Ukweli na uwazi kwenye mapenzi

Ukweli na uwazi kwenye mapenzi

ngwananzengo i second you umesema ukweli. it is the culture ilotulea. we look the way we are tunaakisi culture
 
Ni kweli mkuu kukubaliana na hali ndio kitu cha msingi lkn kuikubali sasa ndipo kazi ilipo.
Ujue kuna kitu kimoja,

Mfano kama mimi, ngoja nijitolee mfano mimi mwenyewe binafsi, UKIMWI unachoniogopesha ni ule muda utakaokuwa nao mpaka kufikia kuuguzwa, ile hali ndio inayoniogopesha lakini si kufa, kufa kupo na hakuepukiki.

Yale mateso ndio yanayoniogopesha, na na kama unavyojua sie wengine, hatuwezi kujifupisha maisha (kujiua) eti kwa vile nimeyakanyaga miwaya, hapana, nitakubali matokeo mpaka siku yangu ya kuondoka itakapofika.

Adhabu ya kuugua ndio tatizo kwa upande wangu na ndicho kinachoniogopesha
 
Ukiwa unacheki afya yako wala hutafikia huko, wakigundua tu kuwa unamaambukizi wataanza kukupa ushauri nasaha vyakula vya kula pia watamonitor CD4, ukitumia ARV utaishi kama tu hujapata ugonjwa. Mbona wenye magonjwa ya moyo na kisukari wanakunywa dawa kila siku?
 
Hapo sasa nimekuelewa vizuri mno.

Ahsante
 
Kitu ambacho ninashindwa kuelewa kwanini huu ugonjwa ambao umegundulika karibu miaka 30 iliyopita lakini bado ni tishio na wala sio air borne wala waterbone diseases. Kuna uzembe wa uelewa, hatutaki kuelewa au tumeamua kukaidi?
Ugonjwa umekaa pabaya kweli daaaah!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom