yvegenc prymacov
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 1,529
- 1,923
Ukweli ina maana kuu tatu,1, ni uhakika,2 kama ilivyo,3 ni kinyume cha uongo.
Ngumi Tena 😂😂😂🤣🤣🤣hapo sasakatika swala zima la ukweli ni umbo lenye pande Sita three dimension sasa hatuwezi kuwe sawa ingawa wote tutakua wakweli Aliyeona juu hatajua chini Kuna nn na aliuona chini hatajua mbele na vitu mfano Wa hivyo usishangae leo hii watu wanne walioshuhudia tukio moja kila mtu akija na stori yake na inawezekana wanabishana na ngumi zikapigwa
Kweli kinyume cha Uwongo. Biblia imesema Mungu ni Kweli na Shetani ni Baba wa Uwongo. Yesu alisema yatupaswa kumuabudu Mungu kwa Njia ya Roho na Kweli. Kuijua kweli lazima tupate picha halisi ya Uwongo kwani kinyume chake cha Uwongo ndio Kweli. Kwa mfano nikikuuliza jee unajua rangi ya Kinyonga? Hakuna anaeijua Rangi halisi ya Kinyonga kwani inabadilika kila inapotokea hali ya mabadiliko ya mazingira yanayo mzunguka.Ukweli ni Kujua na kutambua hali halisi na kutoa utata wa sintofahamu. Knowing, casying the shadow of doubt, replacing belief with knowledge.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uongo ukirudiwa zaidi ya mara tatu inabadilika na kuwa UkweliMhnn..!!! Wakikutana waongo watupu watakubaliana na ùwongo
Hapana. Uongo siku zote utabaki kuwa uwongo, sema watu watahisi ndiyo ukweli kwa vile umesemwa sana, lakini wenyewe utabaki kuwa uwongoUongo ukirudiwa zaidi ya mara tatu inabadilika na kuwa Ukweli