujua au kuto jua wameathiriwa dini pacha (Dual Muslim). U r Muslim at the same time Mjamaa. Mko na itikadi ya chama ya Laa ilaha (no god). Imani ya dini la illaha Ila Llah(no god but Allah). Na hili ni pigo kubwa kwa wana ccm na wana act popote walipo.
Sasa nirudi ktk hoja yako. Ukomonist wa sasa wa urusi si ule wa asili.
Mimi ninekupatia tafsiri original ya Usekula kutoka kwa waanzilishi wa dhana ya Usekula. The key players were Nicholas Copernicus (1473-1543), Johannes Kepler (1571- 1630), and Galileo Galilei (1564-1642).
Whose their fundamental core BELIEFS OF SECULARISM Is The Denial of God
Wanasema sehemu ya paragraph ....
The most fundamental tenet of secularism is the denial of the existence of the supernatural. According to secularism, belief in God is nothing more than a projection of man’s own thoughts and desires. God did not make man in His image; instead, man made God in his image.
Ni hiyari yako kuendelea kuwa dual Muslim kwa sababu ya chama au kuwa real Muslim na kuachana na ubaguzi kwa nduguzo waislam.
Muhimu usishtuke na jina la MTU maadam ni mjamaa. Jina lisikutishe.... Bali tambua adui yetu ni mmoja. Ujamaa/Usekula
Tushirikiane tumuondia adui huyu. Nina vision tutafutane
Shukria maalim. Sikua nahitaji kubishana. Nia yangu ilikuwa ni kuelimishana au kukufanya utafakari.Yaani ikiwa wewe ndiye mmoja wa waanzilishiu wa mitaala basi kazi ipo.
Na ndiyo tunataka sisi Wazanzibari tuondokane Na nyinyi Na Huo uislamu unaosema uanzisheni huko kwenu
Sisi tuachieni tupumue tunajua akhlaak zetu Na zenu ni tofauti sana Na hili waislamu wengi wa Bara wenye msimamo tofauti Na wako huniambia
Shukria maalim. Sikua nahitaji kubishana. Nia yangu ilikuwa ni kuelimishana au kukufanya utafakari.
Niishie hapa maalim na nikutakie kila LA kheri
Historia ipi hii ya Nyerere , ndiyo nikakuambia Huo ukomunisti huujui ? Wala historia ya Nyerere Na genge lake
Sikiliza ujamaa wa Nyerere ulipotoka
Nimechoka na ushahidi ulioleta.
Hii ni mada ingine inayojitegemea.
Ndio maana nilikuuliza unajua hii dhana ya orientalism.
Anyway kila la kheri.
Tusipoelewa Leo inshallah tutaelewa mbele ya safari.
Kwa Mara ingine nikutakie kila LA kheri
Ujamaa..na u non secular ndio falsafa bora zaidi kuongoza nchi zenye jamii ya watu wa aina tofauti..mana tukiruhusu huu uzuzu..hii nchi itagawanyika vipande vipande..serikali haina dini iendee hivyo maisha yote...Ndugu yangu.
Kama nilivyotangulia kufafanua kabla. Ujamaa ni imani.
Kwa lugha ingini Ujamaa ni imani ya upagani ambayo siku kuu ya kwanza ni kutoamini uwepo wa Mungu.
Hivyo wanahamasisha zaidi mambo ya ushetani na kudidimiza masuala ya Mungu/dini.
Kwa urusi ya miaka hivyo ukristo ndio uliokandamizwa. Kwakuwa ndio uliokuwa unatawala.
Kwa tz jamii zinazolalamika kukandamizwa na ujamaa ni wahindi na waislam.
Ujamaa ni upagani nani ukafiri uliojipambanua.
Waznzr wanawake wanajeshi ambao kimsingi ni waislam kutokuwa na code ya mavazi maalum yenye stara na sawa na Uhuru wao wa kuabudu ni kwa kuwa Tz ni haichanganyi dini ktk kughuli zake za serikali.
Lkn ukifanya utafiti utagundua Luna ubaguzi na ukandamiza Fulani upo Tanzania uliojificha ktk dhana hii.
Kama nilivyosema kabla ktk tafiti zilizofanywa na taasisi zenye kutambuliwa; zinatanabahisha kuwa nchi nyingi kama si zote inazojipambanua hazina dini; zinapendelea dini moja na kukandamiza dini nyengine.
Kwa kuandamiza nguvu na thamani ya baadhi ya jamii zisikuwe na kuenea.
Ndio maana mikoa yenye waislam wengi imedumaa,
Si kwakuwa walishiriki kufanya uchafuzi znz kama ulivyochotwa na kutengenezwa akili yako.
Ccm iliamua kutumia jinamizi hili na Ujamaa na usekula ili kufififsha baadhi ya jamii.
Na msingi ya kutokuwa na dini kwakuwa Tz imetokama nadhania ya Ujamaa/Marxist kupitia Azimio la Arusha.
Huu ndio uhusiana wa ujamaa na umax/ukomunist.
UK ambayo inajipambanua kwa dhana ya Serikali jumuishi (diversity state) inaruhusu askari kutoka jamii za waislam, singasinga, wayahudi kuvaa mavazi au alama sawa na ibada za dini zao. Kwann tz iwe tatizo.
Sasa kutokana na athari ya ujamaa hata wewe ndugu yangu unashindwa kutambua adui yako aliyesababisha madhila kwa baadhi jamii zinazounda taifa la tz.
Madhila yenu hayajatokana na watanganyika. Kwa maana kuwa mtanganyika hakusababishi kumdhulumu mznz.
Bali madhila yenu yanatokana na mfumo na itikadi ya ujamaa ambayo kimsingi haiamini Mungu wala dini.
Ni itikadi inayofatwa na CCM na ACT kwa sasa.
Ni mfumo wa ubaguzi. Ambapo jamii moja (washiraz kwa mfano) wanaweza kubaguana kwasababu tu wamelishwa ujamaa.
Wajamaa hawajaathiri waznz pekee, wajamaa walilenga kuwaathiri jamii za waislam, waarabu na waasia.
Huku bara wamedhulumu majumba yanayofahamika Leo kama majumba ya msajilo, wamedhulumu mashule ambayo mengi yalikuwa ni ya waasia.
Miaka ya 90 ulitokea mgogoro mkubwa huku bara pale waislam waliposhinikiza wanafunzi wa kike waislam wavae hijab. Kwakuwa katiba inaruhusu Uhuru wa kuabudu. Serikali kwanza i ilipinga kuwa haiwezekani kutekeleza takwa hilo la kikatiba kwa kuwa tz haina dini.
OIC kule znz nayo ilipingwa si kwakuwa znz inatawaliwa na watnganyika, Bali kwa kuwa tz kuna jinamizi la kuwa haina dini.
Mifano iko mingi na sababu kuu kuna jinamizi linalolitwa tz haina dini.
Iliyotokana na nadharia na itikadi ya ujamaa/ usekula ambapo msingi wake ni ukomonist/Marxism.
Usiponielewa hapa ndugu ukaendela na msimamo wako Wewe utakuwa ni mjamaa halisi unaependa ubaguzi na matendo ya wapagani, mashetani kuliko undugu wa kiislam na watanganyika wengine walio wema
Ndio m
Ndio maana Mama amedeal nae kimnya kimnya
Maendeleo hayana chama?!?! Kwanini sasa tunalazimika itikadi za kijamaa za chama cha ccm ndio ulazimishwe kwa watz wote.Ujamaa..na u non secular ndio falsafa bora zaidi kuongoza nchi zenye jamii ya watu wa aina tofauti..mana tukiruhusu huu uzuzu..hii nchi itagawanyika vipande vipande..serikali haina dini iendee hivyo maisha yote...
Msije mkaanza kuvaa mabomu bure..na kunukisha ubani maofisini za umma.
Ambapo serikali ina hudumia watu wote.
#MaendeleoHayanaChama
aleesha kuna kitu kimoja unakisahau. Naona hili suala unalizungumzia pasipo kuwa na taarifa kamili nalo. Wazanzibar wanaoishi Tanganyika ni wengi kuliko idadi ya watanganyika wanaoishi Zanzibar.Mwendo ni huu huu tunawarejesha kwa nguvu sasa huko huko tanganyika
Mwarabu wa asili sio mweupe,mwarabu alitokea Afrika,waafrika ndio wa kwanza kuzunguka dunia,na waafrika ndio wakwanza kuanzisha Maandishi(hizo herufi za kiarabu,na kuanza kuhesabu,hizo namba 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9,)Na bara hili la Afrika ,kuitwa Afrika ni huyo mfalme wa kwanza,wa Afrika,aliyeanzisha safari za kuzunguka dunia.Ndio maana ukaona ziko nchi,nyingi tu,wanaishi machotara wa kiarabu(weusi) na wazungu,kama Tunisia,Libya,Misri,nk,ziko Afrika.Na zipo nchi za kiarabu bado wapo waarabu wa asili(weusi),kama Sudan,Mali,Ghana,Somalia,Ngazija nk.Hahaha mwarabu ni black [emoji23] yellow, Caucasians, white, blonde nk kulingana na hiyo history unayosema Ila an indigenous Arab sio black Wala white Ila anakuwa a little dark skinned but not black.
As you have said about crusade na hizo intermarriage ndio zikazaa waarabu wa aina mbalimbali Kama levantine (Lebanese) nk ukiangalia wanategemeana na damu ya kizungu waliyochanganyika nayo Ila mwarabu haswa ni Kama wale wapakistani kwa rangi sio white au black.
Sasa hata waarabu waliyochanganyika na waafrika ambao wapo north afrika pia sio black au white Ila dark skinned.
So mwarabu sio black as wazanzibari mnavyotaka kujiita nenda Oman tafuta mwarabu anayefanana na Seif Khatibu au Shamsi Nahodha[emoji23][emoji23]
Hakuna mwarabu mweusi Kama Mimi nawe bana. Hata hao wapemba ni wamanga Koko tu sio waarabu ni mama zao walikamatwa na waarabu kwa nguvu