Ukweli uliofichwa sasa umefunuliwa, ni kuhusu T. B Joshua

Goodmorning, Let love Lead,

Hata mimi natamani nyie ndugu zangu hilo giza nene litoke machoni penu kwa Jina la Yesu.

Hoja yangu kwamba TB JOSHUA aliandikwa na mtandao wa Wikileaks kwamba alibainika yeye pamoja na wanene wengine wengi kwamba wamelimbikiza mahela na kuyaficha visiwa fulani ili watu wasijue, naona umesita kutoa mtazamo wako.

Kumbuka hili chapisho la Wikileaks lilisababisha Waziri wa Canada kujiuzulu
TB Joshua alikanusha kama kawaida yake.

Pia angalizo ni kwamba hawa Wikileaks hawahusiki na mambo ya dini na taarifa zilitolewa na vyombo kama CNN vya magharibi huko.

Mlengwa hapo hakuwa TB bali wote walioficha hela kule, na TB akawepo kwenye orodha. Yaani kumbe anachota mahela pale SCOAN halafu anakwenda kuzichimbia huko CYPRUS na visiwa vi ginevyo kimya kimya.

Kama ulikuwa hujui ndio mchezo anaofanya Nabii wenu.

Goodmorning

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo unataka kutuaminisha ni kosa mtu binafsi kuweka fedha zake Cyprus au Uswisi? Kuna tatizo gani kama hizo pesa zimepatikana kihalali?

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmh ok.. Ni msimamo wako kwangu siwezi kupingana nao... Lakini binafsi sitakaa niburuzwe na hao wanaoitwa manabii na mitume.... Nina imani yangu thabiti kwa Mungu wangu
.

Haya ndugu Mshana. Mimi kama muumini nskyonta tu kuwa usiwe na haraka ya kuhitimisha na kuchukua msimano kwa TB Joshua, yakupasa uwe makini sana. Kama ingekuwa wewe ndiye yule mama unayeamini ushuhuda wake angalau ningekuunga mkono lkn kwa hoja ulizotumia, naona uko shallow sana, the evidence you use are not enough to come up with such a conclusion.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr
 
Haya utaongea mapaka utachoka, tatizo ni Wananchi wenyewe wamezidi ujinga.

Kuna yule Bushiri, hapa Bongo tunao wengi tu ni Matapeli waliokubuhu.
Unaweza kuwa unafanya kosa kubwa sana kuwaweka Watumishi wote wa Mungu pamoja (matapeli na Watumishi wa kweli). Kitu kimoja tu ukumbuke, hakuna mahali popote tangu enzi za Ibrahimu ambapo Watumishi hao walikubaliwa siku zote. Hata Yesu watu wa dini ndio waliomkataa na kumuua, hiyo ni historia ambayo itaendelea kuwa hivyo siku zote.

Kumbuka maneno ya Yesu; "waitwao ni wengi lkn wateule ni wachache ". Binafsi nakubali kuwa wapo watumishi matapeli ambao Mungu wao ni matumbo yao (kujishibisha), lin hiyo haiondoi ukweli kuwa wapo Watumishi wa kweli wa Mungu.

Ndio maana nimetumia neno "Wengi" na sio "Wote"
 
Haya tueleze wewe Mwanga ndio upi ?
Bwana Yesu aliwahi tamka

"Mavuno ni Mengi Ila watendakazi ni wachache"

Unaelewa maana ya huo msemo ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Rejea comment yako wewe mwenyewe #780 hapo juu.

Umesema ma Wiseman wamemwagwa kila kona ya dunia kuhubiri na Emmanuel TV inapatikana duniani kote.

Hii inaonyesha wewe unadhani Mungu anaenda na kanuni ya wengi wape nakupa mifano michache kukuelimisha kwa hilo.

1. Nuhu. _ huyu alisimama peke yake hii habari unaijua.

2. Lutu wa Sodoma na Gomorah

3. Joshua. Unakumbuka kabla hawajaingia ule mji kiuteka walitumwa ma spy 12. Kati yao wawili tu joshua na caleb ndio Munngu aliwakubali

4. GIDEON kwenye biblia alishinda vita kubwa na watu wachache tu.

Nyie mnadanganywa na bling bling za bonge la kanisa na bendera za mataifa mbalimbali na maneno ya Nabii pamoja na kugawa hela na vyakula. Mbon kwa kutoa sadaka wakristo wahindi wametushinda Ocean rd wanagawa sadaka cash na vyakula kila j1 na j2.

Mbona Yesu alikuwa halazimishi utoke sijui wapi uende kuhiji kwake.

Anakuponya huko huko.

Kwani wewe mwenzetu unataka Nani ahubiri Injiri ya Yesu Kristo ?
Tuchagulie tukusikilize.
Naona umeamua kuibinafsisha kwa uwapendao.

Wafilipi 1:15-18

Ni kweli kwamba wapo ndugu wengine wanaom hubiri Kristo kutokana na wivu na kwa kutaka kushindana; lakini wengine wanamhubiri Kristo kwa nia njema.

Hawa wanahubiri kwa moyo wa upendo, wakifahamu kwamba Mungu ameniweka hapa kifungoni ili niitetee Injili. Hao wengine wanamtangaza Kristo kwa tamaa ya kupata sifa wala si kwa moyo wa upendo, wakifikiri kwamba kwa kufanya hivyo wataniongezea mateso yangu kifungoni. Lakini kwangu mimi hiyo si kitu.

Lililo la muhimu ni kwamba kwa kila njia Kristo anahubiriwa, ikiwa kwa nia mbaya au kwa nia njema. Kwa sababu hiyo, mimi nashangilia. Pia nitaendelea kushan gilia,

Xxxxxxxxxxxxcccccccccccccccccccccccc
Hiyo habari hapo juu C/P toka biblia kwenye net ingawa kiswahili kisitoshe lakini ujumbe ule ule.

Kwamba wahubiri longolongo hawakuanza leo na hawatakosekana. Toka enzi za paulo walikuwepo kinachotakiwa tuwe macho tustumbukie shimoni.

Wacha maneno mengi,
Sema, Ni akina Nani unawataka wahubiri Injiri.
Maana watu wote wanaotokea Synagogue huwataki.
Sema watokewapi.
Sema kama.
Roman Cathoriki
KKT
Angalikana
Pabtist
Adventist
Nk

Sema ili tuyafunge Makanisa yote ya akina Mwamposa, Kakobe, Suguye, Synagogue, na Wachungaji wengine.

Tutajia hapa ni akina nani wenye Leseni ya Kuhubiri Injiri ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaah Mshana ningefahamu naweza kukupata wapi ningekutafuta karibuni ili kubadilishana tu mawazo. Naamini unacho kitu ambacho asilimia kubwa ya waafrika wanakikosa na mimi hupenda sana kupanua ufahamu wangu kwa kusikiliza hoja za kimaantiki kutoka kwa watu wenye mitazamo anuwai
 
Mshana unataka kupotosha watu kwa makusudi, sio kila muujiza ni wa kishetani, kudai hivyo ni kumtukuza shetani na ku-undermine uwezo wa Mungu. Maandiko yako wazi; kuna miujiza ya kishetani lkn pia Mungu hutenda miujiza, Yesu alisema wanaomwamini watafanya ishara kwa Jina lake, tena watafanya ishara kubwa kuliko alizofanya Yesu. Yohana 14:12.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh!...

Kila kitu kipo wazi kwenye biblia..ila kuna wajanja wanao taka kuwaaminisha watu yale wanayoamini wao!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom