Ukweli ni upi kuhusu tukio la Scorpion wa Buguruni?

Mkuu asante sana. Mimi natamani sana JF iwe na memba wengi kama wewe wanajali kuchunguza na si kufuata tu mkumbo! Unakuta mtu anaandika utafikiri alikuwa sehemu ya tukio. Kwa ujumla hili tukio hata mimi nimekuwa na mashaka nalo tangu waanze kuliandika. Kila nikijaribu kujenga kitu fulani kutoka kwenye simulizi ilikuwa inakataa. Maelezo yako naweza kuyakubali kabisa. Huyu jamaa inaonekana hakuwa mwizi. (kumbuka sipingi kama ndie aliyefanya hilo tukio). Lakini bado tunabaki na maswali kadhaa: Ni kwanini (kama ni yeye) alimfanyia jamaa unyama huo? Nadhani wangepatikana watu waliokuwepo wakati wa tukio ndio wanaweza kuelezea zaidi!
Hakuna rekodi yoyote ya Uhalifu wa Scop pale Buguruni. Ndugu, hakuna! Nimeuliza watu tofauti kwa mazingira tofauti, hakuna...
Nini kinafichwa? Huu unyama tuukatae, lakini tusijifunge mawazo sana.. Tuhoji, tuhoji, tuhoji..
 
Kuna mengi sana nyuma ya pazia juu la ya tukio... lakini ukweli ni kwamba ni Scopion hajawahi kuwa kibaka wakazi wakazi wote wa buguruni wanalijua hili
Naamini ata Polisi wanatambua pia hilo,

kibaka huwa anajitangaza? police wanakwambia wamembana na kataja mtandao wake wa uhalifu, sasa ww na police nani mwenye ujuzi wa kuchunguza? labda nikuulize tufanye sawa hakuwa kibaka je ni yeye ndio aliyemtoboa macho said?
 
Hakuna rekodi yoyote ya Uhalifu wa Scop pale Buguruni. Ndugu, hakuna! Nimeuliza watu tofauti kwa mazingira tofauti, hakuna...
Nini kinafichwa? Huu unyama tuukatae, lakini tusijifunge mawazo sana.. Tuhoji, tuhoji, tuhoji..

ulivouliza kama kweli ulienda eneo la tukio, je ni kweli yy ndio alimpiga mwenzie visu na kumtoa macho? ukiachilia kwamba ni kibaka au sio?
 
kibaka huwa anajitangaza? police wanakwambia wamembana na kataja mtandao wake wa uhalifu, sasa ww na police nani mwenye ujuzi wa kuchunguza? labda nikuulize tufanye sawa hakuwa kibaka je ni yeye ndio aliyemtoboa macho said?
We jamaa mgumu sana kuelewa...
 
ulivouliza kama kweli ulienda eneo la tukio, je ni kweli yy ndio alimpiga mwenzie visu na kumtoa macho? ukiachilia kwamba ni kibaka au sio?
Sipo kwenye position ya kuthibisha hapo, hiyo ni kazi ya polisi/mahakama.. Nilichokiandika ndicho nilichokikuta..
Wapi sikueleweka nifafanue? Ninukuu tu mkuu..
 
basi unaonekana huna unachojua zaidi ya kujaribu kuonyesha scorpion ni mtu mwenye record nzuri, acha police wafanye kazi yao, na tayari police washatoa hints kwamba scorpion kataja mtandao wake anaofanya nao uhalifu
 
Mtoa mada umeoneshwa hadi meza ambayo tukio lilianza (ukichek ile video, said anaeleza kuwa akinunua vipande vya kuku ndio scopi alimvamia kwa visu)
Swali langu, kwanini hukumfuata muuza nyama ukamhoji? Au meza ilikuwa tupu Siku hiyo?
Mbona uliwahoji watu ambao ni wafanyabiashara za kuhama hama kama hao madereva bajaji wakati wapo ambao miaka nenda rudi wapo pale wana biashara zisizohamishika?? wala kutembea?
 
kibaka huwa anajitangaza? police wanakwambia wamembana na kataja mtandao wake wa uhalifu, sasa ww na police nani mwenye ujuzi wa kuchunguza? labda nikuulize tufanye sawa hakuwa kibaka je ni yeye ndio aliyemtoboa macho said?
Mahakama ndio itatueleza ukweli...

Sent from my SM-G361H using JamiiForums mobile app
 
basi unaonekana huna unachojua zaidi ya kujaribu kuonyesha scorpion ni mtu mwenye record nzuri, acha police wafanye kazi yao, na tayari police washatoa hints kwamba scorpion kataja mtandao wake anaofanya nao uhalifu
Nani amezuia polisi wasifanye kazi yao? Nenda Buguruni kaulize..
 
Mtoa mada hauna tofauti na nyumbu, umeoneshwa hadi meza ambayo tukio lilianza (ukichek ile video, said anaeleza kuwa akinunua vipande vya kuku ndio scopi alimvamia kwa visu)
Swali langu, kwanini hukumfuata muuza nyama ukamhoji? Au meza ilikuwa tupu Siku hiyo?
Mbona uliwahoji watu ambao ni wafanya biashara za kuhama hama kama hao madereva bajaji wakati wapo ambao miaka nenda rudi wapo pale wana biashara zisizohamishika?? wala kutembea?
Kwani hapa hoja ni kutobolewa macho au la? Wapi nimekanusha huko kutobolewa macho?
Hivi hata umesoma nilichoandika kweli..?
Umenishangaza sana!
 
Sipendi kuonekana namtetea, ila naomba kukuuliza kitu, unaushahidi wa mauaji ya huyo dada? Au baada ya kusikia je ulijiaminisha kuwa alimuua huyo dada?
Jinsi anavyoua ni kutoboa macho kisha anakutupa barabaran ili gar likugonge na yeye hana kesi hapo kesi ya mauaji ya dereva...ushaid mimi ni mkazi wa mnyamani huyu ana genge lake la wacheza karet akifika kibandani kwako kula chips halipi ni ubabe tu
 
Hapana mkuu. Aliwahi kuua na bado awe mtaani tu anafanya shughuli zake? Itendee haki akili yako mkuu.. Usisambaze uongo. Tukemee uovu, ila tusiushetanishe zaidi ili kufurahisha nafsi..
Ujakaa mtaani wewe kuna wababe wa mtaan wapo wanaua kama wanachi wanavyoua wez na hawachukuliwi hatua kutokana na ugumu wa mazingira utakua hukuzsaliwa enzi za komando yoso wewe ili ukamatwe na polisi kama wewe ni muuaji mpaka mjumbe akatoe taarifa kua kuna mtu tatizo mtaani hapo utachukuliwa mpaka segerea kitengo maalumu cha kukulemaza misuli ya nguvu ukitoka utapigwa hata na mtoto
 
Point ni, huyo jamaa hakuwa mhalifu kwa mujibu wa wakazi wa maeneo yale. Wao wenyewe wameshangaa iweje amtoe mtu macho?
 
Hapana mkuu. Aliwahi kuua na bado awe mtaani tu anafanya shughuli zake? Itendee haki akili yako mkuu.. Usisambaze uongo. Tukemee uovu, ila tusiushetanishe zaidi ili kufurahisha nafsi..
Polisi walioneshwa muhalifu yule pale na hawakumkamata mbona hushangai hilo
 
Mkuu mi uzuli nilishawahi kupanga mitaa ya kimboka ile mitaa ina wezi hatari
 
Back
Top Bottom