Ukweli ni kitu gani?

Ukweli ni hali halisi ya mambo! yaani hichi kipo hivi basi ndivo kilivyo,kinyume cha hapo inakuwa ni uongo.
 
ukweli ni uwazi na uthibithisho wa jambo,kauli isio na shaka ndani yake,inayo zungumzia uhakika wa jambo au wa kitu, je utaijuaje kua kauli hii haina pingamizi na ni sahihi!! jibu ,ufasaa na ushahidi halali ima kupitia vigezo au kwa kukileta kitu mbele ya mtaka ushahidi na kukihakikishaa!!!
 
Ukweli unafungamana na imani juu ya Jambo fulani.,Ukweli ni kua na hakika na yakini juu ya Jambo fulani,ingawa ukweli unaweza kua sahihi ama si Sahihi kulingana na wakati na mazingira husika
Mf maelezo ya awali kabisa juu ya atom yalielezea km atom ni chembechembe ndogo sana zisizoonekana zipatikanazo ktk kiini(Kulingana na mazingira na wakati husika huo ndio ulikua Ukweli wa hakika na ulioaminika) Ila miaka kadhaa baadaye baada ya ukuaji wa sayansi na teknolojia maana ya atom ikabadilika kwakua vilipatikana vifaa ambavyo vilipelekea chembechembe hizo ndogo Kuonekana

Pia mpk kufikia karne ya 19 ukweli uliokuwepo juu ya kufanyizwa kwa mtoto ni kwamba wanasayansi walikua na hakika na yakini kwamba mbegu za uzazi za mwanaume(sperms)zilikua zinabeba embryo ndogo sana na kuipenyeza ktk njia ya uzazi ya mwanamke(kulingana na wakati na mazingira)

Ingawa baadaye walikuja wakagundua sivyo hivyo
 
Huo sio ukweli, bali ni Nadharia (Theory)
 
Umeni jibu kwa mtizamo wa moja kwa moja.,kwa kuegemea zaidi ktk final results,hv Utajuaje kwamba ni ukweli ama si Ukweli moto Unaunguza??..
Hicho unachokisema hapa ni Hakika, ambapo msingi wake unatokana na Nadhari. Tukirejea kwenye ukweli wenyewe ni kuwa moto unaunguza hata bila ya kuupima au vinginevyo, kwani moto haubadiliki badala ya kuunguza au kuchoma ukafanya kazi nyingine.
 
Kupata hakika si ndio ukweli wenyewe,..
Ama unataka utenganishe uhakika na ukweli
 
Hakika kwa jinsi yake yenyewe haiwezi kuwa ukweli, kwasababu hakika sio asili, kama ulivyo ukweli ambao ni asili yenyewe. Kwa mfano, katika jamii kuna tabia, ambayo ndiyo ukweli. Lakini matokeo ya tabia nzuri au isio nzuri hiyo ni hakika ya jamii hiyo.
 
Kwa hiyo una maanisha hakika inazaliwa baada ya Ukweli?!..
Kwa maana hakika inatokana na instict ya mtu mwenyewe?!
Let me break it Down..
Well umesema ukweli una Asili,nambie ni nini kisicho na Asili lakini bado ni kweli??
 
Mtu akikwambia kitu na ukawa unakijua ,ukathibitisha alivyokueleza ndivyo ilivyo.hajapungiza wala hajaongeza ndio Ukweli.
Na tabia za Ukweli huwa hazipuuzwi.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom