Ennie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2011
- 7,137
- 4,139
Sitaki kuusemea moyo wa mtu ndio maana nikasema sijui wao kama wana wanayowaza ila wanakufa kiofisa!Ni kweli kabisa wewe una tatizo nao vp kuhusu wao?? Ndio maana kuna msemo unaosema USIUSEMEE MOYO WA MTU