Ukweli usemwe watu wanaumizwa mno

Ukweli usemwe watu wanaumizwa mno

Siwezi kuwa kimya mtandaoni nitakaa kimya mtaani
[Emoji1][Emoji1][Emoji1]
Acha ujinga mtoto mzuri!

Kama ulivyo wewe na wao hawawezi kukaa kimya. Yaani unalalamika kisa ID feki?

Usipende kupewa maua muda wote, sisi watu kila muda muudi inabadilika.
Yaani kuna mudi ya furaha, ya huzuni,kuchanganywa, kulia, hasira, woga n.k. Sasa wewe ukitaka muda wote tukuchekee na tukukubali umeiisha!!
Inaonekana unastress za maisha kama sisi tu. Muda wote ukiwa hivi utakufa mapema.

Hebu jaribu siku moja uwe na hasira au amekuvuruga mtu, afu tafuta uzi wowote humu ureply, uone utachoandika.
"Kama hutaandika kinyesi badala ya mbolea, basi me nitalog out moja kwa moja."
 
Soma ulichoandika
 
Huku ni ni wap tena 😁
Wanaume wa jeyihefu kweli mna sura nzito 😢😢
 
Dah kweli nimeamini hamna muuza k mwenye akili! Mbona hasira nyingi kwani walikukopa?
 
Hebu jaribu siku moja uwe na hasira au amekuvuruga mtu, afu tafuta uzi wowote humu ureply, uone utachoandika.
"Kama hutaandika kinyesi badala ya mbolea, basi me nitalog out moja kwa moja."
Astaghafulahi shekhe wangu umeingiaje nakinyesi msikitini kwanini haujatawaza shekhe na bomba umelipita pale lakini?
 
Dah hatar kumbe wanaume wa humu wabayaa aseee leo ndio nimejua wanawake wavumilivu
 
Hivi dada marry wewe ni tabibu wa mapenzi pekeake maana nakuona kwenye siledi za mapenzi tu majukwaa mengine aaah!

Habu njoo tubeti kwanza arsenal anamtafuna mtu hukuu
 
Back
Top Bottom