Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,217
- 3,125
Naona tupo katika viwango tofauti. Sikujua kama tupo hapa kushambuliana. Kwani siku hizi hatuwezi tu kujadili jambo kwa hoja, heshima na staha bila kushambuliana kwa maneno ya kejeli na kuitana mashoga? Au ni kwa vile tunatumia majina ya bandia?Mbona unajihami sana na scud zangu? Heheheheeeee.... Wewe nimeshakumaliza na sihitaji tena kukushambulia.
Huwa sipendi mtu anilishe maneno na siyo kwamba nimepanic. Nipanic nini? Kwani kuna sehemu nimedanganya?
Kuhusu Padre wako, kamwambie kuwa kama yeye ni Mwanahabari basi ajifunze kuwa mtafiti.
Kama yeye kasikia Malalamiko ya mgawano wa viti maalumu, alitakiwa kufanya utafiti walau kidogo kwa kwenda mtaa wa Ufipa au kuwapigia simu wampe huo utaratibu ili ajuwe anaandika na ukweli ukoje.
Sasa yeye kasikia kitu tu anakuja na mihemko yake ya kuhukumu. Ila sisi tukimpa dozi kidogo, Wateja wake mnakuja macho yamewatoka utafikiri Machoman anamfokea Hogan.
Vipi mechi unaangalia lakini? Wewe ni City au wale mashoga waliofungishwa ndoa wakaambiwa MAN UNITED? Heheheee
Naona tupo katika viwango tofauti. Sikujua kama tupo hapa kushambuliana. Kwani siku hizi hatuwezi tu kujadili jambo kwa hoja, heshima na staha bila kushambuliana kwa maneno ya kejeli na kuitana mashoga? Au ni kwa vile tunatumia majina ya bandia?
Anyway - Mimi siyo mshabiki wa mpira na hayo mambo ya City sijui na mashoga wa MAN UNITED siyajui wala hayanihusu. Inashangaza kidogo kwani naona uko fixated sana na mambo ya ushoga. Kulikoni? Yaani huwezi kuongea kitu na wala kutukana mtu bila kurejelea ushoga? Sorry but wewe ni shoga? Na una uhakika kuwa huyo Padri Mapunda wako ni shoga (mwenzio)? Hata ukiitwa mahakamani unaweza kudhibitisha? Yeah! Ukikuta mtu yuko obsessed na kitu na kukitaja taja sana hata pasipostahili basi wanasaikolojia wanasema kuwa kuna uwezekano mkubwa mtu huyo kitu hicho kinamhusu au anahusika nacho moja kwa moja. Siko hapa kukuhukumu hata kama ni shoga hiyo ni haki yako na uko huru kuishi maisha uyatako hapa duniani ali mradi tu huvunji sheria. Lakini inakera unapojaribu kuburuza watu wengine katika hii obsession yako na mambo ya ushoga.
Hata mimi sitakushambulia hata urudi na povu na matusi kiasi gani. Hakuna tusi ambalo limeshawahi kumdhuru mtu tena la mtu anayetumia jina la bandia mtandaoni. Jaribu sana kujifunza kujadiliana na watu kwa ukawaida tu hata kama kuwa peke yako na keyboard kunakupa ujasiri, anonymity na nguvu za ajabu za kuporomosha matusi na kudharau watu.
NB: Hao mashoga wako wa MAN UNITED wameshinda au wameshindwa? Time to celebrate ama?
Asante mkuu. Na wewe kafie nyuma na ulaini wako. Tchao!Hujui hata utani? Mtu mgumu. Kafie mbele na ugumu wako.
Asante mkuu. Na wewe kafie nyuma na ulaini wako. Tchao!
Naona bado unahangaika na mambo yako ya kishoga. Haki ya nani kazi unayo. Mpaka unajua na mambo ya ku.fi.rwa katika Kituruki. Mungu mwenye rehema na Akurehemu. May the Lord have peace on your soul!Siktir lan.....
Ushauri wa kipumbavu huu! Hivi kuna yeyote anayelalamia hili kwa kufanya uchunguzi? Inamaana kama mtu anaonekana ni mpiganaji wa kweli aachwe kwa ajili ya kuogopa vijineno vya propaganda za kijinga kisa ni mtu wa kaskazini? Kama mtu alishinda kura za maoni aachwe tu kisa tu ana vinasaba vya kaskazini? Huu wote ni kipumbavu wa mtu asiyejua namna siasa inavyoendeshwa! Tujiulize kati ya wabunge wote wa Chadema kupitia viti maalum ni wangapi watatokea kanda ya kaskazini? Chama hakiwezi kufa kwa sababu tu wachumia tumbo wachache hawakusikilizwa! Majungu hayajengi zaidi ya kuchochea chuki za kijinga ndani ya jamii.