Ukweli utabaki kuwa ukweli

Ila aliitafuna mpaka mfupa ukalia kooo au ilikua papatupapatu watu tuwahi kabla geti halijafungwa
 
Waoooh dadakeπŸ˜‚πŸ˜‚

Nikupe ubuyu sistake humu wanaume hakuna wengi njaakali nishakutana nao karibu wanne ,lool sina uchi wa majaribio mieeeπŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Da Marry em taja I'd zao bas nawee, khaaah
Mbna unaturusha roho hivyo? Kwaniniiii?
Sijapentraaaaaa!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wewe nae koma,mm napendwa ,na najijua napendwa ww kama unajiamini weka picha yako
Waoooh dadakeπŸ˜‚πŸ˜‚

Nikupe ubuyu sistake humu wanaume hakuna wengi njaakali nishakutana nao karibu wanne ,lool sina uchi wa majaribio mieeeπŸ˜‚πŸ˜‚
Kumbe upo sokoni ni vile utaki kusema
 
😹😹😹😹😹😹 Dah!!
Nyie mbwaa njooni huku Siri zenu zimevuja kumbe mko choka mbaya..!!
 
Mimi Nina elfu ishilini!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…