Ukweli usemwe: Siasa za huko ni ngumu Rostam, CRDB na Dangote walishindwa

Hata kama kuna ugumu kufungua kampuni kule, bado tuna nafasi ya kufanya nao biashara na tukanufaika pia, maza kafungua nchi tumuunge mkono.
Mimi namuunga mama mkono kweye kila.jambo, Tena hasa hili.la kufungua nchi. Ila kwa wakenya Sina Imani nao kabisa, Hadi Bakhressa na Azam yake walikiona cha Moto huko
Kenya Kuna mamafia wa biashara hakuna mfano, huwezi kupeleka products ambazo wao wanazo ukatoboa, utapigwa Vita na mwisho utakimbia mwenyewe.
Wao tutafanya nao biashara kitu ambacho hakipo kwao kwa wingi Kama mahindi
 
Kabisa mkuu, Kenya ni mteja wetu mzuri wa bidhaa za mashambani mbaya zaidi huwa wanatoa bei nzuri kuliko soko la ndani, tufanye tunachoweza katika industrial products na tertiary products wale jamaa wako njema, tupige nao kazi hivyo hivyo uzuri wao ni Wateja wetu wazuri wa agricultural products.
Yes naunga mkono hoja, Ila tusijidanganye tunaweza kwenda kuwekeza Kenya. Wao tuwauzie hizi agricultural products kwa kuwa kule kwao hazipo kwa wingi.
Lakini sio utoke huku ukafungue sijui kiwanda au kampuni, imekula kwako
 
Hayo 30 kwanini yaliruhusiwa?
Tati
Soln zilikuwa ni za kijinga kabisa ambazo zilikuwa ni faida kwa wanasiasa na sio wananchi, tumuunge mkono maza she is doing something good.
Probably, her aim may be good and advantageous to our country, we have to be patient and await to see what will come forth. Yet precautions should be taken when cooperating with Kenyans in investment sector
 
Alipigwa Vita sio ya kawaida, Kenya huwezi fanya biashara ya bidhaa ambazo nao wanazalisha kwa wingi.
Wana cement kule inaitwa bamburi, basi baba Dangote anataka nae kwenda alikiona Cha moto
Watu wa hivi kuna namna ya kuishi nao. Zile product ambazo hawana hasa za kilimo tunazi process nakuwauzia badala ya law ambazo wanazi process na kunufaika mara 2.

Pia nasi tunaweza linda soko letu kijasusi kuzuia uwekezaji wao mkubwa wa makampuni nchini Tanzania hasa yale yanayotoa upinzani wa moja kwa moja kwa kampuni zetu. Angalia makampuni kama Mwananchi (media), KCB nk hz zingepewa ugumu kiasi kama wasipotoa wepesi kwa makampuni ya TZ
 
Tati

Probably, her aim may be good and advantageous to our country, we have to be patient and await to see what will come forth. Yet precautions should be taken when cooperating with Kenyans in investment sector
Well said.
 
Kenya hapana, hata ukimpata mrembo ataulizwa anaetaka kukuoa ni Nani?

Je ni Mkikuyu
Mkamba
Mluya
Mjaluo
Mkisii
Mpokoti

Sasa ngoja binti ajichanganye hapa ndipo atajua mbivu na mbichi
 
Watu wa hivi kuna namna ya kuishi nao. Zile product ambazo hawana hasa za kilimo tunazi process nakuwauzia badala ya law ambazo wanazi process na kunufaika mara 2.

Pia nasi tunaweza linda soko letu kijasusi kuzuia uwekezaji wao mkubwa wa makampuni nchini Tanzania hasa yale yanayotoa upinzani wa moja kwa moja kwa kampuni zetu. Angalia makampuni kama Mwananchi (media), KCB nk hz zingepewa ugumu kiasi kama wasipotoa wepesi kwa makampuni ya TZ
Hiyo kwa Kenya sahau, hatuwezi kupenya kwenye kuwauzia finished products, wao wanataka raw products tu.
Magufuli alipokutana na Kenyatta alisema Tz tuanze kuwauzia Kenya unga badala ya mahindi, lakini mwisho wa siku alichemsha pamoja na ubabe wake wote
Tutaendelea kupeleka mahindi na sio.unga
 
Nimekuwa nikisikiliza watu wengi wakitoa maoni yao kuhusu ile kauli ya Uhuru.

Wengi wanasema "afadhali Sasa nikafungue biashara yangu Kenya"

Unajiuliza biashara gani hiyo wewe kapuku unaenda kufungua huko? Huko siasa zao ni ngumu Sana utaweza kweli ikiwa ma-tycoon wa biashara walishindwa?

Wametokea watetezi wa kila aina kwenye hili suala, na wengine wameenda mbali na kuanza kuwatukana akina Rostam kwa kusema huko kufungua biashara ni ngumu Sana.

Wengine Mara watanzania mmezoea ujuaji Mara watanzania ni wavivu, sawa.

Lakini je Hadi Dangote nae ni mvivu? Mbona nae alitoa sababu kama za Rostam?

CRDB waliwahi kushindwa kufungua branch Nairobi sababu ni ubinafsi wa watu huko kwa kuona kuwa inaweza kufanya bank zao za kikenya kushindwa kufanya vizuri.

Pamoja na ugumu uliopo Rwanda Ila CRDB waliweza kufungua Branch, lakini Kenya walishindwa.

Mkenya yupo tayari mmarekani , mmarekani au muingereza au mzungu yoyote akafungue biashara kubwa kule kwao lakini sio mtanzania.

Chini nimeweka habari ya Dangote kushindwa kufungua biashara Kenya.

Sasa mazungumzo si yamefanyika na NIA ya kufanya biashara imefufuliwa sasa mnachopinga ni nini haswa?

Hatua zinachukuliwa mnalalamika.... Nadhani Samia na Uhuru wawe judged baada ya miezi 6 tuone kma maazimio yameanza fanyiwa kazi.

Kuanza kutumia historia kukosoa makubaliano mapya ni kuonyesha mlivyo na chuki zisizo na tija kwa majirani. Rwanda licha ya visa vyote vile JPM alirejesha mahusiano nao mbona mlimpongeza? Akifanya Samia inakua nongwa
 
Tatizo praise team iko kazini ikivizia teuzi ndio maana wanawashambulia wote wanaosema ukweli juu ya mazingira ya Kenya kibiashara kwa Mtanzania.

Na wala hatujiulizi kwa nini tuwe na makampuni 30 tu nchini Kenya dhidi ya 500 ya Wakenya yaliyopo kwetu, there is a reason behind. Hili suala ni la kuangalia kwa jicho la tatu.
It is not about praise team. Wakenya wanataka kututumia. Tusubiri yatakayojiri
 
Nimekuwa nikisikiliza watu wengi wakitoa maoni yao kuhusu ile kauli ya Uhuru.

Wengi wanasema "afadhali Sasa nikafungue biashara yangu Kenya"

Unajiuliza biashara gani hiyo wewe kapuku unaenda kufungua huko? Huko siasa zao ni ngumu Sana utaweza kweli ikiwa ma-tycoon wa biashara walishindwa?

Wametokea watetezi wa kila aina kwenye hili suala, na wengine wameenda mbali na kuanza kuwatukana akina Rostam kwa kusema huko kufungua biashara ni ngumu Sana.

Wengine Mara watanzania mmezoea ujuaji Mara watanzania ni wavivu, sawa.

Lakini je Hadi Dangote nae ni mvivu? Mbona nae alitoa sababu kama za Rostam?

CRDB waliwahi kushindwa kufungua branch Nairobi sababu ni ubinafsi wa watu huko kwa kuona kuwa inaweza kufanya bank zao za kikenya kushindwa kufanya vizuri.

Pamoja na ugumu uliopo Rwanda Ila CRDB waliweza kufungua Branch, lakini Kenya walishindwa.

Mkenya yupo tayari mmarekani , mmarekani au muingereza au mzungu yoyote akafungue biashara kubwa kule kwao lakini sio mtanzania.

Chini nimeweka habari ya Dangote kushindwa kufungua biashara Kenya.

Hoja kwamba mazingira ta biashara kenya ni magumu,ndio watu wasijaribu kufanya biashara huko?
Kuhusu crdb walifungua tawi na lilikuwa linafanya kazi,kama walishindwa,tutafute sababu lakini msikataze nchi hizi 2 zisifanye biashara,uhutu kasema waziwazi kuwa sasa vikwazo hakuna,hebu tuwa positive tuacha uzamani
 
Nazani hata Mama hawajui Wakenya, huyu huyu Uhuru kule anapigana Kampuni za Famili yake zi take off biashara.

Wakenya wana figusifigusi balaa.
wakenya wanataka sisi tuwauzie malighafi na wasingependa tufungue viwanda.
moja ya changamoto na Magufuri ni pale aliposema tuwauzie unga (sembe) badala ya mahindi
na tusipoangalia tunaweza kuendelea kuburuzwa.
ifike wakati tuanze kutazama kwa upana zaidi na si kwa mtazamo huu wa sasa wa wanasiasa na inasikitisha na sisi bila kupima na kujenga hoja za nguvu tunashangilia kumbe tushapigwa!
 
Soln zilikuwa ni za kijinga kabisa ambazo zilikuwa ni faida kwa wanasiasa na sio wananchi, tumuunge mkono maza she is doing something good.
mhn! bado mapema sana twende kwa tahadhari sana vinginevyo inaweza kuwa tabu kidogo! hawa jamaa si wakuwaundaestmate wazuri kwenye market robbing and negotiation
 
Back
Top Bottom