Ukweli utabaki kuwa ukweli

Aminaaa!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹
Siku nyingine tena guys mko pouwa? Mafundi najua mida hii mko site 🀣

Marry leo uje uwataje saidia fundi..!!
Leo awataje haswaaa, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ntakufa kwa kihoro buree, Lol
 
Ushapanda bajaji tuonane hapa kwa mfuga mbwa au wewe unataka twende kiwanja kipi fundi ujenzi wangu…!! 😹😹😹

Ila marry falah sana yani nikikumbuka mbavu zaniuma..!! Matajiri wa JF bhana..!!🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Walinzi tupoo, wee watajee bhanaa. Khaaah
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Si rahisi hivoo dada ,nitakiuka Sheria za jukwaa
Wee modes hawafanyi kitu, wataje bhana.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Akuuu,kesho weekend nimealikwa mahali, unataka wagairi,najua mafogo wapo humu wanasoma post zangu ,nisije kosa mwaliko,miye πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Si rahisi hivoo dada ,nitakiuka Sheria za jukwaa

Akuuu,kesho weekend nimealikwa mahali, unataka wagairi,najua mafogo wapo humu wanasoma post zangu ,nisije kosa mwaliko,miye πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wee Da marry hukomi tyuuh? Nakuambuaje hiyo kesho unaenda kupigwa mtungo.
Makapuku wana hasira na wee, sasa jichanganye kikulambeee.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wee Da marry hukomi tyuuh? Nakuambuaje hiyo kesho unaenda kupigwa mtungo.
Makapuku wana hasira na wee, sasa jichanganye kikulambeee.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mbona wanitisha?
Hamna huyu nadhani mstaarabu bhanaaa,mtu ana Alphard lake, namwachaje sasaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wee Da Marry kuwa makini? Unaijua JF weyee?una uhakika lake? Kaazima huko ili akupate, sasa wee neng'eneka na hilo alphard kikukute kitu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wee Da Marry kuwa makini? Unaijua JF weyee?una uhakika lake? Kaazima huko ili akupate, sasa wee neng'eneka na hilo alphard kikukute kitu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Halafu huenda ni kweli si lake,maana siku ya Kwanza hakutaka niwashe radio,halafu ananyenyekea kwelikweli, mara hapo usishike,mara usiegamie hiki,halafu hafananii
 
Ushapanda bajaji tuonane hapa kwa mfuga mbwa au wewe unataka twende kiwanja kipi fundi ujenzi wangu…!! 😹😹😹

Ila marry falah sana yani nikikumbuka mbavu zaniuma..!! Matajiri wa JF bhana..!!🀣
Nipo hapa small planet nacheki misambwanda na mititi nje nje
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…