cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,379
- 188,094
[emoji23][emoji23][emoji23]Marry anakabia juu sana msako fulani wa unatoa hutoi.

Oooh asante my dearPole sana mkuu. . .
, kuna majitu hayana regard na hisia za wengine ...
Ila acha kuchochea mkuu.. .
Hujaumizwa kama wale wanaotolewa connection zao, right?
Kuna damage umefanyiwa ,yes, ila unavyojaribu kucontrol reputation yako ndio unaharibu zaidi ...nimeona wanaokutukana ni wale wajinga wajinga wanaoanzishaga nyuzi za hovyo humu...vichwa vyao vimejaa makamasi, usishindane na watu wa hivyo Marry
Naomba kukutana na wewe bibie, pole nitumie no. Dm ila kipengele nilicho nacho ni joblessShikamoon wakubwa
Jamani,nimejaribu kuwaza kitu kwanini wanaume wengi hasa humu mtandaoni wa gubu sana na wanawaza ngono tu?
Kwa mfano ni juzi tu hapa nimepost mada ili kusaidiana Mawazo kuhusu maisha,kumbukeni nivyohitaji Mawazo humu si kwamba hizo aidia Mimi sina,Bali ni kwamba najaribu kuwianisha na kimsingi wapo wachache ambao nimechukua ushauri wao kama ulivyo na nitaufanyiq kazi.
Ila wengine sasaaaa,
Mara oooh huyu anajiuza,anatafuta bwana,mara anatafuta mume,halafu ina maana mtaani wanaume hamna Hadi mtu aje mtandaoni,Kwa wanaume gani sasa,
Yaani mwanaume anayeshinda mtandaoni masaa kibao huyu atakuwa mume wa nani.
Yaani Maria Mimi nitafute mwanaume mtandaoni, sikilizeni Mimi kama nilivyopost picha yangu mtandaoni ndivyo nilivyo,si wa kishua nimezaliwa kwenye family ya kawaida,hakuna mwanaume hawezi kuwa na Mimi sasa jidanganyeni na kujipa matumaini hewa nawezaje kujibu DM ya mtu wa jamiiforum,nawezaje kutoka na wanaume surambaya na mbovu wa humu ,wengi nimekutana nao wabayaaa mxieeew
ChaiShikamoon wakubwa

Nimefanyaje jamaniShesRise_1 mkorofi sana wewe😁😁🙌
Anyway😃😃 but energy yako nmeipenda tuNimefanyaje jamani
Ni hivi 🔥🔥🔥Anyway😃😃 but energy nmeipenda tu
Twende kwenye uzi wetu unieleze vzurNi hivi 🔥🔥🔥
Sina cha kukuelezaTwende kwenye uzi wetu unieleze vzur
Mungu nifundishe kunyamazaSawa Mimi **** pipa vipi kuhusu mamako? Kumbuka ulipita hapahapa.
Kwahiyo mpqngo mzima ni upi ?mtandaoni, sikilizeni Mimi kama nilivyopost picha yangu mtandaoni ndivyo nilivyo,si wa kishua nimezaliwa kwenye family ya kawaida,hakuna mwanaume hawezi kuwa na Mimi sasa jidanganyeni na kujipa matumaini hewa nawezaje kujibu DM ya mtu wa jamiiforum,nawezaje kutoka na wanaume surambaya na mbovu wa humu ,wengi nimekutana nao wabayaaa mxieeew