Ukweli utabaki kuwa ukweli

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Da Marry, em shusha ubuyu mzima, mbna unanipa heka heka za kutafuta hitimisho la hii sakata.

Usiniambie ulikutana na mtu choka mbayaa hivyo? Woiiiiiiih
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kavaa jeans na tishet,na sandiz sijui yeboyebo,simu imepasukapasuka kioo anaperuzi Kwa kuificha,halafu ananiongopea eti atanipa 50000 elfu,nilimuonea huruma ningekuwa na elfu kumi walau ningempata,wee chenji 800 kaisubiri karibu nusu saaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€₯
 
Aumwage chap tuendelee na mambo mengine..!! 😹
Hapo sasa!! JF tushazoea kila kitu wazi wazi.
Km kipochi na kipili pili kinawekwa peupee, waja Wasuuze makengeza yao.

Ishindikane hili jambo lake, afanye kutuewekea mzima mzima, waja tudeveleke nao.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Dada humu hamna wanaume,mtu gani mnakunywa soda za miasita ambapo jumla ni 1200 halafu inabaki 800 kwenye 2000 aliyotoa lakini chaajabu mianane anaing'ang'ania mpaka,,,,,,eehπŸ˜‚
😹😹😹 Marry Dikompoza
Kwahiyo mlitoka out? Kipochi manyoya kilipona kweli?
kijana maskini eti hata pesa ya condom ulikosa? Njoo ujibu mashtaka 🀣
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…