Ukweli na uwazi kwenye mapenzi

Ukweli na uwazi kwenye mapenzi

Utamaduni katika jamii ni suala la msingi katika kukuongoza ni jinsi gani utachukua maamuzi yako.

Ukipanda basi mara nyingi kama sio zote utakuta wameandika "abiria chunga mzigo wako". Ukiingia kwenye nyumba za watu Kuna jumbe zinasema "ya humu tuachie wenyewe". Tukiwa kwenye chumba cha mitihani haturuhusiwi kuonyeshana majibu au kujadili. Kwa maana hiyo mfumo wa makuzi na malezi yetu umejengwa katika "usiri (ubinafsi?)

Kwa maana hiyo Tatizo sio sisi wanaume bali ni makuzi na malezi tuliyopewa na kurithi katika jamii.

Unajua tatizo la huu ugonjwa ni kuwa unahusisha social contacts. Unaweza kusema waache wauane lakini katika huo mzunguko wa maambukizi utampata mtu aliye karibu na wewe na itakugusa.
 
Unajua tatizo la huu ugonjwa ni kuwa unahusisha social contacts. Unaweza kusema waache wauane lakini katika huo mzunguko wa maambukizi utampata mtu aliye karibu na wewe na itakugusa.


Wala sijasema "waache wauane" bali nia yangu ni kuonyesha chanzo cha Tatizo linalosababisha "usiri". Tumelelewa katika msingi huo kwa maana hiyo sisi ni matokeo ya mfumo huo.

Kuhusu suala la maambukizi mapya ya HIV kwa kiasi kikubwa UMASKINI na UJINGA vinachangia. Nimewahi kuwa "Team reader" wa kampeni za kutoa elimu juu ya maambukizi mapya kwa wenye VVU na wasio na maambukizi. Tuliinzunguka Tanzania kwa 85% tukitoa elimu.
 
Wala sijasema "waache wauane" bali nia yangu ni kuonyesha chanzo cha Tatizo linalosababisha "usiri". Tumelelewa katika msingi huo kwa maana hiyo sisi ni matokeo ya mfumo huo.

Kuhusu suala la maambukizi mapya ya HIV kwa kiasi kikubwa UMASKINI na UJINGA vinachangia. Nimewahi kuwa "Team reader" wa kampeni za kutoa elimu juu ya maambukizi mapya kwa wenye VVU na wasio na maambukizi. Tuliinzunguka Tanzania kwa 85% tukitoa elimu.
Asante sana, nimekuelewa hii ni hali ambayo inahitaji elimu ya hali ya juu, ndiyo hapa ninaoona umuhimu wa kila mwananchi kuelewa kuwa afya inathamani sana, na kila mtu anawajibu wa kulinda afya yake na ya mwenzake.
 
Kikubwa tuache ngono za hovyo hovyo. Mtu umekutana nae ndani ya siku tatu hujamfahamu vizuri wala hamjapima mmeshapandiana....
 
Kikubwa tuache ngono za hovyo hovyo. Mtu umekutana nae ndani ya siku tatu hujamfahamu vizuri wala hamjapima mmeshapandiana....
Kuna foolish things umefanya na havijakuletea madhara, lakini mantiki niliyonayo ni kuelewa the consequences of your own actions.
 
Leo mbona mada za UKIMWI zinatamba!

Kulikoni?
 
Ahsante

Ila UKIMWI unaogopesha hasa ukimwona muathirika ambae umeshamzidia
Kitu ambacho ninashindwa kuelewa kwanini huu ugonjwa ambao umegundulika karibu miaka 30 iliyopita lakini bado ni tishio na wala sio air borne wala waterbone diseases. Kuna uzembe wa uelewa, hatutaki kuelewa au tumeamua kukaidi?
 
Waafrica HIV/UKIMWI tunafanya ni siri. Ukosefu wa kinga mwilini unachangia muamko wa magonjwa mengi kwenye mwili, kuanzia cancer, TB, magonjwa ya akili ect. Lakini ni kwa Afrika ni kumvunjia heshima mtu kwa kusema anaumwa cancer lakini pia aligundulika na HIV.
Hii itakuwa imekukuta in one way or another

Tunapokuja kwenye swala la mapenzi. Mzungu ni mwepesi sana kusema by the way I can not have unsafe sex since I am HIV+. Mwanaume wa kiafrica atajua kabisa status yake lakini hasemi akwambie kwani wewe dada yake?

Tubadilike jamani.
 
hivi kila mzungu anaongea english?
Hahaaaaa fake life hizi za dada zetu, they always praise white men, but if actually the should know how not innocent these whites are, they would have changed their mindset.
Hii pia hupelekea waafrika kujidhalilisha kwa kujikomba kwa wanaume wa kizungu wakiamini wao wana pesa za kuwahonga, kuwajali but at the back of mind ni tofauti kabisa.
 
Hahaaaaa fake life hizi za dada zetu, they always praise white men, but if actually the should know not innocent these whites are, they would have changed their mindset.
Hii pia hupelekea waafrika kujizalilisha.kwa kujikomba kwa wanaume wa kizungu wakiamini wao wana pesa za kuwahonga, kuwajali but at the back of mind ni tofauti kabisa.

Mantiki yangu ni kuwa kwanini bado hatujawa wawazi katika maambukizi ya ukimwi. Wazungu wamekuwa wa wazi sana, hawaoni shida kusema mimi ni muathirika. Kwakuwa jamii inanyanyapaa wenye VVU au ni kuwa wenzetu wamefanikisha tiba mpaka wanaona hili sio tatizo kubwa tena.
 
Hata hivyo kaka zangu wengi hawapendi mipira. Ndiyo maana nimeona niliseme hili hapa.
Ukaona uzunguke mbuyu, mwani umeambiwa wazungu wenyewe wanaupenda?? Thubutu! Hata mimi siupendi sema basi tu
 
Ukijielewa kuwa wewe binafsi unathamani ya pekee katika maisha yako, wewe binafsi unawajibu wa kutunza afya yake, afya. Kuzaliwa na afya njema ni zawadi ya pekee na unaweza kuipoteza hiyo zawadi kwa uzembe wa dakika tano. Ni mifano tu ya kukufanya umkache handsome boy asiyetaka mpira.
Hii point aisee utekelezaji wake sasa kama serikali iliyopita vile
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom