Ukweli usemwe watu wanaumizwa mno

Ukweli usemwe watu wanaumizwa mno

ukiingia kichwakichwa humu jukwaani unapotezwa mazima, wengi tunaonekana wa hovyo humu ila nje na jf mimi ni mtu huwezi kumdhania, ushauri wangu kwa Marry Diana apunguze kulialia mtandaoni,wengine huwa tunajibu hoja tukitafuta like za vicheko tu basi.
Uko sahihi. Maisha ya humu kwa sehemu kubwa hayana uhalisia na yale ya mtaani.
 
Back
Top Bottom