"Ukweli ndio huu"

wapo wanaoshndwa kutofautisha na wapo wanaoweza..its all about mtu mwenyewe
 
What abt Mwanaume na Mwanamke? Huu upo mtoa mada?

Labda kuwe na uhusiano mwingine zaidi ya huo... Kwamba ni kaka na dada, mjomba na mpwa, au undugu mwingine wowote ule. haya mambo ya hakuna undugu zaidi ya urafiki, wanaishiaga kubanduana a.k.a kugegedana
 
^^
Karibu kwenye ulimwengu wa ukweli,,achana na Plato/Socrates/Aristotle ambao hata kwenye silabasi za wagriki hawatumiki tena.
..
Nina marafiki wa kike zaidi ya sita,,wananiheshimu kama kaka nawaheshimu kama dada. Najua mipaka yao wanajua mipaka yangu..Mwaka wa 7 leo mawasiliano yapo.
^^

Hapo ukweli 1% tena hao wanawake mvuto 0, itakuwa sawa..
Wanawake 7 wenye dizaini tofauti tofauti ya maumbo useme wote 0 feelings. Labda kuwe na itilafu wa umeme. Maybe nguvu ya umeme ( voltage ndogo zana) kama voltage za wire za antenna.
 
Ukweli ni kwamba kuna kpnd urafk utawashnda na mnaweza kujikuta cku 1 mkafanya mapenz hata kwa bahati mbaya chunga sana
Ni miaka sasa na haijawahi kutushinda. Hatuko kwenye urafiki kujiridhisha kihisia.
Maisha yanaendelea. Tunaheshimiana. Usilazimishe kitu ambacho unafikiri wewe kinakushinda na wenzio wanashindwa. Tumeweza na tunasonga mbele.
 
Absolutely true
Labda kuwe na uhusiano mwingine zaidi ya huo... Kwamba ni kaka na dada, mjomba na mpwa, au undugu mwingine wowote ule. haya mambo ya hakuna undugu zaidi ya urafiki, wanaishiaga kubanduana a.k.a kugegedana
 
Hongereni sana nafikiri nyie ni wa 2 kati ya 100%
Ni miaka sasa na haijawahi kutushinda. Hatuko kwenye urafiki kujiridhisha kihisia.
Maisha yanaendelea. Tunaheshimiana. Usilazimishe kitu ambacho unafikiri wewe kinakushinda na wenzio wanashindwa. Tumeweza na tunasonga mbele.
 
Ni kweli kabisa..hata mimi siwezi ntamtongoza tu..ni kweli unayosema..
 
Marafiki wa kiume ninao wengi kuliko wa kike,tunaheshimiana na wala sina hisia za kimapenzi nao,sijui wao kama wanazo na wanazificha!
 
urafiki kati ya msichana na mvulana unaweza ukawepo au usiwepo kutokana na mipaka mliyojiwekea na jinsi mnavyochukulia.malengo ya urafiki wenu na ukalibu mlionao..mkiheshimiana kama marafik hakuna kibaya kitakacho tokea ila mkiruhusu hisia zingine ziwatawale upepo utabadilika.ni mtazamo tu......
 
Ni kweli kabisa wewe una tatizo nao vp kuhusu wao?? Ndio maana kuna msemo unaosema USIUSEMEE MOYO WA MTU
Marafiki wa kiume ninao wengi kuliko wa kike,tunaheshimiana na wala sina hisia za kimapenzi nao,sijui wao kama wanazo na wanazificha!
 
Huko sawa tatizo linalokuja ni kuzidiwa kwa hisia zenu
urafiki kati ya msichana na mvulana unaweza ukawepo au usiwepo kutokana na mipaka mliyojiwekea na jinsi mnavyochukulia.malengo ya urafiki wenu na ukalibu mlionao..mkiheshimiana kama marafik hakuna kibaya kitakacho tokea ila mkiruhusu hisia zingine ziwatawale upepo utabadilika.ni mtazamo tu......
 
mapenzi/urafiki/uhusiano hauna 'THEORY you just live on what nature provides'
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom