Ukweli uliofichwa sasa umefunuliwa, ni kuhusu T. B Joshua

Watu Wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.Nahisi Biblia Kuna Siri iliyojificha.Kwa nn watu waitumie kudanganya watu?na wengine watumie kawaambia watu ukweli ni kitabu hicho hicho kimoja.Kwa Nini Biblia hata Kama imeandikwa kwa lugha yetu hatuielewi mpaka mtu anakuja kukutapeli?kwa nini Biblia mpaka leo inatengeneza utengano?(madhehebu),kwa nini Biblia kila mmoja anatafsiri kivyake wakati lugha iliyotumika inaeleweka kabisaa.Najiuliza maswali nakosa majibu.
 
Vipi kama muandika kitabu ana bifu na TB Joshua so anamchafua? Au mtu akiandika tuu kitabu ndio msema kweli? Simuungi mkono TB Joshua lakini usiamini kila kitu maana alieandika kitabu ni mtu kama wewe.

Sent using my oneplus 7T
Na huenda na yeye anatafuta hela kwa mtindo wa kitabu kuuzwa, Hayo mapato yanenda wapi, kwanini asikitoe bure tu ..!!

Ingawa Mshana Jr amesema ana vyanzo vingine vya habari hii lakin hiki kitabu ndo chanjo kikuu..!!
Yote kwa yote tusiwaamini hawa manabii kirahisi !!
 
The level of detail in this book is scary. Na mwandishi amesema yuko tayari kupelekwa mahakamani na TB Joshua kama aliyoyasema ni ya uongo. Bi Johnson ameanza kwa kuwataka radhi watu wote na kusema maneno haya: "Please forgive me oo. We did these atrocities together with him oo. I was part of it oo." Ila sasa ametubu na anaamini Yesu Kristo ameshamsamehe. Hivyo anawiwa kuwasaidia watu wengine wasiendelee kupotea.

Pia unaweza kusikiliza mahojiano youtube

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani demu anakupangia mpaka cha kuangalia??akikomaa kuangalia hayo mapicha picha mie mtaani kwa jamaa nacheki game huku nashushia na yale maji ya mende
Nilikuaga na dem mmoja Mchagga asee alikua humwambii kitu kuhusu huyu jamaa sasa mi nilikua namponda sana kuna siku tulizinguana mi nataka kuangalia mpira yeye anataka kumwangalia huyu jamaa!


Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Let's say ni kweli hoja za huyo mama
But huo uchawi au ushetani una weza kweli kufool dunia mzima? Mpaka kwa marais wa inchi kubwa?

Mfano leo tb Joshua ameenda Israel amepokelewa na Waziri mkuu,

Mataifa makubwa yote ambayo anakwenda anajaza viwanja vya mpira na anapokelewa in VVIP, hata hapa ilikuwa the same

Swali langu ni kuwa Yan hao watu wote milioni kwa milions wote wamekuwa fools?
Kwani ni marangapi tunasikia maraisi wa nchi wanaingizwa mikenge na ku-sign mikataba mibovu chanzo kikiwa ni kudanganywa na wasaidizi wao.....

Kwani raisi sibinaadamu tu wakawaida...so inashindikana vipi yeye kudanganywa

Halafu haya mambo kuna hata baadhi ya viongozi wakubwa na watu wengi mashuhuri wanatumiwa na hao watu (viongozi wa imani) kama mabolozi au chambo ya kuwanasa watu wasiojielewa..... kwa namna moja au nyingine Mwananchi w kawaida akimuona Kiongozi mkubwa anayependwa na watu na kuheshimika kaenda kwa TB joshua lazima huyo mwananchi ataweka Imani kuwa Huyo kiongozi wa dini ni mtu anayempaswa kuaminiwa kwa sababu tayari anakuwa amesha shawishika baada ya kumuona yule kiongozi wake....Bila ya kujua kwamba huwenda huyo kiongozi au huyo celeb amechonga deal wamepeana pesa na huyo mchungaji ili aweze kumtangaza kwa kina....。。。Au huwenda ikawa wana mambo yao mengine binafsi kabisa ya kimaslahi/kisiasa yanayo sababisha kuwa kutanisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh! watu wanapigwa sana kwa kutaka miujiza.
Ndio maana dini ya Kiislam, haikubaliani kabisa na miujiza, Uislamu unaamini miujiza walipewa Mitume tu, akina Yesu na wenzake, sio Mitume hii ya akina Tb Joshua na wenzake..

Watu walio maskini wengi wameathirika na hii Mitume fake na miujiza yao fake.. Wakati wao akina Tb Joshua wanaendelea kujitajirisha..
 
Back
Top Bottom