Hujui chochote kuhusu maishaKwa umri uliofika.
1. Kama una miaka 30s Kuwa bilionea sahau/Waza mambo mengine.
2. Kama una 30s na hauko na hujawai kuingia kwene siasa bas we huwezi kuwa Rais hadi unakufa.
Jifunze kukubali itakusaidia kuboresha afya yako ya akili.
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Jifunze kukubali itakusaidia kuboresha afya yako ya akili.