Ukweli utakuweka huru: CHADEMA mbioni kufa?

Ukweli utakuweka huru: CHADEMA mbioni kufa?

Ktk maisha hakuna aliye mkamilifu, cha mcing cdm wachukulie kma changamoto name waziganyie kaz
 
Kwa kasi aliyoanza nayo Magufuli ni dhahiri chama kilichokuwa kinaelekea kuaminiwa na watanzania kinaendelea kukosa kick na sasa kimekuwa chama kinachoishi kwa matukio. Ndio maana kwa sasa wanamkomalia marehemu Mawazo ili aimarishe chama chao. Kwa hapa ilipofikia CHADEMA naona Maneno ya mzee Wassira yanaelekea kutimia.
 
na umebaki kuangali matukio ya chadema badala ya kukomaa na magufuli nyumbu waheed
 
Kwa kasi aliyoanza nayo Magufuli ni dhahiri chama kilichokuwa kinaelekea kuaminiwa na watanzania kinaendelea kukosa kick na sasa kimekuwa chama kinachoishi kwa matukio. Ndio maana kwa sasa wanamkomalia marehemu Mawazo ili aimarishe chama chao. Kwa hapa ilipofikia CHADEMA naona Maneno ya mzee Wassira yanaelekea kutimia.

Hata kama unatafuta mume....utafutaji wa aina hiyo hautakusaidia..
 
Tanzania inahitaji upinzani makini au sivyo chama tawala kinalala na tutapata serikali legelege, na u-dictator unapiga hodi. Upinzani makini unahitaji chama kijitathmini, kelele zikipigwa ni vizuri ku-relect/tafakari sio lazima kila anaekukosoa awe hakutakii mema. JPM ametembea na lugha na vitendo vya mabadiliko pamoja na M4C. Lakini anahitaji upinzani makini. Kuombea upinzani ufe kama wengine wetu wanavyotaka ni upofu wa hali ya juu. Imagine bila upinzani Tanzania leo ingefika wapi na ufisadi tuliokuwa nao? CDM na UKAWA inabidiwajizatiti HASA KWENYE ISSUE YA KATIBA MPYA na kama wanamapungufu ya ndani wayarekebishe. HOW YOU GET PERCEIVED MATTERS. Uchaguzi wa 2020 ufanyike kwenye mazingira rafiki.
 
ukitaka kubali ukikataa hulazimishwi ila hoja zote za ukawa Magufuli anacheza nazo sasa ukawa wakaita mkutano watasemanini?.kero zote. zinashughuliwa.

is a miracle, haijawahi tokea member wengi wa ukawa kubehave like this. hakuna tena upinzan kwan hawana Sera walitegemra udhaifu wa ccm watusue.

sasa waweke kalio watumbuliwe majibu.

don't shout,argue.
 
Mgombea wao kahamia kugombea Maiti baada ya kuukosa umagufuli!
 
ukitaka kubali ukikataa hulazimishwi ila hoja zote za ukawa Magufuli anacheza nazo sasa ukawa wakaita mkutano watasemanini?.kero zote. zinashughuliwa.

is a miracle, haijawahi tokea member wengi wa ukawa kubehave like this. hakuna tena upinzan kwan hawana Sera walitegemra udhaifu wa ccm watusue.

sasa waweke kalio watumbuliwe majibu.

don't shout,argue.
Halafu inaonekana Ukawa wamepatwa na kigugumizi cha ghafla hadi wameshindwa kumpongeza Dr. Magufuli. Huu ukimya wao wa kinafiki ndio unazidi kuwamaliza kabisa. Yaani wanaporomoka kwa kasi mithili ya maporomoko ya mto Ruaha.
 
Nampongeza sana Dr Magufuli kwa hiki anachokifanya, na hapa ndipo ilipo
tofauti yetu na CCM ambao wao huunga mkono hata mambo mabaya ili mradi
tu yafanywe na CCM na hawako tayari kuunga mkono mambo mazuri yanayofanywa
na wapinzani Rejea BUNGE LA KATIBA.
 
Kweli jambo la kwanza kabisa linatakiwa ELIMU, ELIMU, ELIMU maana ccm wengi hawajui nini hasa faida ya mfumo wa vyama vingi.

Moja wapo ya faida ya vyama vingi ni kuifanya serikali iliyopo madarakani isilale na kujisahau na kama walimsikia vizuri mh. Sumae ni kuwa moja wapo ya sababu iliyomfanya yeye kuingia upinzani ni kuja kuimarisha upinzani ili wananchi wa kawaida wafaidike na mfumo wa vyama vingi.

Sasa unapomoana mwana ccm anafurahia upinzani kukosa hoja huyo atakuwa na hitilafu maana katu haitayokezea siku ambayo upinzani utakosa hoja za kuikosoa chama tawala!!! Hata huko America kwenye mabingwa wa demokrasia basi haijatokezeapo chama tawala kukosa kukosolewa na upinzani na wakati mwengine kuondolewa madarakani.
 
ukitaka kubali ukikataa hulazimishwi ila hoja zote za ukawa Magufuli anacheza nazo sasa ukawa wakaita mkutano watasemanini?.kero zote. zinashughuliwa.

is a miracle, haijawahi tokea member wengi wa ukawa kubehave like this. hakuna tena upinzan kwan hawana Sera walitegemra udhaifu wa ccm watusue.

sasa waweke kalio watumbuliwe majibu.

don't shout,argue.

angalau tunakubaliana na kazi aliyoianza igawa kama tungekuwa sisi UKAWA kasi ingekuwa kubwa zaidi maana sera zetu anazozitumia tulikuwa tumejipanga.
Makufuli anazitumia yeye kama Makufuli wenzake hawakubaliani nae ndio maana unaona mpaka sasa anashindwa kuteua mawaziri maana kila anaemjaribu anamuambia kwa sera zake hizo za kuiga chadema hatoweza kuzitimiza. lakini kama zingekuwa ni sera za ccm siingekuwa tatizo kuchagua mawaziri
 
Lowassa ni nani ndani ya CHADEMA? Mbona ndiye anayetoa matamko kwa niaba ya CHADEMA?
 
Kweli hii nchi ina misukule wengi kuliko binadam halisi....kasi ya UKAWA ingekua chini Mkwere asingemteua magufuli kuokoa jahaz la ccm inayopumulia maji hivi sasa,Ukawa wametulia lkn si utulivu unaouelezea mleta uzi....wanatafakar zaid wapi penye udhaifu wamsanue Pombe,UKAWA ndio iliyotufikisha hapa leo,Magufuli90%ya sera anazotumia ni za CDM mwaka 2000-2015 hapa ndio ninapouona uzalendo wa CDM kuhakikisha nchi inaongozwa ktk hari ya kuwanufaisha wananchi ndio maana linapokuja suala la uchapaji kaz wanatulia sio kukosoa kila kitu.....sasa nashangaa unaposema watulie ili wakamuliwe majipu hapa ndipo ninapopata mashaka na akili za nleta uzi
 
Sio kama CCM ndo jumuia ya ukawa? Maana sera zote anatekeleza magufuli ni za ukawa!
 
Halafu inaonekana Ukawa wamepatwa na kigugumizi cha ghafla hadi wameshindwa kumpongeza Dr. Magufuli. Huu ukimya wao wa kinafiki ndio unazidi kuwamaliza kabisa. Yaani wanaporomoka kwa kasi mithili ya maporomoko ya mto Ruaha.
Wapo busy na maiti
 
Wanawaya waya na kunaki kudai kuwa sera ni ya chama chao iliyopo kwenye website hahahahhahahahah ccm kuna majembe Na sera zake ni zimesimama. Nyie hiyo yenu itunzeni kwa website
 
Back
Top Bottom