Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,309
- 4,017
Control powers ndizo zilizotujengea misingi na mipaka ya utafiti na matamanio yetu.
Dini, Mamlaka kuu za kutawala na Secret Societies ndizo hizi control powers.
Hivyo ni vyombo vitatu vinavyotuongoza akili zetu indirectly.
Hivi ndivyo vinavyo kuongoza ili uwe na mafanikio kiasi gani, uujue ukweli kiasi gani na uwapatie pesa kiasi gani huku ukibaki katika circle ya kuwa raia mwema huku pale tunapoenda tofauti na ukweli walio kusetia ndipo pale unapokuwa victim wa misingi yao.
Hivi ukweli ni upi, je ni huu ambao upo katika circle ya maisha yetu au ni ule ambao wachache wameujua na wameutumia kutu-control kwa kiwango wanachotaka wao.
What is the truth?, nini ukweli wa maisha yako?, ukweli wa dhumuni kuwepo hapa duniani lako ni lipi? Ukweli wa uchumi wa ukweli ni upi? Ukweli wa dini ya ukweli ni upi? Ukweli wa the highpower ni upi?
Je tumekuwa wavivu kuujua ukweli halisia au tumekuwa brainwashed kutoutambua na kuufata ukweli wanao turithisha katika institutions zao wanazotujengea.
Pale tutakopoujua ukweli halisia kuhusu sisi na wa uwepo wetu ndipo pale tutakapotambua uhuru wetu wa ukweli, uhuru wa kiakili na amani moyoni, ndipo pale tutakapokuwa matajiri wa imani zetu na wenye mali ambazo sio material bali ambayo ni kutokuwa na ukata.
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app