Kwanini?Tafsiri hii sio sahihi na haina ukweli.
Hali halisi ni ipi?.Kama ukweli ni mmoja,kwanini watu wanapingana?,kwanini watu wana mawazo tofauti?.Ukweli ni hali halisi ya mambo! yaani hichi kipo hivi basi ndivo kilivyo,kinyume cha hapo inakuwa ni uongo.
Huo sio ukweli, bali ni Nadharia (Theory)Ukweli unafungamana na imani juu ya Jambo fulani.,Ukweli ni kua na hakika na yakini juu ya Jambo fulani,ingawa ukweli unaweza kua sahihi ama si Sahihi kulingana na wakati na mazingira husika
Mf maelezo ya awali kabisa juu ya atom yalielezea km atom ni chembechembe ndogo sana zisizoonekana zipatikanazo ktk kiini(Kulingana na mazingira na wakati husika huo ndio ulikua Ukweli wa hakika na ulioaminika) Ila miaka kadhaa baadaye baada ya ukuaji wa sayansi na teknolojia maana ya atom ikabadilika kwakua vilipatikana vifaa ambavyo vilipelekea chembechembe hizo ndogo Kuonekana
Pia mpk kufikia karne ya 19 ukweli uliokuwepo juu ya kufanyizwa kwa mtoto ni kwamba wanasayansi walikua na hakika na yakini kwamba mbegu za uzazi za mwanaume(sperms)zilikua zinabeba embryo ndogo sana na kuipenyeza ktk njia ya uzazi ya mwanamke(kulingana na wakati na mazingira)
Ingawa baadaye walikuja wakagundua sivyo hivyo
Kinachowafanya watu wapingane sio ukweli, bali kinachofanya watu wapingane ni Nadharia (Theory)Hali halisi ni ipi?.Kama ukweli ni mmoja,kwanini watu wanapingana?,kwanini watu wana mawazo tofauti?.
It depends on how look at it,maana ht ww sio mwanadamu you are just a matter made up of AtomsHuo sio ukweli, bali ni Nadharia (Theory)
Ukweli hauwezi kupimwa, wala kuwakikiwa, kwani wenyewe upo kama ulivyo, haubadiliki wala haufutikiIt depends on how look at it,maana ht ww sio mwanadamu you are just a matter made up of Atoms
Maana ukweli pia unakua testeD,hauwezi ukawa ukweli tu bila kuwekwa ktk mizani
Umeni jibu kwa mtizamo wa moja kwa moja.,kwa kuegemea zaidi ktk final results,hv Utajuaje kwamba ni ukweli ama si Ukweli moto Unaunguza??..Ukweli hauwezi kupimwa, wala kuwakikiwa, kwani wenyewe upo kama ulivyo, haubadiliki wala haufutiki
Hicho unachokisema hapa ni Hakika, ambapo msingi wake unatokana na Nadhari. Tukirejea kwenye ukweli wenyewe ni kuwa moto unaunguza hata bila ya kuupima au vinginevyo, kwani moto haubadiliki badala ya kuunguza au kuchoma ukafanya kazi nyingine.Umeni jibu kwa mtizamo wa moja kwa moja.,kwa kuegemea zaidi ktk final results,hv Utajuaje kwamba ni ukweli ama si Ukweli moto Unaunguza??..
Kupata hakika si ndio ukweli wenyewe,..Hicho unachokisema hapa ni Hakika, ambapo msingi wake unatokana na Nadhari. Tukirejea kwenye ukweli wenyewe ni kuwa moto unaunguza hata bila ya kuupima au vinginevyo, kwani moto haubadiliki badala ya kuunguza au kuchoma ukafanya kazi nyingine.
Hakika kwa jinsi yake yenyewe haiwezi kuwa ukweli, kwasababu hakika sio asili, kama ulivyo ukweli ambao ni asili yenyewe. Kwa mfano, katika jamii kuna tabia, ambayo ndiyo ukweli. Lakini matokeo ya tabia nzuri au isio nzuri hiyo ni hakika ya jamii hiyo.Kupata hakika si ndio ukweli wenyewe,..
Ama unataka utenganishe uhakika na ukweli
Kwa hiyo una maanisha hakika inazaliwa baada ya Ukweli?!..Hakika kwa jinsi yake yenyewe haiwezi kuwa ukweli, kwasababu hakika sio asili, kama ulivyo ukweli ambao ni asili yenyewe. Kwa mfano, katika jamii kuna tabia, ambayo ndiyo ukweli. Lakini matokeo ya tabia nzuri au isio nzuri hiyo ni hakika ya jamii hiyo.