Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,661
- 6,909
Tuzungumzie magonjwa yanayonyakua uhai wa mtu ambae hajajitakia kama kansa ya shingo ya kizazi kwa wanawake maana hapa naona pana maumivu zaidi ila Ukimwi umeshapuuzwa.Yaa ninaelewa kuwa moja ya madhara ya pombe ni kutofanya maamuzi ya busara na kurisk maisha kwa maambukizi ya magonjwa pamoja na kudhoofisha ini. Pia wale wanaotumia ARV's pombe inachewesha upandaji wa CD4 pamoja na kuwa wagonjwa hawakazwi kunywa lakini wanywe in moderation. Inaweza kuwa mara mbili au tatu kwa wiki.