Ukweli utakuweka huru: CHADEMA mbioni kufa?

Ukweli utakuweka huru: CHADEMA mbioni kufa?

Huyu Mapunda bana. Wenzake wanaVilawiti vitoto vya kiume...... ohhhh sorry!!!!!

padre_gay.jpg
 
Hata teuzi za ccm hasa spika na naibu vilipigiwa kelele rejea mh zito ,alichoandika kwenye mitandao ,kwa hiyo hata hizi teuzi za nyuma zisiwaumize vichwa .pengine hata wewe uliandika uzi huu ungepewa nafasi ufanye uteuzi usingefanya maajabu ungeanza kuangalia familia yako nani anafaa ,hizi zimepita
 
Huyu Mapunda bana. Wenzake wanaVilawiti vitoto vya kiume...... ohhhh sorry!!!!!

padre_gay.jpg
Mkuu, no offense lakini hii inahusianaje na aliyoyaandika Mapunda? Au una ushahidi naye ana huu mchezo wa kulawiti vitoto vya kiume? Akikubana ulete ushahidi utaweza? Au unatumia ile hekima ya kwamba samaki mmoja akioza....
 
Ushauri wa kipumbavu huu! Hivi kuna yeyote anayelalamia hili kwa kufanya uchunguzi? Inamaana kama mtu anaonekana ni mpiganaji wa kweli aachwe kwa ajili ya kuogopa vijineno vya propaganda za kijinga kisa ni mtu wa kaskazini? Kama mtu alishinda kura za maoni aachwe tu kisa tu ana vinasaba vya kaskazini? Huu wote ni kipumbavu wa mtu asiyejua namna siasa inavyoendeshwa! Tujiulize kati ya wabunge wote wa Chadema kupitia viti maalum ni wangapi watatokea kanda ya kaskazini? Chama hakiwezi kufa kwa sababu tu wachumia tumbo wachache hawakusikilizwa! Majungu hayajengi zaidi ya kuchochea chuki za kijinga ndani ya jamii.

Umenena vema mkuu, yapo mapopoma yaliyozoea siasa za Maji taka tena kutoka magambani ndiyo yanayopiga mayowe.CDM ni kisiki cha mpingo hakiwezi kunyimwa usingizi na kelele za mbu walio nje ya net
 
Anatropia ni mpiganaji wa kweli? Namuona alivoipigania CCM kwa kugombea jimbo ambalo walishakubaliana kuwa ni la Mtatiro.

Kwa niaba ya Padre Mapunda, pumbavu mwenyewe!

Kama hakubaliki alipataje kura 45,000 + bila kupiga kampeni? hivi ni kwa nini magamba wote mnawaza kwa ma.kalio
 
Acha kunilisha maneno wewe. Huyo Padre ndiyo namsikia. Sijasma popote yeye kalawiti ila WENZAKE wanalawiti.

Hizi shule mnasomea wapi? Halafu kumbe unajua kuwa ni kweli kuna Samaki wameoza na bado unajifanya hukuelewa.

WENZAKE maana yake yeye hahusiki. Hapa inatumika kuwa HANA HATIA hadi ithibitishwe vinginevyo.

Soma hapa: Catholic Church sex abuse scandals around the world - BBC News

Mkuu, no offense lakini hii inahusianaje na aliyoyaandika Mapunda? Au una ushahidi naye ana huu mchezo wa kulawiti vitoto vya kiume? Akikubana ulete ushahidi utaweza? Au unatumia ile hekima ya kwamba samaki mmoja akioza....
 
Fuatilia ukweli kuhusu Watawa wanaojihusisha na SIASA.

Kuna Watawa na tena wa Kikatoli nina heshima nao kubwa sana.

Ila hawa Chui wanaojificha kwenye ngozi ya kondoo sipatani nao sana.

Kuna Mapadre ukimuona au kusikia aliyofanya, unaamini kweli Mungu yupo.

Huyo Padre Gay mbona ni habari ya Mjini kwa sasa. Ila hata mimi kaniudhi kwani angelifanya kama Dr Slaa kwa kujitoa kimya kimya kanisani kingeliharibika kitu gani? Kama unalna dini hauiwezi basi achana nayo.

Huyu Mapunda na yeye aondoe hiyo Tittle ya Padre maana anakuwa tu kama huyo Msengerema kwenye picha.

sikonge..kimekupata nini mkuu!

haikupendezi hii
 
kama kufa kwa chadema ni faida kwa ccm,nyie mnawasha na nini? acheni ife ili ccm wafurai
 
Acha kunilisha maneno wewe. Huyo Padre ndiyo namsikia. Sijasma popote yeye kalawiti ila WENZAKE wanalawiti.

Hizi shule mnasomea wapi? Halafu kumbe unajua kuwa ni kweli kuna Samaki wameoza na bado unajifanya hukuelewa.

WENZAKE maana yake yeye hahusiki. Hapa inatumika kuwa HANA HATIA hadi ithibitishwe vinginevyo.

Soma hapa: Catholic Church sex abuse scandals around the world - BBC News
Pole pole mkuu. Wala huna haja ya kutumia nguvu nyingi sana. Tunaeleweshana tu. Naona kama vile ume-panick!

Anyway, nilichokuwa nasema ni wewe kukimbilia mashambulizi ya ki-ad hominem na kupuuzia kabisa mada ya mhusika. Ushoga wa hao mapadri wengine unamhusuje Padri Mapunda? Unaweza kuelezea correlation iliyopo hapo? Pia mimi siungi mkono hiyo methali ya samaki mmoja akioza kwani ni too general. Ndiyo maana napinga sana hata watu wanaojaribu ku-generalize kwamba eti Waislamu ni magaidi kwa vile tu magaidi wachache wanatumia Uislamu kufanyia ugaidi wao. Hata methali na misemo yetu ya hekima inabidi ibadilike na iendane na mazingira. Wewe kurejelea mambo ya ushoga kwa vile tu mleta mada ni padri haikuwa sahihi unless kama una ushahidi. Na siku hizi kuna sheria ya mtandao ukikomaliwa sijui huo ushahidi utautoa wapi. Mambo mengine ni common sense tu na wala siyo vibaya kukiri kuwa ulipotoka kidogo kwa kujaribu kumwingiza huyu padri katika mambo ya ushoga eti kwa vile tu mapadri wachache wamethibitika kujihusisha na ushoga na ulawiti.

Najua si ajabu utarudi na mapovu kibao lakini huu ndo ukweli mkuu. Ubarikiwe!
 
Kama hakubaliki alipataje kura 45,000 + bila kupiga kampeni? hivi ni kwa nini magamba wote mnawaza kwa ma.kalio
Wapi nimesema hakubaliki, na amekuambia nani alikuwa hapigi kampeni? Miksa hujuma... Toka kwenye ujinga!
 
Ningefurahi sana, kupata mgawanyo wa hawa wabunge wa viti maalumu. CDM wamesemwa sana kuhusu ukanda na ukabila katika mgawanyo huu, je ni wabunge wangapi wanatokea kanda ya kaskazini? Kilimanjaro? Arusha?
Tunataka kujiridhisha kuwa huu ukanda unaosemwa ni kweli au ni platform ya kukichafua chama...

Na anaweza akatokea kwingine ila akawa na unasaba na kanda ya kaskazini, ndo maana watu wanalalamika.
 
Mbona unajihami sana na scud zangu? Heheheheeeee.... Wewe nimeshakumaliza na sihitaji tena kukushambulia.

Huwa sipendi mtu anilishe maneno na siyo kwamba nimepanic. Nipanic nini? Kwani kuna sehemu nimedanganya?

Kuhusu Padre wako, kamwambie kuwa kama yeye ni Mwanahabari basi ajifunze kuwa mtafiti.

Kama yeye kasikia Malalamiko ya mgawano wa viti maalumu, alitakiwa kufanya utafiti walau kidogo kwa kwenda mtaa wa Ufipa au kuwapigia simu wampe huo utaratibu ili ajuwe anaandika na ukweli ukoje.

Sasa yeye kasikia kitu tu anakuja na mihemko yake ya kuhukumu. Ila sisi tukimpa dozi kidogo, Wateja wake mnakuja macho yamewatoka utafikiri Machoman anamfokea Hogan.

Vipi mechi unaangalia lakini? Wewe ni City au wale mashoga waliofungishwa ndoa wakaambiwa MAN UNITED? Heheheee

Back
Top Bottom