Jamani kuna kitu kimenitatiza lakini baada ya kumuuliza muhusia akawa mkali wala hakunipa jibu la kueleweka man alianza kuja juu kujifanya mtakatifu,issue yenyewe n kama ifutavyo;
Kuna mdada tunafanya nae kazi office moja anajifanya mlokoe kunizidi hadi mimi, yeye kila siku jumapili na siku za kawaida nafikili anahudhuria ibada na kazini youtube anapigaga gospel songs only, lakini kinacho nitatiza siku hizi amekua makini kweli kwenye nyimbo za Bongo Fleva zinazopigwa kwenye TV kwa sababu office yetu ina TV ambayo masaa yote ya kazi iko ON.
So, ile miziki inayopigwa Clouds FM anakua makini kweli kusikiliza na kuangalia tofauti na alivyo kuja. Hicho kinanitia maswali sana kwamba labda siku hizi kashabadilika kawa mtu wa viwanja au ni vipi mana kinachonifanya nimfatilie ni kwasababu anatuona sisi wengine ni wadhambi hatuna imani.
Mwenye majibu labda na hili anisaidie kwa sababu nimemuuliza kawa mkali kweli mana ukweli siku zote unauma.